Marekani yasema kipigo kutokea Iran ni suala la muda tu

Sasa wanapigwa na psychological warfare na ktk hili wairan ni wataalamu mno muisrael ataachwa achwa kwanza ajisahau halafu atalipiziwa ila tu hii psych ops inwafrustrate israell na majamaa zake wote.

Ni kawaida kulinywa baada ya kulikoroga. Alifuata Nini Israel kwenye consulate ya wenyewe?
 
Ayatollah mbona haeleweki, anaenda mbele mara anarudi nyuma

Al-Arabia:

Iran's mission to the United Nations:

“Response [to Israel] can be avoided if the United Nations condemns the attack on our consulate in Damascus”

1. Weka source yote Ili tuone na tarehe zake.

US restricts travel for employees in Israel amid fears of Iran attack

2. Kwamba wanukuliwa hapa ni kutokea intelligence sources za beberu?

"It is not a matter of if, but when."

3. Hudhani kuwa pafukapo moshi (siyo Kilimanjaro), Pana moto?
 
Nini kinasababisha hii tension ya vita ilihali US inasema suspected attackkufanywa na Israel?
Je Iran wana uhakika gani kama Israel ndo ilishambulia Ubalozi wao?
 
Nini kinasababisha hii tension ya vita ilihali US inasema suspected attackkufanywa na Israel?
Je Iran wana uhakika gani kama Israel ndo ilishambulia Ubalozi wao?

1. Kwani umesikia Kuna popote duniani wakiwamo washirika wake hata wameonyesha tashwishi kwenye Hilo?

2. Kwani wewe si wa kwanza duniani kujaribu kuonyeshea shaka hiyo?

3. Hudhani Kuwa hata mwisiraeli atakuwa anakushangaa wewe kujaribu kumkanushia?

4. Kwani umemsikia yeye akibisha?

5. Au usemi huu ni mgeni kwako?

"qui tacet consentire videtur (he who is silent seems to consent)"

Kwa maana yake kamili kuwa, "silence gives consent" kizimbani huko!
 

Marekani ni kama Ibilisi, anakuahidi msaada, mambo yakiwa Magumu anasepa. Ukraine atakuwa kajifunza kitu.
 
Kikubwa nimeshangazwa na kauli ya marekani kuwa Israel anatuhumiwa kushambulia wakati ameshambulia kweli
 
President Biden has stated that US support for Israel is "ironclad" and raised the prospect of America becoming directly involved if war were to break out between Israel and Iran.
 
President Biden has stated that US support for Israel is "ironclad" and raised the prospect of America becoming directly involved if war were to break out between Israel and Iran.

Ulielewa iliombwa source ya kuwahusu nini? Acha kukuruka, rejea kujiridhisha; Mrejesho, utapendeza zaidi.
 
Nchi za Kiislam hazinatofauti na mashabiki wa Yanga na simba.

Wao huishia kubishana na kutambiana ilhal wachezaji wanaumia uwanjani
 
Mkuu, kwanza hongera kwa ujasiri wako huu wa ajabu na wa kianaume!

Nimejikuta kwenye hali ya huzuni, lakini pia kukustajabia jinsi usivyopenda ukae bila kazi huku ukibaki kuumiza akili na moyo wako kwamba Itakuweje

Hongera kwa ujasiri huu, mimi nikuahidi tu kuwa, nitalibeba hili na pia nitakuombea mkuu

Mungu anayejua nafas ilipo, atakufungulia njia na wepesi wa kuifikia nafasi yako unayoihitaji

Naamini, utafanikiwa, ni suala la muda tu!
 
Nchi za Kiislam hazinatofauti na mashabiki wa Yanga na simba.

Wao huishia kubishana na kutambiana ilhal wachezaji wanaumia uwanjani

Huna lolote la kusema kuzihusu za kikristo au za kina sisi kama hawa?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…