gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 3,915
- 6,272
Thaad ulikuwepo saudia wakati houthi wanakichafua ndani ya saudia kwa drones na rocketsIlifeli David sling, Arrow2, Iron Dome, Aegis system, F-35. Hiyo THAAD inaenda kujitafutiaaibu tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thaad ulikuwepo saudia wakati houthi wanakichafua ndani ya saudia kwa drones na rocketsIlifeli David sling, Arrow2, Iron Dome, Aegis system, F-35. Hiyo THAAD inaenda kujitafutiaaibu tu.
THAAD mbona Israel anayo kitambo kwa Hypersonic mbona wanajisumbua tu kwa hizo Hypersonic missiles alizo tumia Iran zinachukua 8 to 12 minute kufika Israel hazikufanya kitu. Alizo nazo Iran hakuzitumia ni 4 to 5 minutes ziko Israel.Ilifeli David sling, Arrow2, Iron Dome, Aegis system, F-35. Hiyo THAAD inaenda kujitafutiaaibu tu.
Sometimes nikiwa nasoma michango yetu kuhusu ugomvi wa mashariki ya kati, huaga nahisi hua tunachangia tukiwa tayari tuna either upande or maandishi yetu yanakua na milengo ya kiimani. Naombeni mfano mmoja tu wa taifa lolote kubwa lililowahi kwenda kupigana na taifa lingine likiwa pekee yake, just one. Fatilia vita vyote ambavyo USA kapigana either direct or indirect utagundua kuna mataifa zaidi ya 5 yanakua nyuma yake. Mnaikumbuka ile Gulfwar ya mwaka 1990 wakati Sadaam Hussein analazimishwa kuondoka Kuwait? Marekani alilwenda na mataifa ya Ulaya 29, Saudia ikiwa ime provide viwanja vya ndege na mafuta same as Egypt, well what about vita iliomuondoa Sadam Hussein hadi kupelekea kifo chake? All European community were involved except France only, same as Libya etc. Kinacho endelea Russia na Ukraine je? NATO wote wapo against Russia but same Russia anapewa support kubwa na Iran, North Korea na kidogo from China, Iran nae kwenye vita hi hi yote na Russia plus Yemen, cha ajabu nini kwa Israeli?Si tuliambiwa Israel inajisimamia wenyewe mara oooh mzayuni ni mtu hatari tukiwaambia hawa walemavu wa kisiasa bila msaada wa mabeberu hawatoboi wiki mbili muwe mnaelewa
NEW:
[emoji1134][emoji631] The U.S. will deploy a THAAD air defense battery in Israel, after the failure during the attack from Iran
The THAAD (Terminal High Altitude Area Defense) air defense system is designed to intercept short, medium, and intermediate-range ballistic missiles during their terminal phase of flight at altitudes of 40 to 150 kilometers, with an operational range of 200 kilometers.
@MilitaryPOVView attachment 3123013
My take:Watapeleka tu na italipuliwa kama iran walivyolipua ile radar ya trilioni 3[emoji23][emoji23][emoji23]
Thaad yenyewe ina launchers 6 na kila launcher ina interceptors 8, na kila kila launchers inachukua dkk 30 ku reload, muda huo missile imetoka Tehran hadi Tel Aviv.Nakwambia Thad haiwezi kuzuia kifurushi cha buku never on earth, itaanza kupambana na drone za bei rahisi buku 2 zinamchosha battery alafu kina kuja kifurushi sasa cha ballistic buku sidhani kama atatoboa athari itakua kubwa mno
Hizo manati Iran anazirusha 180+ zinaishia kuua mpalestina na hizo ni teknolojia ya ya mchina na mrusi.Zilifeli and then ICBM za Iran hazikuua hata mbu?
Sometimes nikiwa nasoma michango yetu kuhusu ugomvi wa mashariki ya kati, huaga nahisi hua tunachangia tukiwa tayari tuna either upande or maandishi yetu yanakua na milengo ya kiimani. Naombeni mfano mmoja tu wa taifa lolote kubwa lililowahi kwenda kupigana na taifa lingine likiwa pekee yake, just one. Fatilia vita vyote ambavyo USA kapigana either direct or indirect utagundua kuna mataifa zaidi ya 5 yanakua nyuma yake. Mnaikumbuka ile Gulfwar ya mwaka 1990 wakati Sadaam Hussein analazimishwa kuondoka Kuwait? Marekani alilwenda na mataifa ya Ulaya 29, Saudia ikiwa ime provide viwanja vya ndege na mafuta same as Egypt, well what about vita iliomuondoa Sadam Hussein hadi kupelekea kifo chake? All European community were involved except France only, same as Libya etc. Kinacho endelea Russia na Ukraine je? NATO wote wapo against Russia but same Russia anapewa support kubwa na Iran, North Korea na kidogo from China, Iran nae kwenye vita hi hi yote na Russia plus Yemen, cha ajabu nini kwa Israeli?
Hiyo arrow-3 ndio ilisaidia sana yale makombora ya Iran yasipenye na kuleta hatari.Ilifeli David sling, Arrow2, Iron Dome, Aegis system, F-35. Hiyo THAAD inaenda kujitafutiaaibu tu.
Ya kwamba makombora haya kupenya?😃😃😃😃😀 acha utani basi.
Nani anachangiwa?hata kama ni wewe unapigana mtu alafu watu zaidi ya wanne wanakuchangia
Ukijua haya. Ndo utakujua kusema ukweli na uhakika ni utopia stories.Kwa sababu za kiusalama najeshi hutoa
Habari zisizo sahihi
Habari zilizopitwa na wakati
Habari zisizoendana
Arrow 3 ni zaidi ya THAADWadau hamjamboni nyote?
Mambo bado mazito huku maandalizi mazito yanazidi kufanywa. Jeshi la Marekani limeamua kufunga mitambo ya kisasa kabisa ya ulinzi dhidi ya makombora ya masafa marefu huko Israel
Yadaiwa ni sehemu tu ya maandalizi ya Israel kuishambulia Iran. Mitambo hiyo aina ya THAAD itasimamiwa na kuendesha na wanajeshi wa Marekani wenyewe.
Mungu ibariki Israel
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
---
US troops to reportedly operate THAAD anti-ballistic missile system in Israel
The US will deploy the THAAD anti-ballistic missile system in Israel, according to reports by Channel 12 news and Army Radio that describe the move as part of preparations for the expected Israeli response to Iran’s recent missile attack.
Channel 12 news says the advanced missile defense system will be operated by American troops on Israeli soil.
Tulishuhudia kwa macho yetu vimondo vikikung'uta base ya kijeshi ya Yahudi. Ina maana hiyo Arrow3 nayo ilikuwa kwenye shelter imejificha?
Yalipenya baadhi ila hayakuleta madhara makubwa kwa maisha ya raia.Ya kwamba makombora haya kupenya?😃😃😃😃😀 acha utani basi.
Kwani yalielekezwa wapi hayo makombora ?Yalipenya baadhi ila hayakuleta madhara makubwa kwa maisha ya raia.
Yalipenya baadhi ila hayakuleta madhara makubwa kwa maisha ya raia.