Marekani yapata kipigo chake cha mwanzo Red Sea. Yakiri meli yake kupigwa makombora ikihusiswa na vita vya Israel

Marekani yapata kipigo chake cha mwanzo Red Sea. Yakiri meli yake kupigwa makombora ikihusiswa na vita vya Israel

Wewe kama bikra yako uliipoteza kwa kuhongwa chips yai basi tulia,acha kuwaonea wivu wenye bikra zao.
Vitabu vingine ni hadaa tu hakuna cha Mungu wala cha nini na ndio shida ya religious dogmas.
 
Pentagon imekiri meli yake ya kivita iitwayo USS Carney imepigwa kwa makombora kwenye bahari nyekundu.Vipigo hivyo vimehusishwa na vita vya Israel ...

A Pentagon official said the U.S.S. Carney shot down the drones as several commercial ships nearby came under fire as part of an attack that began at 9:15 a.m. and lasted for several hours on Sunday.

The destroyer intercepted three drones during the attack, United States Central Command said in a statement, including one that was headed in the direction of the Carney. The Pentagon said there were no injuries onboard the destroyer and that the ship was not damaged.

siku nyingine fanya kama mimi weka chanzo Kuna Tofuti kubwa kati ya kupigwa na kushmbuliwa

Mleta uzi hajui lugha ya malkia wa kiingreza ila anazani anajua
 
Drone zimekuja kubadili kabisa namna vita zinavoendeshwa. Tunakoelekea drone zitaleta mambo mazito sana na magumu ku manage
 
Vitabu vingine ni hadaa tu hakuna cha Mungu wala cha nini na ndio shida ya religious dogmas.
Wewe fuata unachokiamini na wengine waache wafuate wanachokiamini But ukileta kashfa za kipumbavu tutakupokea kama unavyokuja.
 
Masikini huwa hana cha kupoteza, ndiyo maana Taleban walisema wewe rusha mikombora yako tu hata kwa miaka 100 lakini sisi tutaendelea kupigana hata kwa miaka 1000, je wewe mzuka wa kupigana miaka yote hiyo unayo?

Ni rahisi kupigana symetrical warfare kuliko asymetrical warfare, yaani ni rahisi mno kupigana na nchi yenye kuogopa cha kupoteza kuliko wale ambao hawana cha kupoteza.
Mdo nachoona Israeli inachoenda kukutaba nacho

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Hawa walioamua ni wanamgambo maskini.Kama wataamua wababe kidogo kama Saudia na Misri ambao ndio wanaopakana na hiyo bahari nyekundu inayonajisiwa kila siku basi vita vingeisha mapema.
Kuna jamaa alizuiliwa makha alikua kavaa t-shirt imeandikwa pray for Palestine na bendera ya Palestine na tasbih yenye rangi ya bendera ya Palestine polis walimshikiria kwa muda baadae wakamuachia nahis kama Saudia yupo upande wa wazayuni
 
A Pentagon official said the U.S.S. Carney shot down the drones as several commercial ships nearby came under fire as part of an attack that began at 9:15 a.m. and lasted for several hours on Sunday. The destroyer intercepted three drones during the attack, United States Central Command said in a statement, including one that was headed in the direction of the Carney. The Pentagon said there were no injuries onboard the destroyer and that the ship was not damaged.


siku nyingine fanya kama mimi weka chanzo Kuna Tofuti kubwa kati ya kupigwa na kushmbuliwa

Mleta uzi hajui lugha ya malkia wa kiingreza ila anazani anajua
Wewe na wenzako mna vyeti bandia na maswali mnayoweza kujibu ni yale ya Yes or No na A of B.
Tumia akili yako unaposoma taarifa kwani taarifa huwa haziweki kila hisia.
Barabarani tukiona mtu kapata ajali na anajaribu kuinuka akimbie kujifariji kuwa hana neno sisi huwa tunamuweka chini na kumwambia atulie kwanza na tunampa maji kidogo anywe.
Sasa iwapo Meli ya Marekani imepigwa hawezi kukubali kirahisi lazima atajizungusha huku na kule na kuleta maneno kama droni hazikuleta madhara yoyote.Kwanini ile picha ya mwanzo waliiondoa haraka.
Tumia akili yako kujua kuwa meli ilipigwa japo yawezekana madhara hayakuwa makubwa kuifanya izame.Na kwasababu Marekani kapigwa sisi hatumsikiliza na kumuamini kauli zake zote.Tunachomwambia tulia kwanza unywe maji na ujiulize umekwenda kufuata nini pale.
 
kuna tukio jingine linakuja upande wa Israel kesho
ni matesooooo


mpango uko moto sana
hii aibu itabaki kwa westerns wote
 
Back
Top Bottom