Taarifa hyo......iko wapi wew kibwenguMarekani imetangaza kuwa kupitia Shirika lake la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) itaongeza USD 2.4 M (Tsh. Bil. 5.6) ikiwa ni msaada kwa sekta ya afya kuimarisha uwezo wa maabara na upimaji wa kimaabara, jitihada za utoaji taarifa na miradi mingine mbalimbali. #MillardAyoUPDATES
•
Taarifa iliyotolewa na Ubalozi wa Marekani leo imesema fedha hizi ni nyongeza ya msaada wa USD milioni moja unaolenga kusaidia mapambano dhidi ya kirusi corona uliotolewa hivi karibuni hivyo kufanya kiasi kipya cha pesa zilizotolewa kwa Tanzania kukabiliana na corona kufikia USD milioni 3.4.
•
Taarifa hiyo imesema kiasi kingine cha dola za kimarekani milioni 1.9 zilibadilishwa matumizi na kuelekezwa kwenye mapambano dhidi ya corona na kufanya jumla ya pesa zilizotolewa na Marekani katika kukabiliana na corona Tanzania hadi sasa kufikia jumla ya USD milioni 5.3 (Bilioni 12 Tsh. )
Haina ukweli ,hawatoi hata mia kwa Tanzania.Hata mimi nimestuka
hakika mabeberu ni ndugu zetu kweri-kweri
Huyu anayetumwa na mabeberu..??Zitto atawaandikia barua kupinga
Ni ela za corona mkuu matumizi yake ni hayo siyo kwenda kula vitumbuwa!Mimi Kama chadema nimechukia marekan hamueleweki mnamsupport dicteta kwnn imeniuma sn
USA ni mabeberu si mabeberu!??Zitto atawaandikia barua kupinga
Kwani kazi ya k.u.m.a ni nini mkuu?Mkuu Mbona habari haijasema hivyo,tumuamini nani sasa mkuu? Nasikia pia kuna wabunge wawili wakike wamemkimbia mbowe kisa unyanyasaji wa kingono,anawapiga miti sana wabunge wanawake huyu mbowe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi ni hivyo hivyo kwa kweli. Makamanda hatuna budi kumhimiza Mbowe atoe tamko la kupinga.Mimi Kama chadema nimechukia marekan hamueleweki mnamsupport dicteta kwnn imeniuma sn
Ungesema beberu kaipa msaada TanzaniaMarekani imetangaza kuwa kupitia Shirika lake la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) itaongeza USD 2.4 M (Tsh. Bil. 5.6) ikiwa ni msaada kwa sekta ya afya kuimarisha uwezo wa maabara na upimaji wa kimaabara, jitihada za utoaji taarifa na miradi mingine mbalimbali. #MillardAyoUPDATES
•
Taarifa iliyotolewa na Ubalozi wa Marekani leo imesema fedha hizi ni nyongeza ya msaada wa USD milioni moja unaolenga kusaidia mapambano dhidi ya kirusi corona uliotolewa hivi karibuni hivyo kufanya kiasi kipya cha pesa zilizotolewa kwa Tanzania kukabiliana na corona kufikia USD milioni 3.4.
•
Taarifa hiyo imesema kiasi kingine cha dola za kimarekani milioni 1.9 zilibadilishwa matumizi na kuelekezwa kwenye mapambano dhidi ya corona na kufanya jumla ya pesa zilizotolewa na Marekani katika kukabiliana na corona Tanzania hadi sasa kufikia jumla ya USD milioni 5.3 (Bilioni 12 Tsh. )
Mkuu tambua kuwa chama kinachopiga miti hovyo wabunge wake hakifai,kikipita dola chama hiki kinaweza igeuza nchi kuwa ya kuhongana kimapenzi,mbowe hafai kabisaKwani kazi ya k.u.m.a ni nini mkuu?
Hii taarifa kama ni kweli, nadhani wapo sahihi kutusaidia. Kiufupi hali ni mbaya, japo tuna mbwembwe sana hasa tukiwa live kwenye vyombo vya habariAway jamaa wanaipaje ela nchi ambayo Hakuna Uhuru imeniuma sn
kama imekuuma muunge mkono rais magufuli.usiongozwe na propaganda za akina kigogo na mange.Mimi Kama chadema nimechukia marekan hamueleweki mnamsupport dicteta kwnn imeniuma sn
yap ni kawaida yake ili uchaguliwe viti maalum ni lazima mwenyekiti awaguse mabinti ndo wateuliwe.Mkuu Mbona habari haijasema hivyo,tumuamini nani sasa mkuu? Nasikia pia kuna wabunge wawili wakike wamemkimbia mbowe kisa unyanyasaji wa kingono,anawapiga miti sana wabunge wanawake huyu mbowe
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi Kama chadema nimechukia marekan hamueleweki mnamsupport dicteta kwnn imeniuma sn
Hahahah... Hadi oktoba lazima nguo za ndani mvae kichwaniHii ni FAKE NEWS Mkuu.