Marekani yawaonya raia wake kutembelea Tanzania kuepuka kuambukizwa COVID-19

Corona ipo Tanzania watu wanakufa lakini kwa kuwa Serikali ilipiga marufuku kuongelea corona inabidi Hosptal waache kusema ukweli
Wewe mkuu mbona haufi na hiyo Corona unayoisema?
Au wewe siyo mtu Kama hao watu unaosema Wanakufa kila siku?

Acheni ujingaa.
 
Aliyekuambia kuwa serikali hawapimi watu ni nani?
Unaelewa maana ya kupima?Unaposikia kwa mfano asilimia 5 ya wakazi wa njombe wana ukimwi au asilimia 6 ya wakazi wa kilimanjaro wana ukimwi,unaelewa takwimu kama hizi huwa zinapatikanaje?Uliwahi kusikia juu ya takwimu za ugonjwa wa Corona kama vile ambavyo huwa unasikia takwimu juu ya ukimwi?

Kama wameishinda vita ya Corona kwa nini wasiweke takwimu wazi kama vile wanavyoweka takwimu za magonjwa mengine wazi?
 
Tahadhari yao haisemi hivyo.Tahadhari yao inasema kuwa wawe makini na Tanzania kwa sababu Tanzania kuna Corona kila mahali
Hiyo tahadhari si kwa Tanzania tu mkuu
 

Attachments

  • 20201202_231849.jpg
    77.5 KB · Views: 9
Kutokuweka takwimu wazi ndo inamaanisha hawapimi?
 
Kutokuweka takwimu wazi ndo inamaanisha hawapimi?
Unaelewa kuwa Tanzania ilisaini mikataba ya WHO na ni mwanachama wa WHO na WHO walitoa miongozo jinsi ya kupambana na Corona na miongoni mwa miongozo hiyo ni kufanya mass testing kisha kutangaza matokeo?Tanzania inafanya hivyo?
 
Kwani huko ulaya na marekani nao wanasubiri vipimo?ndo wajue kuwa Kuna Corona katika nchi zao?.
Na umesahau kuwa Corona inaua kwa muda mfupi tu.
Sasa Sijui watu wanaokufa na Corona wanazikwa wapi hapa Tanzania na Sijui kwanini watu huku mitaani hawaumwi Corona.
Umejuaje kuwa haipo wakati hakuna vipimo vinavyofanyika?
 
Tanzania kuna Corona au haipo?
Inawezekana kuwepo kwa maana ukipima ila athari zake ndio hakuna,kwa sababu tungeziona hizo athari zake hasa ukizingatia huu ugonjwa ni hatari tusingeweza kujipumbaza kuwa hakuna hali ya kuwa tunaona wingi wa vifo visivyo vya kawaida au tunaona tunaugua visivyokawaida.
 
Mitano tena
 
Sample ya upimaji umefanya lini?
 

Njia sahihi ya kujua nchi ina ugonjwa fulani ni kusubiria watu wafe kwa ugonjwa huo au ni kupima watu ugonjwa huo?Yaani unamaanisha kuwa kwa mfano njia sahihi ya kujua kama Tanzania kuna ukimwi ni kusubiria watu wafe kwa ukimwi?!Mkuu upo seriuos?
 
Sasa utapima ugonjwa ambao haupo?
Kama unajiona una dalili za Corona nenda hospital utapimwa shida ipo wapi?.
Mimi Ni mzima wa afya siwezi kuhangaika kwenda hospital kupima corona utakuwa ni uchuro.kama Corona ipo tutaiona tu.
Watu wataumwa ,watu watazidiwa,na wengine watakufa Ila kwa sasa HAMNAA CORONA.
Njia sahihi ya kujua nchi ina ugonjwa fulani ni kusubiria watu wafe kwa ugonjwa huo au ni kupima watu ugonjwa huo?Yaani unamaanisha kuwa kwa mfano njia sahihi ya kujua kama Tanzania kuna ukimwi ni kusubiria watu wafe kwa ukimwi?!Mkuu upo seriuos?
 
Njia sahihi ya kujua kama kwenye nchi kuna ugonjwa fulani ni kwa kusubiria watu wafe kwa ugonjwa huo au ni kwa kupima watu ugonjwa huo?Kwani Tanzania si kuna ukimwi?Ni watu wangapi umeshuhudia wakifa kwa ukimwi?
 
Tanzania kuna Corona au haipo?
Wewe unavaa barakoa kila Unapenda? Mtaani kwenu watu wanashinda na barakoa? Kwenye Ile mikutano yenu ya kampeni, mlienda mkiwa na barakoa?
Kwenye mechi za mpira watu wanaingiza na barakoa?

👉Tangia tuyapuuze maagizo yao Sasa ya pita miezi 5, kwakuwa covid-19 inaanzia kuonyesha makali yake baada ya siku 14,nilitegemea kuona maiti nyingi Sana mabarabarani, au hospitali zetu zulemewe na wagonjwa wa covid-19, Ila sioni.Wao kama wanakufa kwa covid-19 safe tu😂😂.
 
Balozi wa Marekani kuamini kuwa maambukizi hapa nchini ni almost negligible inathibitisha kuwa Tanzania hakuna Corona? Trump alipokuwa havai face mask kwenye mikusanyiko ilithibitisha kuwa maambukizi kule Marekani yalikuwa negligible?

Please revisit my comments - I said "almost negligible" does that sound Greek to you?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…