Marekani yaidhinisha Dawa ya VVU ya kutumika mara 1 kwa mwezi badala ya vidonge vya kila siku

hawa jamaa ndio wametulea hii shida sasa baada ya China kuwaletea balaa la Cvd 19 wakaona isiwe tabu wamekuja na Dawa Sasa ya Vvu na China nae alete dawa ya Cvd 19
 
Habari njema hii mambo ya kumeza kila siku dawa inachosha.
Ni kweli, na utasikia serikali za africa watapongeza sana hatua hiyo iliyofikiwa na wazungu, ila wakizungumzia tu suala la haki za binadamu na demokrasia, kwa viongozi, utasikia jina lina badirika!!kuwa mabeberu wanatuingilia kwenye mambo yetu!!
 
Mwafrika sio THREAT kwa mzungu. Akuue ili nini?
Ninachofikiri ni kuwa, Africa ndo bara lenye rasilimali asili nyingi zaidi na ardhi bikra. Kama tukisema kusiwe na muingiliano wa kimabara kwa namna yoyote ile, unadhani athari kubwa tutakazozipata sisi Africa ni zipi na watakazozipata wale ni zipi?

Depopulation, ni India na Africa tu, China hawaguswi. USA ana population kiasi gani? Nchi ipi Africa inaikaribia US kwa population?

Chanjo za Polio na zifananazo ni majanga, wao walitumia DDT kuangamiza mbu, Japan kadhalika, kisha wakasema zina madhara, wakatengeneza dawa za kutibu Malaria, sio kuondoa mbu
 
Hawa jamaa wanatumia pesa nyingi sana nyuma ya pazia kufanya research za madawa na magonjwa yote tu kuna juhudi kubwa wanafanya sisi ni walaji tu lakini shukraan zetu kwao ndogo na ukiacha dawa vifaa tu vya kitabibu kila kitu ni hawa watu lakini huwa hatuangalii mimi kwa hili katika science za kitabibu wanazofanya nyuma ya pazia heshima kwao. Sisi huku tuko busy na TBS kukagua magari
 
Tutatafuta dawa Madagascar atutaki za mabeberu izo.
 

Bangi ni hatari sana aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…