Marekani yapata kipigo chake cha mwanzo Red Sea. Yakiri meli yake kupigwa makombora ikihusiswa na vita vya Israel

Pentagon imekiri meli yake ya kivita iitwayo USS Carney imepigwa kwa makombora kwenye bahari nyekundu.Vipigo hivyo vimehusishwa na vita vya Israel huko Gaza na kwamba meli nyengine za kibiashara zinazohusishwa na Israel nazo pia zimeshambuliwa.

Bado haijawekwa wazi kiwango cha hasara na nani aliyefanya mashambulio hayo.Hata hivyo inakisiwa zaidi imefanywa na wanamgambo wa Houth wa Yemen.

Pentagon imesema itatoa taarifa zaidi hapo baadae.

The Pentagon says US warship, commercial ships attacked in Red Sea. Houthis claim attacking 2 ships

View attachment 2832440
Hongera sana kwa kupambana
 
Melivita ya Marekani haijapigwa, imeshambuliwa. Kushambuliwa (being attacked) na kupigwa (being hit) ni vitu viwili tofauti kabisa.

Mtu kukurushia ngumi na mtu kukupiga ngumi ni vitu tofauti.

Elimu! Elimu! Elimu!
Kwahio kushambuliwa na kupigwa ni mambo tofauti?😂
 
Kwa hali ilivyo sasa Marekani hana tena plan A na PLAN b. Mambo yamenzonga anachoona ni kuzongwa moja kwa moja kutoka A mpaka Z.Wacheza na Mungu wewe !
Urusi kaiminya US kule Ukraine mpaka us amekata tamaa kuendelea kuisaidia Ukraine na inadai silaha zake nyeti kutoka Ukraine ilizoipatia ambazo hazina tena wa kuzitumia.
Ndani ya Marekani hali ya uchumi na vita vya kifikra vya wenyewe kwa wenyewe vimeongezeka mpaka ndani ya mabunge.
Marekani hana tena marafiki wa maana duniani na vibaraka wake wa mashariki ya kati wako njiani kumuacha mkono.
Hizi story wewe unazipataga wapi Mkuu?
 
Pentagon imekiri meli yake ya kivita iitwayo USS Carney imepigwa kwa makombora kwenye bahari nyekundu.Vipigo hivyo vimehusishwa na vita vya Israel huko Gaza na kwamba meli nyengine za kibiashara zinazohusishwa na Israel nazo pia zimeshambuliwa.

Bado haijawekwa wazi kiwango cha hasara na nani aliyefanya mashambulio hayo.Hata hivyo inakisiwa zaidi imefanywa na wanamgambo wa Houth wa Yemen.

Pentagon imesema itatoa taarifa zaidi hapo baadae.

The Pentagon says US warship, commercial ships attacked in Red Sea. Houthis claim attacking 2 ships

View attachment 2832440
ajabu yake, wakianza kupewa kipondo mnakuja hapa kuomba ceasefire. waarabu akili zao ndogo sana.
 
Kwahio kushambuliwa na kupigwa ni mambo tofauti?😂
Kijeshi hayo ni mambo tofauti sana. Kufanya shambulizi kwa meli hata kombora lidondoke majini kilomita moja kutoka meli ilipo, litakuwa registered kama shambulizi na wakati hata crew nzima haijahisi kilichotokea nje labda control room.

Meli kuwa hit, ni kitu kingine. Unaweza fanya hata mashambulizi 10 na usiwe na hit hata moja. Ni kama ambavyo hatuwezi zungumzia mpira tukahesabu mashambulizi kama magoli.
 
Huu mkasa sijui mnabishiana wapi
Ila nakumbuka wakati twin towers pale us zinapondwa
Kama sijakosea ni bush yule aloitangazia us na ulimwengu kwaujumla kua us ipo under attack kwanini haikua under hit???
 
Meli nyengine ya Marekani yaingia mzigoni kufukuzana na droni za Houth baada ya ile ya mwanzo kutoonekana eneo la tukio.
Meli hiyo mpya ni USS Mason ambayo safari hii ililengwa yenyewe peke yake na kombora hilo kwa mujibu wa Pentagon halikuleta hasara yoyote kwa vifaa wala askari waliokuwemo kwenye meli hiyo.
1701928454845.png
 
Sasa hivi bikira ni 73 imeongezeka 1 ya bikira maria .
Just to make the record straight, Virgin Mary is not one of the imaginary virgins forming a narrative in the moslem scriptures.

Insinuating that Virgin Mary is one of those mythical virgins spoken about in the Quran is a sacrilege in Christianity and it's a fiction that cannot be allowed to stand.

Let the muslims exalt their spurious virgins and not draw a parallel with the God's devine Virgin.
 
Toka hapa na kakingereza kako uchwara maria mama wa Yesu ni bikira kama wanawake wengine ambao hawajawahi kukutana na mwanaume.
 
Kumbe masjid wanaruhusu bangi...😛😛😛 na hata kiingereza huwezi kuelewa kwa sababu muda wako mwingi ulikuwa madrasa halafu mnakuja kulalamika kama kawaida kwamba hampewi ajira.
 
Ngoja nikuache kwanza maana hapo ulipo " Imeloa " hatuwezi kuelewana .
 
Mbona walishindwa mtoa Assad? US inakua exaggerated mbona Afghanistan imewashinda wameondoka tu nchi imerudi kwa magaidi.

I used to be pro US ila tokea huu upuuzi wa Gaza nimeona unafiki wao. Its about time the world stands against this western lunatics.

Mind this; there shall be no peaceful world without a powerful US.
 
Hawa walioamua ni wanamgambo maskini.Kama wataamua wababe kidogo kama Saudia na Misri ambao ndio wanaopakana na hiyo bahari nyekundu inayonajisiwa kila siku basi vita vingeisha mapema.
Sasa Misri na Saudia ni wababe against nani?
 
Kwa hali ilivyo sasa Marekani hana tena plan A na PLAN b. Mambo yamenzonga anachoona ni kuzongwa moja kwa moja kutoka A mpaka Z.Wacheza na Mungu wewe !
Urusi kaiminya US kule Ukraine mpaka us amekata tamaa kuendelea kuisaidia Ukraine na inadai silaha zake nyeti kutoka Ukraine ilizoipatia ambazo hazina tena wa kuzitumia.
Ndani ya Marekani hali ya uchumi na vita vya kifikra vya wenyewe kwa wenyewe vimeongezeka mpaka ndani ya mabunge.
Marekani hana tena marafiki wa maana duniani na vibaraka wake wa mashariki ya kati wako njiani kumuacha mkono.
Unamuacha mkono, wakati unatumia android, iOS, Window, Visa na Master Card
 
Back
Top Bottom