Marekani yasema Iran itashambulia Israel masaa machache yajayo. Netanyahu anajaribu kumpigia Putin

Inaelezea kuwa waziri mkuu bwana Netanyahu anajaribu kutafuta mawasiliano ya Rais Putin wa Russia katika juhudi za kuisaidia kuzuia Iran
 
Story za swala ya saa 1 hizi.
 
Moderqtor, kwanini nyuzi zizowasifu mazayuni unaziwacha ziwe headline. Zinazowasifu wapalestina na Iran unazipeleka nyuzi za zamani ili ziwe back pages, zisionekane?

Au na wewe katika wajinga ndiyo waliwso mliosminishwa kuwa mazayuni ni wajomba zake Mungu wenu?
 
Hezbollah watakojoa damu mwaka huu
 
Duh white house wanasema saiv hapa kwenye briefing yao kuwa wamembeba Myahudi wamemsaidia kuitercept madungu ya Iran😄😄😄😄.Kumbe Iran inapigana na Marekani!!!!!
 
Mrusi aingie kati kubalnce mizani ,,,,,yaani Marekani anasimama kwenye podium anajisufu kabisa amemsaidia myahudi kuitercept madungu lakini myahudi anakuja mbele anaisifu Iron uchafu dom🥴
 
Hizi vita haijalishi atakaye shinda nani,
pande zote watapata hasara!
Wangekaa wayamalize tu kama majirani...wahanga ni wamama na watoto!
VERY SAD.
 
Hizi vita haijalishi atakaye shinda nani,
pande zote watapata hasara!
Wangekaa wayamalize tu kama majirani...wahanga ni wamama na watoto!
VERY SAD.
Diplomacy is for the weak wacha wazipache,imekuwa hivyo na itaendelea kuwa hivyo. Huwezi kunigotiate na mtu anayekudharau. Let them guns talk🤝
 
serekali ya Israeli wanawatishia raia wasiseme madungu yamewaletea madhara gani🤣🤣🤣🤣🤣. Israeli ni wajinga sana wanategemea sana propaganda ila ni Hamas waliochangamka wakibebwa na Marekani. Israeli wamewafungia mpaka aljazera ofisi zao ili wasireport kipigo anachopokea😆😆😆😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…