muweza wa yote
Member
- Apr 6, 2025
- 44
- 47
NakubaliSir God ana mishe kibao mzee usipomkumbusha utabaki unamlaumu tuu.
Babaako Hawezi kujua shida zako ikiwa wewe upo mbali nae na haujamchana live kupitia mafonile ama nini mkulungwa
NakubaliSir God ana mishe kibao mzee usipomkumbusha utabaki unamlaumu tuu.
Babaako Hawezi kujua shida zako ikiwa wewe upo mbali nae na haujamchana live kupitia mafonile ama nini mkulungwa
Najiuliza maswali haya:
Yesu alisema tukimuomba Mungu kwa Jina lake Yesu tutapewa (Yohana 14:13-14). Kwanini sasa tunamuomba Maria atuombee?
Maria yuko wapi kwa sasa?
Kuna ushahidi gani wa kibiblia kwamba pale Maria alipo anatusikia na kutuombea?
Aliye na majibu ya maswali hayo, anijuze. Ila naomba majibu yaambatane na mstari/aya/kifungu cha Biblia.
Angalau hata wewe shetani unagusagusa!"Neno alifanyika akakaa kwetu"
"Nilikuwako kabla hata ya Ibrahim na uzao wake"
"Mama tazama mwanao. Mwana tazama Mama yako"
Sasa kama wana PhD za theology wewe unahoji vitu gani? Uzuri Wakatoliki wenyewe huwa hawahangaiki na nyie yaani wako kimya wanapiga Sala zao bila shida! Maana hata tukianza kuwafafanulia nyie huwa mmeshajiandaa kubishana! Mfano mdogo kwa kupitishia maombi yetu kwa Mama Bikira Maria, Litrugia inatufundisha kwamba ni rahisi kupitisha maombi yako kwa mtu wa karibu na ukasikilizwa. Kumbuka kule kwenye harusi ya Kana ya Galilee Mama Maria aliwaombea divai baada ya kuwa wameishiwa, kwa vile Yesu alikuwa anamheshimu mama yake hapo hapo akawatengenezea divai hivyo na Sisi tunapitisha maombi yetu kwake kwa kufuata mfano wa Harusi ya Kana! Mfano hata majumbani kwetu kuna vitu watoto hawawezi kwenda moja kwa moja kwa baba yao lakini lazima watapitisha maombi yao kwa mama! Sasa hapo shida iko wapi?Watu wana PhD za Theology, unasema akili hamna hao?
Kwenye harusi ya Kana, ni sawa kabisa, Maria alikuwa karibu nao. Ndio maana nimeuliza: kwa sasa Maria yuko wapi? Hapo ulipo Maria yuko karibu na wewe? Wakati wa harusi ya Kana, Maria aliwajibu: "lolote atakalowaambia Yesu, fanyeni"Sasa kama wana PhD za theology wewe unahoji vitu gani? Uzuri Wakatoliki wenyewe huwa hawahangaiki na nyie yaani wako kimya wanapiga Sala zao bila shida! Maana hata tukianza kuwafafanulia nyie huwa mmeshajiandaa kubishana! Mfano mdogo kwa kupitishia maombi yetu kwa Mama Bikira Maria, Litrugia inatufundisha kwamba ni rahisi kupitisha maombi yako kwa mtu wa karibu na ukasikilizwa. Kumbuka kule kwenye harusi ya Kana ya Galilee Mama Maria aliwaombea divai baada ya kuwa wameishiwa, kwa vile Yesu alikuwa anamheshimu mama yake hapo hapo akawatengenezea divai hivyo na Sisi tunapitisha maombi yetu kwake kwa kufuata mfano wa Harusi ya Kana! Mfano hata majumbani kwetu kuna vitu watoto hawawezi kwenda moja kwa moja kwa baba yao lakini lazima watapitisha maombi yao kwa mama! Sasa hapo shida iko wapi?
Ref!; Harusi ya Kana shida Yao walimwambia Mama Yake Yesu na YESU AKAMTII MAMA YAKE!Najiuliza maswali haya:
Yesu alisema tukimuomba Mungu kwa Jina lake Yesu tutapewa (Yohana 14:13-14). Kwanini sasa tunamuomba Maria atuombee?
Maria yuko wapi kwa sasa?
Kuna ushahidi gani wa kibiblia kwamba pale Maria alipo anatusikia na kutuombea?
Aliye na majibu ya maswali hayo, anijuze. Ila naomba majibu yaambatane na mstari/aya/kifungu cha Biblia.
Harusi ya Kana iliisha miaka 2000+ iliyopita! Leo Maria yuko nchi gani au kwenye harusi ipi twende tukamweleze shida zetu?Ref!; Harusi ya Kana shida Yao walimwambia Mama Yake Yesu na YESU AKAMTII MAMA YAKE!
IMEANDIKWA!
👇🏽👇🏽
Mathayo 19
19 Waheshimu baba yako na mama yako, na, Mpende jirani yako kama nafsi yako.
Waefeso 6
1 Enyi watoto, watiini wazazi wenu katika Bwana, maana hii ndiyo haki.
2 Waheshimu baba yako na mama yako; amri hii ndiyo amri ya kwanza yenye ahadi,
3 Upate heri, ukae siku nyingi katika dunia.
OMBA LEO SHIDA ZAKO KWA YESU KUPITIA MAMA MARIA YESU ATATEKELEZA! 💪🏼👍🏼
MARIA MATAKATIFU MAMA WA MUNGU!;Harusi ya Kana iliisha miaka 2000+ iliyopita! Leo Maria yuko nchi gani au kwenye harusi ipi twende tukamweleze shida zetu?
Ukimwamini mwana, umemwamini baba na mama ake pia👿Najiuliza maswali haya:
Yesu alisema tukimuomba Mungu kwa Jina lake Yesu tutapewa (Yohana 14:13-14). Kwanini sasa tunamuomba Maria atuombee?
Maria yuko wapi kwa sasa?
Kuna ushahidi gani wa kibiblia kwamba pale Maria alipo anatusikia na kutuombea?
Aliye na majibu ya maswali hayo, anijuze. Ila naomba majibu yaambatane na mstari/aya/kifungu cha Biblia.
Unastahili pongezi nyingi Monetary doctorKesho niwahi kanisani kusali
Jibu ni rahisi. Hayajibiwi. Yangekuwa yanajibiwa tusingeona watu wakiishiwa pesa. Tusingesikia watu wanaendelea kuteswa na magonjwa. Tusingesikia watu wanakufa kwa njaa. Shida zote hizo Yesu anaweza kuzitatua. Lakini kwakuwa tunamuomba mtu asiyeweza kutuondolea shida hizo, ndio sababu shida zetu haziondoki na furaha zetu haziwi timilifu. Sikiliza Yesu anavyosema:Je maombi yao hujibiwa au hapana? kama yanajibiwa basi relax acha Kila mtu aombe awezavyo kikubwa ajibiwe
Mimi namuomba Mungu zaidi tuseme asilimia kama tisini ya maombi yangu nataja Mungu,Unastahili pongezi nyingi Monetary doctor
Ni vizuri sana kuwahi kanisani kusali.
Hata hivyo unaweza ukaingia kanisani na shida zako, ukatoka bila shida hizo kutatuliwa. Kwenye harusi ya Kana, wale watu walikuwa wameishiwa divai. Walipomuendea Maria, walipata divai mpya baada ya kufuata maagizo ya Yesu. Hebu jiulize sasa: Je, kila anayeingia kanisani na kumuomba Maria, akitoka kanisani shida zake zinakuwa zimeisha? Wanaoingia kanisani na magonjwa, wakitoka, magonjwa yao yanakuwa yameisha? Kama sivyo, inabidi tujiulize: kulikoni? Mimi naona tunakosea. Tunapeleka maombi yetu kwa mtu asiyestahili. Inaonekana Maria hatusikii. Kwanini tusifuate maagizo ya Yesu?
Yohana 16:23-24
"...Amin, amin, nawaambia, Mkimwomba Baba neno lolote atawapa kwa jina langu. Hata sasa hamjaomba neno kwa jina langu; ombeni, nanyi mtapata; furaha yenu iwe timilifu."
Inasikitisha sana