Marekani yasema kipigo kutokea Iran ni suala la muda tu

President Biden has stated that US support for Israel is "ironclad" and raised the prospect of America becoming directly involved if war were to break out between Israel and Iran.
Si tulikubaliana kuwa Israel ina weza kupigana na dunia nzima ,sasa Marekani wa nini tena?
 
Uzuri Israel inamtamani sana Iran.

Kinachozuia vita Kati ya Iran na Israel ni Distance.

Jordan, Iraq na Syria ni buffer zone.

Sasa hawa Iraq na Syria wanajirahidi sana kuwa na upande, ngoja waje wafundiswhe adabu
 
Marekani anachofanya ni kuzichonganisha Israel na Iran! Anatafuta namna ya kuiingiza Iran kwenye 18 zake!
 
Uzuri Israel inamtamani sana Iran.

Kinachozuia vita Kati ya Iran na Israel ni Distance.

Jordan, Iraq na Syria ni buffer zone.

Sasa hawa Iraq na Syria wanajirahidi sana kuwa na upande, ngoja waje wafundiswhe adabu
We unaongea utopolo.
Israel haina tofauti na North Korea.

We unafikiri North Korea inavyomtishia US na kuaminisha dunia wanaweza kumpiga unaona ni kweli?

Israel anataka kujikuta ni powerful middle east hali ya kuwa na mdebwedo tu.

Hawatamani kuingia vitani na taifa kama Iran, ngoja tuone.
 
Kuna watu wanapenda vita na kuichukia amani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…