Marekani yasema Iran itashambulia Israel masaa machache yajayo. Netanyahu anajaribu kumpigia Putin

Anakumbushwa tu usiingie Lebanon don't do that
 
Ampigie Putin ili iweje? Yaani kwa ajili ya Iran ndiyo apoteze muda wake kumpigia Putin?
Au mmeshajisahaurisha kuwa leo hii mlileta nyuzi za kwamba Putin anaionya Istrael isiishambulie Iran?
 
Iran hamna lolote.

Watarusha vikombora vyao kwenye mchanga halafu watadai wamejibu mapigo.

Ni lazima wafanye kitu, hata kama ni cha maigizo tu.

Israel imewadhalilisha sana. Kupita kiasi.
Dah...We Mzee
 
vyuma vinaanguka huko TEL AVIV tunasubir Wayahudi mje myumbishe habariπŸ˜„
 
Ampigie Putin ili iweje? Yaani kwa ajili ya Iran ndiyo apoteze muda wake kumpigia Putin?
Au mmeshajisahaurisha kuwa leo hii mlileta nyuzi za kwamba Putin anaionya Istrael isiishambulie Iran?
Sijasema Mimi wamesema Yediot News kutoka Israel au huna Imani Tena na wateule wa Mungu?
 
Nasikia irone dome sijui arrows 3 na David sling zote zimebuma Leo huko Israeli . Kumbe jamaa wanaonewa dagaa tu
 
Putin mwenye mwiba unamsumbua yaani Mukraine eti leo aje amsaidie Muajemi? We huoni kwanini China na wale akina Kiduku wapo kimya? Huoni waarabu wengi wamenyamaza wote hadi Uturuki leo Mrusi amsaidie Muiran?

Kwa ajili ya nini hasa?
Kwani Russia aliwezaje kumsaidia Syria kudungua makombora ya Israel!??
Hivi unajua hata hizi vita zinaendeshwaje we jamaa!?
Putin kupigiwa simu ni kwaajili ya kuongea na Iran amtulize Iran.
Kwasababu Iran na Russia ni marafiki.
Na kama kushambulia hujaambiwa Russia atamsaidia Iran laa hasha.
IRan atafanya shambulizi mwenyewe pasi na usaidizi.
Ila mtu wa kuzungumza naye na kumtuliza ni Russia.
Upo hapo kijana!?
 
Putin hajapokea simu ya Netanyau manaake Iran kapewa GO AHEAD!!!!πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ€—πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Ndo maana yake kwamba wakijichanganya tu Urusi anaungana na Iran kumaliza kazi.
 
Kwasasa wanapanga jinsi ya kutudanganya kuwa yameenda kuuwa banda la panya. Tukaona tuyaache panya awana galama km kutungua ayo mauwa. Ndio Netanyahu akaanza kumtafuta putin amzue muuni mwenzie kuona apokei akaenda kujificha wakiambiwa tafuteni amani wanajiona wanamaguvu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…