Marekani yapata kipigo chake cha mwanzo Red Sea. Yakiri meli yake kupigwa makombora ikihusiswa na vita vya Israel

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Pentagon imekiri meli yake ya kivita iitwayo USS Carney imepigwa kwa makombora kwenye bahari nyekundu.Vipigo hivyo vimehusishwa na vita vya Israel huko Gaza na kwamba meli nyengine za kibiashara zinazohusishwa na Israel nazo pia zimeshambuliwa.

Bado haijawekwa wazi kiwango cha hasara na nani aliyefanya mashambulio hayo.Hata hivyo inakisiwa zaidi imefanywa na wanamgambo wa Houth wa Yemen.

Pentagon imesema itatoa taarifa zaidi hapo baadae.

The Pentagon says US warship, commercial ships attacked in Red Sea. Houthis claim attacking 2 ships

 
Melivita ya Marekani haijapigwa, imeshambuliwa. Kushambuliwa (being attacked) na kupigwa (being hit) ni vitu viwili tofauti kabisa.

Mtu kukurushia ngumi na mtu kukupiga ngumi ni vitu tofauti.

Elimu! Elimu! Elimu!
 
Hii wamejilipua wenyewe wapate sababu ya kuvamia Nchi nojawapo ya middle East.

Gas ya Russia tayari imeleta zahma kwa Western power

lazima plan B itafutwe kwa njia bora sana

Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…