Maria Mtakatifu, Mama wa Mungu, utuombee sisi wakosefu

Setfree

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2024
Posts
6,238
Reaction score
8,194
Najiuliza maswali haya:

Yesu alisema tukimuomba Mungu kwa Jina lake Yesu tutapewa (Yohana 14:13-14). Kwanini sasa tunamuomba Maria atuombee?

Maria yuko wapi kwa sasa?

Kuna ushahidi gani wa kibiblia kwamba pale Maria alipo anatusikia na kutuombea?

Aliye na majibu ya maswali hayo, anijuze. Ila naomba majibu yaambatane na mstari/aya/kifungu cha Biblia.
 
Watu wanadesturi zao, na Imani zao waacheni kama mioyo yao inaridhika Kuna shida gani? Kwani biblia imeandika kila kitu?
Mkileta mada tu mnataka na ambatanisho la biblia, kwani waroma wao si wanavitabu vyao? Mbona ninyi mnayenu wao hawaingaiki na nyie,?
Ila mwisho kabisa, Mungu mwenye huruma na mjuaji wa kila kitu na upendo hayupo na hajawahi kuwepo
 
ukatoliki sio u Kristo. huwa una vichembechembe vichache sana vya u-Krsto. Upagani wa Roma ndio mwiiiiingi
 
Mimi siamini dini yoyote...
Vipi wewe umeshikiwa akili na wachungaji wa imani za wazungu.

Mimi siamini dini yoyote...
Vipi wewe umeshikiwa akili na wachungaji wa imani za wazungu......
Mpaka kulikebehi hilo sanamu imekuchoma....
Hapana Mimi Sina Imani yeyote bali Huwa sikashifu mtu ila Huwa namfundsha vizuri ,,atoke kwenye hizo Imani kukashifu hiyo sanamu wala haumfany aache kwenda bali atakachoona hapo nikwamba wewe umeona achoaamini ni kibaya bali kingine wanachoamini wenzake ndo kizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…