Necromancer
JF-Expert Member
- Sep 20, 2018
- 3,187
- 3,138
Hongera sana kwa kupambanaPentagon imekiri meli yake ya kivita iitwayo USS Carney imepigwa kwa makombora kwenye bahari nyekundu.Vipigo hivyo vimehusishwa na vita vya Israel huko Gaza na kwamba meli nyengine za kibiashara zinazohusishwa na Israel nazo pia zimeshambuliwa.
Bado haijawekwa wazi kiwango cha hasara na nani aliyefanya mashambulio hayo.Hata hivyo inakisiwa zaidi imefanywa na wanamgambo wa Houth wa Yemen.
Pentagon imesema itatoa taarifa zaidi hapo baadae.
The Pentagon says US warship, commercial ships attacked in Red Sea. Houthis claim attacking 2 ships
View attachment 2832440
Kwahio kushambuliwa na kupigwa ni mambo tofauti?πMelivita ya Marekani haijapigwa, imeshambuliwa. Kushambuliwa (being attacked) na kupigwa (being hit) ni vitu viwili tofauti kabisa.
Mtu kukurushia ngumi na mtu kukupiga ngumi ni vitu tofauti.
Elimu! Elimu! Elimu!
Hizi story wewe unazipataga wapi Mkuu?Kwa hali ilivyo sasa Marekani hana tena plan A na PLAN b. Mambo yamenzonga anachoona ni kuzongwa moja kwa moja kutoka A mpaka Z.Wacheza na Mungu wewe !
Urusi kaiminya US kule Ukraine mpaka us amekata tamaa kuendelea kuisaidia Ukraine na inadai silaha zake nyeti kutoka Ukraine ilizoipatia ambazo hazina tena wa kuzitumia.
Ndani ya Marekani hali ya uchumi na vita vya kifikra vya wenyewe kwa wenyewe vimeongezeka mpaka ndani ya mabunge.
Marekani hana tena marafiki wa maana duniani na vibaraka wake wa mashariki ya kati wako njiani kumuacha mkono.
Habari zilizofuatia jana kuhusu ule mkasa wa USS corney na Houth ni kwamba kumbe ule mpambano haukuwa wa saa 1.5 kama walivyodanya Pentagon mwanzo.Ilikuwa ni karibu nusu siku nzima.Kwahio kushambuliwa na kupigwa ni mambo tofauti?π
ajabu yake, wakianza kupewa kipondo mnakuja hapa kuomba ceasefire. waarabu akili zao ndogo sana.Pentagon imekiri meli yake ya kivita iitwayo USS Carney imepigwa kwa makombora kwenye bahari nyekundu.Vipigo hivyo vimehusishwa na vita vya Israel huko Gaza na kwamba meli nyengine za kibiashara zinazohusishwa na Israel nazo pia zimeshambuliwa.
Bado haijawekwa wazi kiwango cha hasara na nani aliyefanya mashambulio hayo.Hata hivyo inakisiwa zaidi imefanywa na wanamgambo wa Houth wa Yemen.
Pentagon imesema itatoa taarifa zaidi hapo baadae.
The Pentagon says US warship, commercial ships attacked in Red Sea. Houthis claim attacking 2 ships
View attachment 2832440
Kijeshi hayo ni mambo tofauti sana. Kufanya shambulizi kwa meli hata kombora lidondoke majini kilomita moja kutoka meli ilipo, litakuwa registered kama shambulizi na wakati hata crew nzima haijahisi kilichotokea nje labda control room.Kwahio kushambuliwa na kupigwa ni mambo tofauti?π
Wanajua watapigika kama paka mwiziWatabe wa dunia wanajizuia kwa nguvu zote kutoingia ktk huo mtego kwa sabab madhara yake ni makubwa
Huu mkasa sijui mnabishiana wapiKijeshi hayo ni mambo tofauti sana. Kufanya shambulizi kwa meli hata kombora lidondoke majini kilomita moja kutoka meli ilipo, litakuwa registered kama shambulizi na wakati hata crew nzima haijahisi kilichotokea nje labda control room.
Meli kuwa hit, ni kitu kingine. Unaweza fanya hata mashambulizi 10 na usiwe na hit hata moja. Ni kama ambavyo hatuwezi zungumzia mpira tukahesabu mashambulizi kama magoli.
Sasa hivi bikira ni 73 imeongezeka 1 ya bikira maria .Hao magaidi wana mapepo sana na naona hayo mapepo yanawatafutia wale mabikra 72 kule ahera na pombe inayotiririka kwenye mito ya huko.
Just to make the record straight, Virgin Mary is not one of the imaginary virgins forming a narrative in the moslem scriptures.Sasa hivi bikira ni 73 imeongezeka 1 ya bikira maria .
Toka hapa na kakingereza kako uchwara maria mama wa Yesu ni bikira kama wanawake wengine ambao hawajawahi kukutana na mwanaume.Just to make the record straight, Virgin Mary is not one of the imaginary virgins forming a narrative in the moslem scriptures.
Insinuating that Virgin Mary is one of those mythical virgins spoken about in the Quran is a sacrilege in Christianity and it's a fiction that cannot be allowed to stand.
Let the muslims exalt their spurious virgins and not draw a parallel with the God's devine Virgin.
Kumbe masjid wanaruhusu bangi...πππ na hata kiingereza huwezi kuelewa kwa sababu muda wako mwingi ulikuwa madrasa halafu mnakuja kulalamika kama kawaida kwamba hampewi ajira.Toka hapa na kakingereza kako uchwara maria mama wa Yesu ni bikira kama wanawake wengine ambao hawajawahi kukutana na mwanaume.
Ngoja nikuache kwanza maana hapo ulipo " Imeloa " hatuwezi kuelewana .Kumbe masjid wanaruhusu bangi...πππ na hata kiingereza huwezi kuelewa kwa sababu muda wako mwingi ulikuwa madrasa halafu mnakuja kulalamika kama kawaida kwamba hampewi ajira.
Mtabe wa dunia ni mmoja tu. THE BEASTS OF US.Watabe wa dunia wanajizuia kwa nguvu zote kutoingia ktk huo mtego kwa sabab madhara yake ni makubwa
Mbona walishindwa mtoa Assad? US inakua exaggerated mbona Afghanistan imewashinda wameondoka tu nchi imerudi kwa magaidi.
I used to be pro US ila tokea huu upuuzi wa Gaza nimeona unafiki wao. Its about time the world stands against this western lunatics.
Sasa Misri na Saudia ni wababe against nani?Hawa walioamua ni wanamgambo maskini.Kama wataamua wababe kidogo kama Saudia na Misri ambao ndio wanaopakana na hiyo bahari nyekundu inayonajisiwa kila siku basi vita vingeisha mapema.
Unamuacha mkono, wakati unatumia android, iOS, Window, Visa na Master CardKwa hali ilivyo sasa Marekani hana tena plan A na PLAN b. Mambo yamenzonga anachoona ni kuzongwa moja kwa moja kutoka A mpaka Z.Wacheza na Mungu wewe !
Urusi kaiminya US kule Ukraine mpaka us amekata tamaa kuendelea kuisaidia Ukraine na inadai silaha zake nyeti kutoka Ukraine ilizoipatia ambazo hazina tena wa kuzitumia.
Ndani ya Marekani hali ya uchumi na vita vya kifikra vya wenyewe kwa wenyewe vimeongezeka mpaka ndani ya mabunge.
Marekani hana tena marafiki wa maana duniani na vibaraka wake wa mashariki ya kati wako njiani kumuacha mkono.