Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika Mungu atajibu maombi ya watanzania waliosimama ktk kweli na haki na si ktk unafiki wa kutetea ugali wao huku wakifumbia macho uovu. Mungu hawahi wala hachelewi na atajibu kwa muda muafaka.Mungu, ulitazama kilio cha wana wa Israel na ukawatoa Misri.
Tazama hiki ambacho Watanzania wanalia mbele zako sasa.
Utusikie Ee Mungu uliyeziumba mbingu na nchi.
Mapenzi yako yatimizwe!
Ha ha ha.. ngoja nianze kutafuta mzigo hukuVijana, mnaoenda huko nje masomoni, oeni wazungu mtuchanganyie damu tupate vizazi vya magenius na majasiri, viiokoe nchi hii kutoka kwa Interahamwe!
Kwa sanduku la kura hao wahuni hata wakipata kura sifuri hawaondoki.Je, hofu itaisha lini baada ya kufanya hayoyote? Tunashindwa hata kuongelea siasa ama kumtaja mh. Unajikuta unafuatiliwa
Hizo ni zile za kwenye mabegi na visandarusi walizojipigia wenyewe kwa kushirikiana na jAMANA PRINTERS.awamu ya 5 inayodai imepewa ridhaa ya mitano mingine na wapiga kura 12.5 milioni uchaguzi wa 2020.
Hizo za ndani ni za CCM, hazina weledi wala uwezo huo.mpaka kesi ipelekwe huko maana yake ni mahakama za ndani kukosa uwezo wa kuendesha hayo mashitaka mfano Sudan(Darfur), DRC.
Nyie mmejificha kwenye keyboardMaria na Fatma Karume wanatuinua sana wanawake.
Safari hii lazima litinge ICC, ngoja tukamilishe na ile petition.
Mbona kwa Wakenya mambo yalirindima kama kawaida wakiwa bado madarakani?Jinai sio leo wala kesho, Kama malalamiko yakiperekwa ICC, jua tu kuna siku kitawanukia watu na ni pale tu watakapotoka madarakani.
Hao watumishi ni waovu kuliko wapagani.Binadamu ni wabinafsi sana, sikutegemea viongozi wa dini kukalia kimya uonevu unaoendelea hapa nchini. Namsikia Askofu Mwamakula na Askofu Bagonza wakiwa mstari wa mbele kukemea madhambi, wengine wanakula kuku juu ya damu za ndugu zao.
Aibu kubwa.
Wenzenu wanapata taabu mjue. Wanapigwa mbele na nyuma.Maria na Fatma Karume wanatuinua sana wanawake.
Safari hii lazima litinge ICC, ngoja tukamilishe na ile petition.
Jamaa(John) hatoki madarakani mpaka afe. Keep my wordsNaijua ICC or Kwa maneno mengine Nimefanyakazi hapo Hakuna receipt uwa mtu anapewa, make my word. Kesi za Kenya, Pierre Bemba Plus Charles Tailors na wale Wababe wote wa Kivita toka Kongo Nilikuwepo. So Hakuna Receipt. Jinai sio leo wala kesho, Kama malalamiko yakiperekwa ICC, jua tu kuna siku kitawanukia watu na ni pale tu watakapotoka madarakani. Kwa sasa ni Raha tu Kumbuka; Yugoslavia/Sebia hakina Milosvic na Karadish plus many other.
Mzee Vasco Da Gama katuharibia Nchi yetuIle Tanzania kisiwa cha Amani imetoweka. Hivi sasa ni mauaji mauaji.
Tulichemka.
Ile ishu ya Kessy ya kutaka magu aongezewe Muda sio yeye bali ni kama chambo tu alitumika kuleta ujumbe uliotoka juu kupima tu joto je hilo jambo umma watalipokeaje. Huwezi niambia kwamba magu hataki kubaki madarakani. Big no. Na Kam watu hawaamini subiri tu ni jambo la Muda.Jamaa(John) hatoki madarakani mpaka afe keep my words