Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm nilihesabu zaidi ya makombora 70 yaliyo tua huku base ya Nevatim ikipigwa zaidi ya makombora 30.Yalipenya baadhi ila hayakuleta madhara makubwa kwa maisha ya raia.
Navikumbuka sana vita vile, najua pia kilicho sababisha Sadam Hussein na Hashim Rafsanjani kukaa na kuimaliza ile vita iliodumu kwa miaka 8. Wote walikua wanasaidiwa, kumbuka by that time kulikua na cold war duniani, Ukomunisti na Ubepari, Russia alikua akiongoza Ukomunisti while USA and his allies walikua wanatawala dunia kwa ubepari; ile vita ilikua inataka kuonesha nani mbabe. Anyway, yamepita yale. Baadae Sadam Hussein aliyekua akitumiwa na USA aliona kama kuendelea kupigana na jirani yake ni upuuzi baada ya moja ya makampuni ya silaha kutoka USA kuiuzia Iran silaha kwa mkataba mnono, hilo jambo lilimuudhi sana Sadam Hussein na chama chake cha Baath; vita ilikwisha kwa namna hiyo. And to prove kwamba Iran alikua anasaidiwa, jiulize.., kwaanza ndio Iran ilikua mpya kabisa, silaha na mafunzo ya kijeshi walipata wapi? Urafiki wa Russia na Iran haujaanza leo.Iran imewahi kupigana na Iraq yenye kusaidiwa na waarabu wenzie + Mabeberu wote wawili yaani USA na USSR ya wakati huo
Iran ni tishio na mbabe halisi wa ulimwengu huu. Halafu kuna nyumbu atakwambia Iran hana nguvu ya kupambana na Israel.Yadaiwa ni sehemu tu ya maandalizi ya Israel kuishambulia Iran. Mitambo hiyo aina ya THAAD itasimamiwa na kuendesha na wanajeshi wa Marekani wenyewe.
Uzuri Iran anajali sana haki za raia ndiyo maana hashambulii maeneo ya kiraia.Mm nilihesabu zaidi ya makombora 70 yaliyo tua huku base ya Nevatim ikipigwa zaidi ya makombora 30.
Hayakuleta madhara kwa raia kwa sababu hayakuelekezwa walipo hao raia ,siku vita kamili vikizuka na yakaanza kuelekezwa kwenye miundo mbinu ya kiraia ndo utajua hujui.
Lakini sehemu ambazo makombora hayo yalielekezwa zilipata madhara tena sio madogo.
Mambo mengine tupunguze ushabiki.
Zilifeli wapi? Ai wewe unaishi dunia ya peke yako?Ilifeli David sling, Arrow2, Iron Dome, Aegis system, F-35. Hiyo THAAD inaenda kujitafutiaaibu tu.
Navikumbuka sana vita vile, najua pia kilicho sababisha Sadam Hussein na Hashim Rafsanjani kukaa na kuimaliza ile vita iliodumu kwa miaka 8. Wote walikua wanasaidiwa, kumbuka by that time kulikua na cool war duniani, Ukomunisti na Ubepari, Russia alikua akiongoza Ukomunisti while USA and his allies walikua wanatawala dunia kwa ubepari; ile vita ilikua inataka kuonesha nani mbabe. Anyway, yamepita yale. Baadae Sadam Hussein aliyekua akitumiwa na USA aliona kama kuendelea kupigana na jirani yake ni upuuzi baada ya moja ya makampuni ya silaha kutoka USA kuiuzia Iran silaha kwa mkataba mnono, hilo jambo lilimuudhi sana Sadam Hussein na chama chake cha Baath; vita ilikwisha kwa namna hiyo
Bro, tuanze kuorodhesha idadi ya matukio ya vita vile? Nyumbani kwetu tulikua tunatumiwa gazette linaitwa Sauti Ya Umma (SYU ) kila mwezi kutoka Iran, nakumbuka hadi ndege yao moja ya abiria ilikua ikitoka Tehran to Paris ilivopigwa na makombora ya Marekani, ilikua ndege ya abiria; kwa mara ya kwanza ndio nilijua kuna ndege zinaitwaga Airbus. I think it was 1987. By the way, Ayatollah Khomein na kundi lake wakati wanakuja kupindua walikua wanatokea nchi gani bro? Nenda katafute habari, zipo tu. Halafu unaweza kuamini kwamba USSR ya wakati ule ingeweza kua na common interest na USA? Miaka hiyo uadui wao ulikua kwenye pick ya hali ya juu; mwaka 1 baada ya hiyo vita Ukomunisti duniani ulianguka na USA kuishinda RussiaKwenye ile vita USSR na USA wote walikuwa wanamuunga mkono Saddam dhidi ya Iran.
Wakomunisti wa USSR walikuwa wanawachukia MaAyatollah waIran kwa sababu MaAyatollah walikuwa wanaupiga vita ukomunisti sana.
Kwenye mambo yanahohusu Israel Bams Huwa ni mjinga mjinga.
Dah aisee nimechelewa sana kuongeza mashambulizi kwenye mpambano huu. Ila sihaba, vijana mmenifurahisha kwa kuwadhibiti vilivyo hao wayahudi wa mwanjelwa Mbeya.Tulishuhudia kwa macho yetu vimondo vikikung'uta base ya kijeshi ya Yahudi. Ina maana hiyo Arrow3 nayo ilikuwa kwenye shelter imejificha?
Kama lengo la iran sio kuua raia mbona aliua mpalestina mmoja sema israel haiwatumii raia kama human shield wamewekeza kulinda raia waoNaam, na lengo la Iran siyo kuua raia, maana kulenga raia kimakusudi ni kinyume cha international law.
Israel yenyewe huwa inalenga raia kwa makusudi.
Irael kabla ya kushambulia hutoa taarifa raia wahame karibu na magaidi na husambaza mamilioni ya ujumbe na vipeperushi kuwaambia raia waondoke tatizo ni magaidi wenu hujificha kwenye miundombinu ya kiraia kama misikitini, shuleni, nyumba za raia, kanisani, vituo vya umoja wa mataifa na hutumia ambulanceNaam, na lengo la Iran siyo kuua raia, maana kulenga raia kimakusudi ni kinyume cha international law.
Israel yenyewe huwa inalenga raia kwa makusudi.