Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutungua kuteka kukamata vyombo vya US Sio Mchezo Ohoooo...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna siku mtazionea aibu posts hizi za kumsifia IRAN.
IRAN ni mtoto mdogo sana japo anakuja juu kwa kasi lakini hadi awe na nguvu ya kumtunishia US msuli, mpeni miaka 20 hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yah Nikwel Kabisa Ila Kuna Soleiman Kama Milliona Tano Hv Nchini IRAN...Muoga aliyeua?
Uko siriaz kweli!
Us mjanja, anajifanya hataki vita kuwapumbaza, ona alivyoleta msiba mzito.
Huyo kamanda aliyeuwawa ni sawa na wanajeshi 1000 muhimu kwa Iran
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Mimi nasubiria kwa hamu hiyo response yao maana ndio itakata mzizi wa fitna,maana tumeshachoka maneno sasa ni muda wa vitendo tuu. Nimemis sana milio ya Tomahawks Missile.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan Baada Ya Kueka Vikwazo Hakuna Taifa Hata Moja Wanatumia Mafuta Ya IRAN ?!...Vikwazo
Ila ulichofail nikwamba hujagundua sababu yakwann hawampendi US ...
Jeshini tunafundishwa kushinda vita sio kuwa na silaha nyingi bali mbinuNyie wote mnaodhani Iran anauwezo huo nawaonea huruma Sana. Nilikuwa upande wa Saddam Hussein ile miaka ya 90s, kwa mikwala aliyokuwa akipiga Saddam Hussein nilijuwa Marekani kwishney. Maskini alipigwa kama mbwa koko roho ilituuma sana. Lkn ulikuwa ni ushabiki tu usio na uhalisia.
In a long run nikajagundua kwamba marekani yupo far away kwenye Hii game ya vita technologicaly ame advance Sana. Iran ana disadvantage kubwa Sana maana amezungukwa na American military base hapo Saudia, Kuwait na nyambizi kibao baharini kwa hiyo bora wapige mkwara WA maneno tuuu halafu wakaushe.
IRAN wanaweza kum create osama akapiga september 11 nyingine we subili utaniambiaIran sijui watarepost vipi,naogopa maana napenda amani duniani.
Kiukweli naogopa. Halafu nimesikia Trump nae katuma wanajeshi kama 3000 kwenda middle East. Huyu Trump si aliondoa majeshi yake ? Why wanarudi tena. Middle East itakuja kuwa na Amani kweli ? Too sad.IRAN wanaweza kum create osama akapiga september 11 nyingine we subili utaniambia
Mwandishi mmoja wa masuala ya ugaidi anasema "Iran will retaliate without even claiming responsibility, that is what they do"
Game changer ni nuclear na makombora ya masafa marefu! Iran kama angevimiliki hivyo bila shaka US angekuwa kama jogoo wa shamba kwa Iran[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna siku mtazionea aibu posts hizi za kumsifia IRAN.
IRAN ni mtoto mdogo sana japo anakuja juu kwa kasi lakini hadi awe na nguvu ya kumtunishia US msuli, mpeni miaka 20 hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Al Udeid US airbase-Qatar,US base Kuwait,US base-Saudi Arabia,US base Bahrain,Us base UAE,US base in Iraq,US base in OmanNyie wote mnaodhani Iran anauwezo huo nawaonea huruma Sana. Nilikuwa upande wa Saddam Hussein ile miaka ya 90s, kwa mikwala aliyokuwa akipiga Saddam Hussein nilijuwa Marekani kwishney. Maskini alipigwa kama mbwa koko roho ilituuma sana. Lkn ulikuwa ni ushabiki tu usio na uhalisia.
In a long run nikajagundua kwamba marekani yupo far away kwenye Hii game ya vita technologicaly ame advance Sana. Iran ana disadvantage kubwa Sana maana amezungukwa na American military base hapo Saudia, Kuwait na nyambizi kibao baharini kwa hiyo bora wapige mkwara WA maneno tuuu halafu wakaushe.
Labda kama ulikuwa humjui huyo jamaa, kwa taarifa yako ni mashuhuri kuliko hata hassan Rouhani rais wa nchi. Na amekuwa na stutas hiyo kwa sababu. Sasa hizo story wako wengine million 5 sijui unazitoa wapi![emoji23][emoji23][emoji23]Yah Nikwel Kabisa Ila Kuna Soleiman Kama Milliona Tano Hv Nchini IRAN...
Sent using Jamii Forums mobile app
Haifunguki.....Bwana Utam, Ebu msome bwana mkubwa hapo chini.View attachment 1311533
Sent using Jamii Forums mobile app
Asimsahau na Gen. Mattis'the mad dog' tuliambiwa huyo ataipiga Iran ndani ya siku 2 tu,mwishowe kaishia kudhalilishwa na Trump akiitwa the most overated president.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwan Wakat DRONE Ina2nguliwa Alikiepo Wapi Msitafte Vichaka Vyakujifichia Hapaa [emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan Gen. Mattis ni shoga?Hahah bora huyu amekufa kazini kuliko Gen.Mattis aliyeitwa na trump(the world’s most overrated general) ambae nadhani sa hivi atakua home kwake akimkatikia mumewe,cz jeshi la US limejaza mashoga sana mzee baba.
Sent using Jamii Forums mobile app