Marekani yasema kipigo kutokea Iran ni suala la muda tu

Humu kuna watu walikua wanasema Irone dome sio effective dhidi ya rockets za Hezbollah Ila Leo naona zinavyopanguliwa huko juu kwa juu kama senene.
 
Humu kuna watu walikua wanasema Irone dome sio effective dhidi ya rockets za Hezbollah Ila Leo naona zinavyopanguliwa huko juu kwa juu kama senene.
Ma Ayyatollah ya buza utayaweza?
 
Hawa watu nao safari hii intelijensia zao zimefeli. Ama, Iran anawamislead maksudi.

Ayatola ni mtu makini, hawezi kuanzisha vita na mayahudi.
 
The Israel Defense Force has Confirmed that Hezbollah launched roughly 40-50 Rockets within the last hour at Northern Israel, with a Majority being Intercepted by Air Defenses and others Impacting in Open Areas.
 
Ichikizee hata kule Ukraine kinasemaga hivyo hivyo ironclad, ironclad, ironclad lakini mambo ya azidi kuwa magumu tu.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
IDF wanajibu

After over 40 rocket launches from Lebanon crossed into Israeli territory on Friday, the IDF responded by striking the sources of fire. No injuries were reported in Israel as a result of the rocket fire.
 
Mwenye njaa hana muda wa kuwaterea wengine hutetea tumbo lake

Nyerere, Mandela, Mwamba, jiwe, bi mkubwa, na wengi tu wamekuwa na muda wote wa kuwatetea wengine bila wao kuwa na njaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…