Marekani yamuua Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran katika shambulio la roketi la uwanja wa ndege wa Baghdad

Marekani yamuua Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran katika shambulio la roketi la uwanja wa ndege wa Baghdad

Ss hv anamtisha ikifika hio miaka tajwa hapo juu c ndio litakua halishindiki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna siku mtazionea aibu posts hizi za kumsifia IRAN.
IRAN ni mtoto mdogo sana japo anakuja juu kwa kasi lakini hadi awe na nguvu ya kumtunishia US msuli, mpeni miaka 20 hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kutungua kuteka kukamata vyombo vya US Sio Mchezo Ohoooo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie wote mnaodhani Iran anauwezo huo nawaonea huruma Sana. Nilikuwa upande wa Saddam Hussein ile miaka ya 90s, kwa mikwala aliyokuwa akipiga Saddam Hussein nilijuwa Marekani kwishney. Maskini alipigwa kama mbwa koko roho ilituuma sana. Lkn ulikuwa ni ushabiki tu usio na uhalisia.

In a long run nikajagundua kwamba marekani yupo far away kwenye Hii game ya vita technologicaly ame advance Sana. Iran ana disadvantage kubwa Sana maana amezungukwa na American military base hapo Saudia, Kuwait na nyambizi kibao baharini kwa hiyo bora wapige mkwara WA maneno tuuu halafu wakaushe.
Jeshini tunafundishwa kushinda vita sio kuwa na silaha nyingi bali mbinu
 
IRAN wanaweza kum create osama akapiga september 11 nyingine we subili utaniambia
Kiukweli naogopa. Halafu nimesikia Trump nae katuma wanajeshi kama 3000 kwenda middle East. Huyu Trump si aliondoa majeshi yake ? Why wanarudi tena. Middle East itakuja kuwa na Amani kweli ? Too sad.
 
Mwandishi mmoja wa masuala ya ugaidi anasema "Iran will retaliate without even claiming responsibility, that is what they do"

Wakilipuwa Balozi zao kwenye nchi masikini watakaoumia ni hao masikini

maana msako huo watakamatwa na kubambikiwa kesi wasiohusika
Kumbe sleeper cells wamefanya yao

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna siku mtazionea aibu posts hizi za kumsifia IRAN.
IRAN ni mtoto mdogo sana japo anakuja juu kwa kasi lakini hadi awe na nguvu ya kumtunishia US msuli, mpeni miaka 20 hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Game changer ni nuclear na makombora ya masafa marefu! Iran kama angevimiliki hivyo bila shaka US angekuwa kama jogoo wa shamba kwa Iran

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie wote mnaodhani Iran anauwezo huo nawaonea huruma Sana. Nilikuwa upande wa Saddam Hussein ile miaka ya 90s, kwa mikwala aliyokuwa akipiga Saddam Hussein nilijuwa Marekani kwishney. Maskini alipigwa kama mbwa koko roho ilituuma sana. Lkn ulikuwa ni ushabiki tu usio na uhalisia.

In a long run nikajagundua kwamba marekani yupo far away kwenye Hii game ya vita technologicaly ame advance Sana. Iran ana disadvantage kubwa Sana maana amezungukwa na American military base hapo Saudia, Kuwait na nyambizi kibao baharini kwa hiyo bora wapige mkwara WA maneno tuuu halafu wakaushe.
Al Udeid US airbase-Qatar,US base Kuwait,US base-Saudi Arabia,US base Bahrain,Us base UAE,US base in Iraq,US base in Oman
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Yah Nikwel Kabisa Ila Kuna Soleiman Kama Milliona Tano Hv Nchini IRAN...

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda kama ulikuwa humjui huyo jamaa, kwa taarifa yako ni mashuhuri kuliko hata hassan Rouhani rais wa nchi. Na amekuwa na stutas hiyo kwa sababu. Sasa hizo story wako wengine million 5 sijui unazitoa wapi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwan Wakat DRONE Ina2nguliwa Alikiepo Wapi Msitafte Vichaka Vyakujifichia Hapaa [emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Asimsahau na Gen. Mattis'the mad dog' tuliambiwa huyo ataipiga Iran ndani ya siku 2 tu,mwishowe kaishia kudhalilishwa na Trump akiitwa the most overated president.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom