Soma reference uliyoleta, soma source uliyotumia kuleta habari inaanza hivi.
"DUBAI, United Arab Emirates (AP) — Ballistic missiles fired by Yemen's Houthi rebels struck three commercial ships Sunday in the Red Sea, while a U.S. warship shot down three drones in self-defense during the hourslong assault, the U.S. military said. The Iranian-backed Houthis claimed two of the attacks...."
Ukishindwa kuelewa tafuta mtoto wa shule ya msingi akutafsirie maana ya hii sentensi "while a U.S. warship shot down three drones in self-defense during the hourslong assault, "
Hizo picha ya meli ya Marekani ikiwa imepigwa ziko wapi?
Elimu! Elimu! Elimu!
Elimu gani uliyonayo ambayo unachagua sentensi za kusoma ili kujifariji .Angalia hapo chini sehemu ulizoziruka au kutozifikia kuzisoma.
The attack began around 9:15 a.m. local time (0615 GMT) in Houthi-controlled Sanaa, Yemen's capital, Central Command said.
The USS Carney, a Navy destroyer, detected a ballistic missile fired from Houthi-controlled areas of Yemen at the Bahamas-flagged bulk carrier Unity Explorer. The missile hit near the ship, the U.S. said.
Shortly afterward, the Carney shot down a drone headed its way(1), although it's not clear if the destroyer was the target, Central Command said.
About 30 minutes later, the Unity Explorer was hit by a missile. While responding to its distress call, the Carney shot down another incoming drone.
Central Command said the Unity Explorer sustained minor damage from the missile(2).
Two other commercial ships, the Panamanian-flagged bulk carriers Number 9 and Sophie II, were both struck by missiles. The Number 9 reported some damage but no casualties, and the Sophie II reported no significant damage, Central Command said.(3)
While sailing to assist the Sophie II around 4:30 p.m. local time (1330 GMT), the Carney shot down another drone heading in its direction. The drones did no damage.(4)
The Carney, an Arleigh Burke-class guided-missile destroyer, has shot down multiple rockets the Houthis have fired toward Israel during that nation's war against Hamas in the Gaza Strip. It hasn't been damaged in any of the incidents and no injuries have been reported on board.
The Defense Department initially described the assault as simply an attack on the Carney before providing more details.(5)
.........................................................
Kwanza nataka uusome huo mchaka mchaka wa Houth vizuri
1.Kombora la mwanzo lilirushwa na Houth kwa meli yenye nembo za Israel.Meli ya kivita ya US ikaona ikaamue ikisaidie.Kuona hivyo Houth wakarusha nyengine kuilenga meli ya US.
2.Lengo halisi la Houth ilikuwa ni meli za Israel.Hivyo wakaendelea kurusha makombora kwa meli nyengine iitwayo Unity explorer na meli ya US ikashindwa kuipa ulinzi na ikapigwa na kupata maumivu kidogo.
3.Wanamgambo wakaendelea kuzipiga meli nyengine za Israel za Sophie na na.9 na zote wakazipata baada ya meli ya kivita kushindwa kuyazuia makombora hayo.
4..Meli ya USS Corney ikiwa imezidiwa ilipokuwa ikienda kuisaidia meli ya Israel ya Sophie Houth wakaamua kuipiga meli hiyo ya US kwa droni na Pentagon wanadai droni hiyo haikuleta madhara yoyote.
5.Wizara ya ulinzi ya Marekani imekiri kwamba mashambulio hayo likuwa ni dhidi yake japo hawakutoa ufafanuzi wa madhara waliyopata.
Sasa wewe ni nani unayekanusha kupigwa kwa meli ya kivita ya Marekani wakati wenyewe wamekiri kipigo ilikuwa ni kwa ajili yao.
Na kama mara kadhaa katika mapambano hayo na Houthi meli hiyo ya kivita ilishindwa kuzuia makombora ya Houth kuzipiga meli hizo kadhaa za Israel kwanini tusiamini maneno ya wayemen kuwa waliipiga meli hiyo na ilipata majeraha.Kwa vipi ilishindwa kuzinusuru meli nyengine na yenyewe ilibaki salama mpaka mwisho.
Namba 5 ya Pentagon ndiyo sahihi na ni sawa na nilichokiripoti ambacho hukupenda kukisikia