Maria Mtakatifu, Mama wa Mungu, utuombee sisi wakosefu

Jibu ni rahisi. Hayajibiwi. Yangekuwa yanajibiwa tusingeona watu wakiishiwa pesa. Tusingesikia watu wanaendelea kuteswa na magonjwa. Tusingesikia watu wanakufa kwa njaa. Shida zote hizo Yesu anaweza kuzitatua. Lakini kwakuwa tunamuomba mtu asiyeweza kutuondolea shida hizo, ndio sababu shida zetu haziondoki na furaha zetu haziwi timilifu. Sikiliza Yesu anavyosema:
Yohana 16:24
"...Hata sasa hamjaomba neno kwa jina langu; ombeni, nanyi mtapata; furaha yenu iwe timilifu."

Hilo andiko mbona mimi naona liko wazi sana? Tukimuomba Maria, Yesu anahesabu kuwa hatujaomba neno bado, kwa sababu hajatuagiza tufanye hivyo, ndio sababu hatupati. Na ndio maana furaha zetu haziwi timilifu.
Hivi kuna nchi hapa duniani ambako hakuna magonjwa? Kwa hiyo nchi zote hizo wanamuomba Maria?
 
Kwa sasa mbona tunamuomba Maria lakini hajibu? Mbona anapiga kimya tu? Ndio sababu nimeuliza tena kuna ushahidi wowote kuwa Maria anatusikia tukimuomba?
Ulisikia wapi kwamba Wakatoliki wanamwomba Bikira Maria wajibu? Hapo ni kwamba wanamwomba awafishie maombi yao kwa mwana wake ambaye kwa sasa hivi yuko naye huko mbinguni. Kwa hiyo inkuw rahisi zaidi mama akisema kuliko sisi wenyewe! Hayo ni maswala ya imani wewe usiyekuwa Mkatoliki huwezi kuyajua hayo!
 
😁😁😁 Mkuu tungependa utuwekee na mstar wa bibilia unaosema hayo
 
Unafikri imani inapatikana kwa kufuata kilichoandikwa kwenye Biblia peke yake? Utakesha na ufalme wa Mungu hautauona! Liturgia ya Kanisa ndiyo inayotusaidia kuikoleza imani yetu na huko ndiko tunakochota maelekezo mengine ya kuifikia imani timilifu!
 
Mathayo 15;8;9
 
Mathayo 15;8;9
Ndivyo mlivyofundishwa kuwa mnaokoteza vi misitari vya Biblia? Mababa huku kwetu wamesoma elimu ya dini mpaka basi tofauti na nyie akina kajamba nani eti miezi miwili tu mtu anakuwa Askofu!
 
Petro alikuwa mvuvi wa samaki, lakini aliyoyafanya ni zaidi ya wenye PhD za teo.
 
Akili hamna haoo we kula gambe. Tunamuomba Mwenyezi Mungu atujibu maombi yetu kupiti kwa mwanae wa pekee Yesu Kristo then Aameen!!
Baba kama yupo?
Tunamuomba Mwana wa nini?

Gamble liendelee ila hii yako haijakaa sawa
 
Ndivyo mlivyofundishwa kuwa mnaokoteza vi misitari vya Biblia? Mababa huku kwetu wamesoma elimu ya dini mpaka basi tofauti na nyie akina kajamba nani eti miezi miwili tu mtu anakuwa Askofu!
😁😁😁 Kumjua Mungu Hatusomei tunafunuliwa ndio maana mapdri wanasoma theology zaidi ya miaka 7 mwisho wa siku wanaishia kulawiti watoto na kuwa walevi
 
Mmmh, hujasikia kule kwenye madrasatul yenu nini kinafanyika?
 
Najiuliza maswali haya:

Yesu alisema tukimuomba Mungu kwa Jina lake Yesu tutapewa (Yohana 14:13-14). Kwanini sasa tunamuomba Maria atuombee?

Maria yuko wapi kwa sasa?

Kuna ushahidi gani wa kibiblia kwamba pale Maria alipo anatusikia na kutuombea?

Aliye na majibu ya maswali hayo, anijuze. Ila naomba majibu yaambatane na mstari/aya/kifungu cha Biblia.
Monetary doctor njoo utasidie.
 
Jibu ni rahisi. Hayajibiwi. Yangekuwa yanajibiwa tusingeona watu wakiishiwa pesa. Tusingesikia watu wanaendelea kuteswa na magonjwa. Tusingesikia watu wanakufa kwa njaa. Shida zote hizo Yesu anaweza kuzitatua. Lakini kwakuwa tunamuomba mtu asiyeweza kutuondolea shida hizo, ndio sababu shida zetu haziondoki na furaha zetu haziwi timilifu. Sikiliza Yesu anavyosema:
Yohana 16:24
"...Hata sasa hamjaomba neno kwa jina langu; ombeni, nanyi mtapata; furaha yenu iwe timilifu."

Hilo andiko mbona mimi naona liko wazi sana? Tukimuomba Maria, Yesu anahesabu kuwa hatujaomba neno bado, kwa sababu hajatuagiza tufanye hivyo, ndio sababu hatupati. Na ndio maana furaha zetu haziwi timilifu.
Ulivyokuwa huna akili, umetoka kusema haya
"Najiuliza maswali haya:

Yesu alisema tukimuomba Mungu kwa Jina lake Yesu tutapewa (Yohana 14:13-14").

Sasa je nyie mnaotumia jina hilo nanyi hamjibiwi, sababu ni zile zile ulizoziainisha.

Watu hawana fedha, wanateswa na magonjwa, wanakufa nk
 
Back
Top Bottom