Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Pentagon imekiri meli yake ya kivita iitwayo USS Carney imepigwa kwa makombora kwenye bahari nyekundu.Vipigo hivyo vimehusishwa na vita vya Israel huko Gaza na kwamba meli nyengine za kibiashara zinazohusishwa na Israel nazo pia zimeshambuliwa.
Bado haijawekwa wazi kiwango cha hasara na nani aliyefanya mashambulio hayo.Hata hivyo inakisiwa zaidi imefanywa na wanamgambo wa Houth wa Yemen.
Pentagon imesema itatoa taarifa zaidi hapo baadae.
Bado haijawekwa wazi kiwango cha hasara na nani aliyefanya mashambulio hayo.Hata hivyo inakisiwa zaidi imefanywa na wanamgambo wa Houth wa Yemen.
Pentagon imesema itatoa taarifa zaidi hapo baadae.