Marekani yapata kipigo chake cha mwanzo Red Sea. Yakiri meli yake kupigwa makombora ikihusiswa na vita vya Israel

Marekani yapata kipigo chake cha mwanzo Red Sea. Yakiri meli yake kupigwa makombora ikihusiswa na vita vya Israel

kwa hili Houthis wanachokitafuta watakipata
Mbona walishindwa mtoa Assad? US inakua exaggerated mbona Afghanistan imewashinda wameondoka tu nchi imerudi kwa magaidi.

I used to be pro US ila tokea huu upuuzi wa Gaza nimeona unafiki wao. Its about time the world stands against this western lunatics.
 
Marekani ni "moja ya nchi" ambayo ina jeshi la kisasa na kila kitu kuifnya kua nchi yenye majeshi na vyombo vya ulinzi bora zaid duniani kapigana vita vingi tangu kuasisiwa kwake kuanzia vita vya wenyewe kwa wenyewe, iraq, Afghanstan, Syria, Vietinam na sehem nying san.

Kwenye modernwarfare sio tu vikundi kama Houthi atakuchokoza alafu nawewe uingie vitan sometime hekima inasaidia kuepusha mengi san maana vita sio vya kushabikia wala kukimbilia.

Houthi wanasema "wameijeruhi" meli ya kimarekani sawa vizuri vipi tunatamani marekani awapige wale wanamgambo kule yemen? au Marekani haina nguvu yeyote ya kuwapiga yaan hawezi?

Us, China na Russia hao ni kila kitu kweny majeshi duniani hawa wengine ni "mbwembwe" tu wanachokoza wakipigwa wanaanza kuona US ni wauwaji noo bhna, Tukiacha "Unafki" tunajua kabisa sijui Hamasi, Is, Talban, Houthi, Alkaida hakuna ambae anaweza kurusha sindano either ndani ya Us, china au Russia na ikitokea Us akaenda with full force basi ujue hakuna wakumzuia huko middle east hat ulaya likewise kw Russia.
 
hadithi yako umeifanya ndefu bure kwa kuthibitisha lile lile kuwa elimu yako si kitu mbele ya ukweli. Raisi na waziri wa ulinzi wa Marekani wameinuka kwenye viti vyao kuzungumzia shambulio hilo lakini wewe unajaribu kuonesha si lolote...
Taarifa yote ni hapo tu au wewe umependezwa na hapo!?..us warship was attacked
Bado hamjaonyesha wapi US warship imekuwa hit kama ambavyo mmedai kwa mbwembwe kwenye habari yenu. Tittle yenu inasema Marekani yapata kipigo chake cha mwanzo Red Sea.Yakiri meli yake kupigwa makombora ikihusiswa na vita vya Israel

There is a big difference between being attacked and being hit.
 
Hicho kiengereza chako sijui ni cha nchi gani kwani viengereza viko vya nchi mbali mbali.Kiko english/Tanzania pia.

Kwa kiengereza American nimekuonesha hapo juu kuwa wametumia neno hilo hilo la attacked kwa meli zote 4 zilizoendeshwa mchaka mchaka na Houth kwa muda wa masaa 2.

neno attacked halikubagua iwapo Sophie au Unity ndiyo iliyoumia. Kwa maana hiyo hata meli ya kivita ya Marekani nayo ilipigwa ingawaje kiwango cha madhara kinaweza kikawekwa siri.

Unadhani hiyo meli ina maajabu gani kwamba haipigiki au haikupigwa kwa masaa hayo 2.Tunaposema imepata kipigo ni sahihi kwa namna tofauti.

Iwapo haikupigwa ikazama au kutoboka upande mmoja kule kutumia rasilimali zake kurushiana makombora na Houth ni kipigo cha aina yake.

Lazima baada ya mchaka mchaka huo itaomba kuletewa vipuri zaidi vya vita na hata inaweza ikaondoka eneo hilo kwenda kupumzika kwa kipigo hicho na ikapelekwa meli nyengine kuchukua nafasi yake.Vyote hivyo ni vipigo attacked
 
Bado hamjaonyesha wapi US warship imekuwa hit kama ambavyo mmedai kwa mbwembwe kwenye habari yenu. Tittle yenu inasema Marekani yapata kipigo chake cha mwanzo Red Sea.Yakiri meli yake kupigwa makombora ikihusiswa na vita vya Israel

There is a big difference between being attacked and being hit.
Umekurupuka leo
 
Acha kuweweseka leta fact
NATO mlikimbia kule Afghanistan [emoji1023] kama ambavyo us mtakimbia hapo mido ist Afghanistan [emoji1023] ulikua mwanzo tu mjiandae kisaikolojia
Wishful thinking.
 
Wewe muumini unayeuziwa maji ya upako na chumvi ulipata nafasi ya kuchambua hilo kua unapigwa?
Halafu hata waisilam tunaona wanauziwa maji ya upako na mwisho wanaenda kushuhudia uponyaji walioupata. Maradhi, tabu na changamoto za maisha hazina cha imani.
 
Halafu hata waisilam tunaona wanauziwa maji ya upako na mwisho wanaenda kushuhudia uponyaji walioupata. Maradhi, tabu na changamoto za maisha hazina cha imani.
Endelea tu kuuziwa chumvi ya upako kisha lala usingizi huku ukisubiri utajiri ukuijie kwa njia ya kimiujiza.
 
Hicho kiengereza chako sijui ni cha nchi gani kwani viengereza viko vya nchi mbali mbali.Kiko english/Tanzania pia.
Kwa kiengereza American nimekuonesha hapo juu kuwa wametumia neno hilo hilo la attacked kwa meli zote 4 zilizoendeshwa mchaka mchaka na Houth kwa muda wa masaa 2....
Hiyo siyo kama Moskva ya Urusi, meli kubwa jinga tani 11,000 haina air defense system. Meli zote zimekuwa attacked ila USS Corney haijawa hit, kwenye habari yako na source yako hakuna ilivyoandikwa hivyo hata ukiamua kutumia English ya Saudi Arabia hupati hivyo.
 
Bado hamjaonyesha wapi US warship imekuwa hit kama ambavyo mmedai kwa mbwembwe kwenye habari yenu. Tittle yenu inasema Marekani yapata kipigo chake cha mwanzo Red Sea.Yakiri meli yake kupigwa makombora ikihusiswa na vita vya Israel

There is a big difference between being attacked and being hit.
Kwa hiyo meli zimekuwa attacked!?..fafanua
 
Hiyo siyo kama Moskva ya Urusi, meli kubwa jinga tani 11,000 haina air defense system. Meli zote zimekuwa attacked ila USS Corney haijawa hit, kwenye habari yako na source yako hakuna ilivyoandikwa hivyo hata ukiamua kutumia English ya Saudi Arabia hupati hivyo.
Chaujuaji once again,,,,
 
Back
Top Bottom