Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Hata Afghanistan [emoji1023] na Vietnam [emoji1264] mulidhania haliwezekaniUnajifurahisha tu japo unafahamu vizuri kwamba unachojisemea ni kitu hakiwezekani kabisa.
Wewe kama bikra yako uliipoteza kwa kuhongwa chips yai basi tulia,acha kuwaonea wivu wenye bikra zao.Hao magaidi wana mapepo sana na naona hayo mapepo yanawatafutia wale mabikra 72 kule ahera na pombe inayotiririka kwenye mito ya huko.
Wewe muumini unayeuziwa maji ya upako na chumvi ulipata nafasi ya kuchambua hilo kua unapigwa?Bro hao ni wale waumini. Imani haimpi mtu nafasi ya kuchambua, kufikiri , na hata kujua ukweli wa mambo.
Vitabu vingine ni hadaa tu hakuna cha Mungu wala cha nini na ndio shida ya religious dogmas.Wewe kama bikra yako uliipoteza kwa kuhongwa chips yai basi tulia,acha kuwaonea wivu wenye bikra zao.
Pentagon imekiri meli yake ya kivita iitwayo USS Carney imepigwa kwa makombora kwenye bahari nyekundu.Vipigo hivyo vimehusishwa na vita vya Israel ...
Pipe dream.Hata Afghanistan [emoji1023] na Vietnam [emoji1264] mulidhania haliwezekani
Mwanzo wa mwisho wa us kuikalia mido ist unakuja
Wewe fuata unachokiamini na wengine waache wafuate wanachokiamini But ukileta kashfa za kipumbavu tutakupokea kama unavyokuja.Vitabu vingine ni hadaa tu hakuna cha Mungu wala cha nini na ndio shida ya religious dogmas.
Acha kuweweseka leta factPipe dream.
Mdo nachoona Israeli inachoenda kukutaba nachoMasikini huwa hana cha kupoteza, ndiyo maana Taleban walisema wewe rusha mikombora yako tu hata kwa miaka 100 lakini sisi tutaendelea kupigana hata kwa miaka 1000, je wewe mzuka wa kupigana miaka yote hiyo unayo?
Ni rahisi kupigana symetrical warfare kuliko asymetrical warfare, yaani ni rahisi mno kupigana na nchi yenye kuogopa cha kupoteza kuliko wale ambao hawana cha kupoteza.
Na hii kitu ndo marekani akitangulia kukijua kwa sasa kila nchi inaweza kumilikiDrone zimekuja kubadili kabisa namna vita zinavoendeshwa. Tunakoelekea drone zitaleta mambo mazito sana na magumu ku manage
Kuna jamaa alizuiliwa makha alikua kavaa t-shirt imeandikwa pray for Palestine na bendera ya Palestine na tasbih yenye rangi ya bendera ya Palestine polis walimshikiria kwa muda baadae wakamuachia nahis kama Saudia yupo upande wa wazayuniHawa walioamua ni wanamgambo maskini.Kama wataamua wababe kidogo kama Saudia na Misri ambao ndio wanaopakana na hiyo bahari nyekundu inayonajisiwa kila siku basi vita vingeisha mapema.
Wewe na wenzako mna vyeti bandia na maswali mnayoweza kujibu ni yale ya Yes or No na A of B.A Pentagon official said the U.S.S. Carney shot down the drones as several commercial ships nearby came under fire as part of an attack that began at 9:15 a.m. and lasted for several hours on Sunday. The destroyer intercepted three drones during the attack, United States Central Command said in a statement, including one that was headed in the direction of the Carney. The Pentagon said there were no injuries onboard the destroyer and that the ship was not damaged.
siku nyingine fanya kama mimi weka chanzo Kuna Tofuti kubwa kati ya kupigwa na kushmbuliwa
Mleta uzi hajui lugha ya malkia wa kiingreza ila anazani anajua
Yeah,it can't get hit without being attacked..so attack is a wider 'word'attacked & hit have got same meaning .What it means further depends on the interest of a reader.
Katika vizee unavyovichambisha huko ughaibuni,hakuna hata kimoja chenye 'special place in your heart!?'Bibie you know what despite this arguments you still have a special place in my heart.
Nadhani watu wa kwanza ku operate drones ni Waingereza na ziliongozwa kwa radio waves na ni zamani huko kipindi cha vita ya kwanza ya duniaNa hii kitu ndo marekani akitangulia kukijua kwa sasa kila nchi inaweza kumiliki
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app