Maoni binafsi ya Trump hayana uhusiano na sera za mambo ya nje za marekani kuelekea nchi na nchi.Wewe kwa akili yako unadhani Tume iseme Trump umeshindwa anaweza kataa kutoka Ikulu? Anaanzaje kwa mfano, taasisi za kule sio za vyama Kama huku ambapo vyombo vya usalama na taasisi zingine ni Kama matawi ya chama,ndio maana kinaitwa chama dola
We miliki dola miliki paundi lakini umma ukikukataa huna pa kushika,Kama tu hio dola umeitelekeza 5 yrs kuinyima mishahara inaweza kukubeba vipi?.Anaemiliki nguvu ya umma ndie anaemiliki dola.