Marekani yapata kipigo chake cha mwanzo Red Sea. Yakiri meli yake kupigwa makombora ikihusiswa na vita vya Israel

Masikini huwa hana cha kupoteza, ndiyo maana Taleban walisema wewe rusha mikombora yako tu hata kwa miaka 100 lakini sisi tutaendelea kupigana hata kwa miaka 1000, je wewe mzuka wa kupigana miaka yote hiyo unayo?

Ni rahisi kupigana symetrical warfare kuliko asymetrical warfare, yaani ni rahisi mno kupigana na nchi yenye kuogopa cha kupoteza kuliko wale ambao hawana cha kupoteza.
 
Melivita ya Marekani haijapigwa, imeshambuliwa. Kushambuliwa (being attacked) na kupigwa (being hit) ni vitu viwili tofauti kabisa.
Mtu kukurushia ngumi na mtu kukupiga ngumi ni vitu tofauti.

Elimu! Elimu! Elimu!
Kushambuliwa na kupigwa inategemea ni nani anayetumia maneno hayo.Kwa hapa wewe ukisema kuwa meli imeshambuliwa tu ni kwa vile usingependa kusikia hiyo habari mbaya kwa Marekani.
Lakini hata kwenye ugomvi mitaani si rahisi kuona mtu karushiwa ngumi ukiwa mbali na yeye kuonekana akinywea halafu ukasema kashambuliwa tu.Mimi nitasema kapigwa itabaki athari ya hilo pigo kaamia au kajikausha tu ili asilie mbele za watu.
Tukija kwenye hiyo meli.Ukweli ni kuwa imepigwa hasa na picha za mwanzo zilizorushwa mitandaoni zinaionesha ikiwa imesomboka upande wake mmoja na kulala upande.
 
Hii wamejilipua wenyewe wapate sababu ya kuvamia Nchi nojawapo ya middle East.

Gas ya Russia tayari imeleta zahma kwa Western power

lazima plan B itafutwe kwa njia bora sana

Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
Kwa hali ilivyo sasa Marekani hana tena plan A na PLAN b. Mambo yamenzonga anachoona ni kuzongwa moja kwa moja kutoka A mpaka Z.Wacheza na Mungu wewe !
Urusi kaiminya US kule Ukraine mpaka us amekata tamaa kuendelea kuisaidia Ukraine na inadai silaha zake nyeti kutoka Ukraine ilizoipatia ambazo hazina tena wa kuzitumia.
Ndani ya Marekani hali ya uchumi na vita vya kifikra vya wenyewe kwa wenyewe vimeongezeka mpaka ndani ya mabunge.
Marekani hana tena marafiki wa maana duniani na vibaraka wake wa mashariki ya kati wako njiani kumuacha mkono.
 
Kushambuliwa na kupigwa inategemea ni nani anayetumia maneno hayo.Kwa hapa wewe ukisema kuwa meli imeshambuliwa tu ni kwa vile usingependa kusikia hiyo habari mbaya kwa Marekani.
Lakini hata kwenye ugomvi mitaani si rahisi kuona mtu karushiwa ngumi ukiwa mbali na yeye kuonekana akinywea halafu ukasema kashambuliwa tu.Mimi nitasema kapigwa itabaki athari ya hilo pigo kaamia au kajikausha tu ili asilie mbele za watu.
Tukija kwenye hiyo meli.Ukweli ni kuwa imepigwa hasa na picha za mwanzo zilizorushwa mitandaoni zinaionesha ikiwa imesomboka upande wake mmoja na kulala upande.
Soma reference uliyoleta, soma source uliyotumia kuleta habari inaanza hivi.

"DUBAI, United Arab Emirates (AP) — Ballistic missiles fired by Yemen's Houthi rebels struck three commercial ships Sunday in the Red Sea, while a U.S. warship shot down three drones in self-defense during the hourslong assault, the U.S. military said. The Iranian-backed Houthis claimed two of the attacks...."

Ukishindwa kuelewa tafuta mtoto wa shule ya msingi akutafsirie maana ya hii sentensi "while a U.S. warship shot down three drones in self-defense during the hourslong assault, "

Hizo picha ya meli ya Marekani ikiwa imepigwa ziko wapi?

Elimu! Elimu! Elimu!
 
Melivita ya Marekani haijapigwa, imeshambuliwa. Kushambuliwa (being attacked) na kupigwa (being hit) ni vitu viwili tofauti kabisa.
Mtu kukurushia ngumi na mtu kukupiga ngumi ni vitu tofauti.

Elimu! Elimu! Elimu!
Bro hao ni wale waumini. Imani haimpi mtu nafasi ya kuchambua, kufikiri , na hata kujua ukweli wa mambo.
 
Soma reference uliyoleta, soma source uliyotumia kuleta habari inaanza hivi.

"DUBAI, United Arab Emirates (AP) — Ballistic missiles fired by Yemen's Houthi rebels struck three commercial ships Sunday in the Red Sea, while a U.S. warship shot down three drones in self-defense during the hourslong assault, the U.S. military said. The Iranian-backed Houthis claimed two of the attacks...."

Ukishindwa kuelewa tafuta mtoto wa shule ya msingi akutafsirie maana ya hii sentensi "while a U.S. warship shot down three drones in self-defense during the hourslong assault, "

Hizo picha ya meli ya Marekani ikiwa imepigwa ziko wapi?

Elimu! Elimu! Elimu!
Elimu gani uliyonayo ambayo unachagua sentensi za kusoma ili kujifariji .Angalia hapo chini sehemu ulizoziruka au kutozifikia kuzisoma.
The attack began around 9:15 a.m. local time (0615 GMT) in Houthi-controlled Sanaa, Yemen's capital, Central Command said.

The USS Carney, a Navy destroyer, detected a ballistic missile fired from Houthi-controlled areas of Yemen at the Bahamas-flagged bulk carrier Unity Explorer. The missile hit near the ship, the U.S. said. Shortly afterward, the Carney shot down a drone headed its way(1), although it's not clear if the destroyer was the target, Central Command said.

About 30 minutes later, the Unity Explorer was hit by a missile. While responding to its distress call, the Carney shot down another incoming drone. Central Command said the Unity Explorer sustained minor damage from the missile(2).

Two other commercial ships, the Panamanian-flagged bulk carriers Number 9 and Sophie II, were both struck by missiles. The Number 9 reported some damage but no casualties, and the Sophie II reported no significant damage, Central Command said.(3)

While sailing to assist the Sophie II around 4:30 p.m. local time (1330 GMT), the Carney shot down another drone heading in its direction. The drones did no damage.(4)

The Carney, an Arleigh Burke-class guided-missile destroyer, has shot down multiple rockets the Houthis have fired toward Israel during that nation's war against Hamas in the Gaza Strip. It hasn't been damaged in any of the incidents and no injuries have been reported on board. The Defense Department initially described the assault as simply an attack on the Carney before providing more details.(5)
.........................................................

Kwanza nataka uusome huo mchaka mchaka wa Houth vizuri
1.Kombora la mwanzo lilirushwa na Houth kwa meli yenye nembo za Israel.Meli ya kivita ya US ikaona ikaamue ikisaidie.Kuona hivyo Houth wakarusha nyengine kuilenga meli ya US.
2.Lengo halisi la Houth ilikuwa ni meli za Israel.Hivyo wakaendelea kurusha makombora kwa meli nyengine iitwayo Unity explorer na meli ya US ikashindwa kuipa ulinzi na ikapigwa na kupata maumivu kidogo.
3.Wanamgambo wakaendelea kuzipiga meli nyengine za Israel za Sophie na na.9 na zote wakazipata baada ya meli ya kivita kushindwa kuyazuia makombora hayo.
4..Meli ya USS Corney ikiwa imezidiwa ilipokuwa ikienda kuisaidia meli ya Israel ya Sophie Houth wakaamua kuipiga meli hiyo ya US kwa droni na Pentagon wanadai droni hiyo haikuleta madhara yoyote.
5.Wizara ya ulinzi ya Marekani imekiri kwamba mashambulio hayo likuwa ni dhidi yake japo hawakutoa ufafanuzi wa madhara waliyopata.

Sasa wewe ni nani unayekanusha kupigwa kwa meli ya kivita ya Marekani wakati wenyewe wamekiri kipigo ilikuwa ni kwa ajili yao.
Na kama mara kadhaa katika mapambano hayo na Houthi meli hiyo ya kivita ilishindwa kuzuia makombora ya Houth kuzipiga meli hizo kadhaa za Israel kwanini tusiamini maneno ya wayemen kuwa waliipiga meli hiyo na ilipata majeraha.Kwa vipi ilishindwa kuzinusuru meli nyengine na yenyewe ilibaki salama mpaka mwisho.
Namba 5 ya Pentagon ndiyo sahihi na ni sawa na nilichokiripoti ambacho hukupenda kukisikia
 
Huyo jamaa ana mahaba na US na israel hata kwenye ukweli hawezi kuona anapenda sana kutunga story za kamba😂 alisema humu kuwa Gaza imeishagawanywa mara mbili muda wowote Israel wanamaliza kazi na Hamas wote wanamalizwa😂
 
Elimu gani uliyonayo ambayo unachagua sentensi za kusoma ili kujifariji .Angalia hapo chini sehemu ulizoziruka au kutozifikia kuzisoma.
The attack began around 9:15 a.m. local time (0615 GMT) in Houthi-controlled Sanaa, Yemen's capital, Central Command said.

The USS Carney, a Navy destroyer, detected a ballistic missile fired from Houthi-controlled areas of Yemen at the Bahamas-flagged bulk carrier Unity Explorer. The missile hit near the ship, the U.S. said. Shortly afterward, the Carney shot down a drone headed its way(1), although it's not clear if the destroyer was the target, Central Command said.
Source yako haionyeshi USS Carney kupigwa
About 30 minutes later, the Unity Explorer was hit by a missile. While responding to its distress call, the Carney shot down another incoming drone. Central Command said the Unity Explorer sustained minor damage from the missile(2).
Bado source yako haijaonyesha USS Carney kupigwa. Unit Explorer sio melivita wala sio meli ya Marekani.
Two other commercial ships, the Panamanian-flagged bulk carriers Number 9 and Sophie II, were both struck by missiles. The Number 9 reported some damage but no casualties, and the Sophie II reported no significant damage, Central Command said.(3)
Bado hapa hakuna melivita ya Marekani iliyopigwa.
While sailing to assist the Sophie II around 4:30 p.m. local time (1330 GMT), the Carney shot down another drone heading in its direction. The drones did no damage.(4)
Unaambiwa kabisa "the drone did no damage" hiyo drone imekuwa shot down. Bado unakaza kichwa.
The Carney, an Arleigh Burke-class guided-missile destroyer, has shot down multiple rockets the Houthis have fired toward Israel during that nation's war against Hamas in the Gaza Strip. It hasn't been damaged in any of the incidents and no injuries have been reported on board.
Soma sentensi ya mwisho ya source yako niliyobold.
The Defense Department initially described the assault as simply an attack on the Carney before providing more details.(5)
Ndio kilekile nakueleza, being attacked na being hit ni vitu viwili tofauti. Bado elimu yako haikusaidii kuitambua hili.
.........................................................
Kwanza nataka uusome huo mchaka mchaka wa Houth vizuri
1.Kombora la mwanzo lilirushwa na Houth kwa meli yenye nembo za Israel.Meli ya kivita ya US ikaona ikaamue ikisaidie.Kuona hivyo Houth wakarusha nyengine kuilenga meli ya US.
Melivita ya Marekani ikapigwa wapi?
2.Lengo halisi la Houth ilikuwa ni meli za Israel.Hivyo wakaendelea kurusha makombora kwa meli nyengine iitwayo Unity explorer na meli ya US ikashindwa kuipa ulinzi na ikapigwa na kupata maumivu kidogo.
Enhe hapo melivita ya Marekani ikapigwa wapi?
3.Wanamgambo wakaendelea kuzipiga meli nyengine za Israel za Sophie na na.9 na zote wakazipata baada ya meli ya kivita kushindwa kuyazuia makombora hayo.
Hizo meli za mizigo za Israel ndio melivita ya Marekani?
4..Meli ya USS Corney ikiwa imezidiwa ilipokuwa ikienda kuisaidia meli ya Israel ya Sophie Houth wakaamua kuipiga meli hiyo ya US kwa droni na Pentagon wanadai droni hiyo haikuleta madhara yoyote.
Hakuna mahala Pentagon wamesema USS Corney imepigwa, wamesema imeshambuliwa. Na hakuna madhara sababu drone imekuwa intercepted na AD systems za meli. Jifunze lugha.
5.Wizara ya ulinzi ya Marekani imekiri kwamba mashambulio hayo likuwa ni dhidi yake japo hawakutoa ufafanuzi wa madhara waliyopata.
Ndio melivita ya US ikapigwa?
Sasa wewe ni nani unayekanusha kupigwa kwa meli ya kivita ya Marekani wakati wenyewe wamekiri kipigo ilikuwa ni kwa ajili yao.
Na kama mara kadhaa katika mapambano hayo na Houthi meli hiyo ya kivita ilishindwa kuzuia makombora ya Houth kuzipiga meli hizo kadhaa za Israel kwanini tusiamini maneno ya wayemen kuwa waliipiga meli hiyo na ilipata majeraha.Kwa vipi ilishindwa kuzinusuru meli nyengine na yenyewe ilibaki salama mpaka mwisho.
Namba 5 ya Pentagon ndiyo sahihi na ni sawa na nilichokiripoti ambacho hukupenda kukisikia
Bado elimu ni tatizo kubwa sana kwako.

Kwenye source uliyoweka kama reference ni wapi umesoma panapoonyesha melivita ya Marekani imepigwa?

Na ni wapi Marekani imekiri melivita yake imepigwa?

Na picha ulizosema ziko wapi. Mbona unazificha?
 
Hao magaidi wana mapepo sana na naona hayo mapepo yanawatafutia wale mabikra 72 kule ahera na pombe inayotiririka kwenye mito ya huko.
Pentagon imekiri meli yake ya kivita iitwayo USS Carney imepigwa kwa makombora kwenye bahari nyekundu.Vipigo hivyo vimehusishwa na vita vya Israel huko Gaza na kwamba meli nyengine za kibiashara zinazohusishwa na Israel nazo pia zimeshambuliwa.

Bado haijawekwa wazi kiwango cha hasara na nani aliyefanya mashambulio hayo.Hata hivyo inakisiwa zaidi imefanywa na wanamgambo wa Houth wa Yemen.

Pentagon imesema itatoa taarifa zaidi hapo baadae.

The Pentagon says US warship, commercial ships attacked in Red Sea. Houthis claim attacking 2 ships

View attachment 2832440
Kibano kikishuka hatutaki kilio huku marekani anapeleka msiba mzito

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Source yako haionyeshi USS Carney kupigwa

Bado source yako haijaonyesha USS Carney kupigwa. Unit Explorer sio melivita wala sio meli ya Marekani.

Bado hapa hakuna melivita ya Marekani iliyopigwa.

Unaambiwa kabisa "the drone did no damage" hiyo drone imekuwa shot down. Bado unakaza kichwa.

Soma sentensi ya mwisho ya source yako niliyobold.

Ndio kilekile nakueleza, being attacked na being hit ni vitu viwili tofauti. Bado elimu yako haikusaidii kuitambua hili.

Melivita ya Marekani ikapigwa wapi?

Enhe hapo melivita ya Marekani ikapigwa wapi?

Hizo meli za mizigo za Israel ndio melivita ya Marekani?

Hakuna mahala Pentagon wamesema USS Corney imepigwa, wamesema imeshambuliwa. Na hakuna madhara sababu drone imekuwa intercepted na AD systems za meli. Jifunze lugha.

Ndio melivita ya US ikapigwa?

Bado elimu ni tatizo kubwa sana kwako.

Kwenye source uliyoweka kama reference ni wapi umesoma panapoonyesha melivita ya Marekani imepigwa?

Na ni wapi Marekani imekiri melivita yake imepigwa?

Na picha ulizosema ziko wapi. Mbona unazificha?
hadithi yako umeifanya ndefu bure kwa kuthibitisha lile lile kuwa elimu yako si kitu mbele ya ukweli .
Raisi na waziri wa ulinzi wa Marekani wameinuka kwenye viti vyao kuzungumzia shambulio hilo lakini wewe unajaribu kuonesha si lolote.
Nikufupishie maelezo kuonesha akili yako mara nyengine inashindwa kusoma na kuelewa habari na ukishasoma huwa hufahamu undani wa habari kutokana na mahaba yako.
Hapo juu ulichokuwa ukitetea ni kuwa meli ya Marekani haikupigwa na umekiri kuwa kuna meli nyengine zilipigwa.Ukataka kutofautisha maneno ya hit na attack kuwa yana maana tofauti. Pale inapohusika meli ya kivita ya Marekani ni attack lakini nyengine ni hit.
Habari hiyo kwenye vyombo vyengine vya habari hawakuweka tofauti kati ya meli ya kivita ya Marekani na hizo nyengine za Israel .Wametumia maneno hayo hayo kuonesha zote zilipigwa na Pentagon nayo ikafahamu hivyo hivyo.Angalia hapo chini.
Kitakachotofautiana ni kiwango cha madhara tu lakini zote zilipigwa.Usiwe na kichwa ngumu namna hiyo mbona kule Gaza tunasema hospitali ya Alshfa ilipigwa na IDF.madhar tu ndio yalitofautina.Wagonjwa walikufa na madaktari wakajeruhiwa.
1701675768285.png
 
The US says three commercial ships have been attacked by missiles in the Red Sea - with one of its destroyers shooting down armed drones as it went to help.

The Bahamas-flagged Unity Explorer, owned by a British company, was one of the vessels targeted in the drone and missile assault on Sunday and suffered minor damage, US military Central Command said.

The attacks happened near Yemen and Houthi rebels have claimed responsibility, saying they would stop Israeli-linked ships passing while the war in Gaza is ongoing.

Israel said the ships are not connected to the country.

US Central Command said all the ships attacked were in international waters and that the USS Carney went to help after receiving distress calls and shot down three drones.
 
Hawa walioamua ni wanamgambo maskini.Kama wataamua wababe kidogo kama Saudia na Misri ambao ndio wanaopakana na hiyo bahari nyekundu inayonajisiwa kila siku basi vita vingeisha mapema.
Kwani hao wanamgambo masikini deen Gani??
Na HAO wababe wanataka kwenda Sardaus kula bata BILA ngeu??
 
Soma reference uliyoleta, soma source uliyotumia kuleta habari inaanza hivi.

"DUBAI, United Arab Emirates (AP) — Ballistic missiles fired by Yemen's Houthi rebels struck three commercial ships Sunday in the Red Sea, while a U.S. warship shot down three drones in self-defense during the hourslong assault, the U.S. military said. The Iranian-backed Houthis claimed two of the attacks...."

Ukishindwa kuelewa tafuta mtoto wa shule ya msingi akutafsirie maana ya hii sentensi "while a U.S. warship shot down three drones in self-defense during the hourslong assault, "

Hizo picha ya meli ya Marekani ikiwa imepigwa ziko wapi?

Elimu! Elimu! Elimu!
Taarifa yote ni hapo tu au wewe umependezwa na hapo!?..us warship was attacked
 
Back
Top Bottom