Maria Sarungi apeleka ICC nyaraka muhimu za ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania wakati wa Uchaguzi Mkuu

Maria Sarungi apeleka ICC nyaraka muhimu za ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania wakati wa Uchaguzi Mkuu

Niwape pole vibaraka wote wanaojiita wanaharakati wa haki za binadamu ,kwa taarifa yao inchi yetu ipo salama na amani yakutosha kwa mwananchi anaefuata utaratibu wa sheria nawatanzania atupo tayari kujaribiwa na wapuuzi wa chache ,MUNGU IBARIKI TZ
 
Nae ameanza maigizo ya kina Lema ya kukimbilia Kenya kujificha na familia yake?

Au Lisu kwenda kuolewa ubalozi wa Ujerumani?
 
Mungu, ulitazama kilio cha wana wa Israel na ukawatoa Misri.

Tazama hiki ambacho Watanzania wanalia mbele zako sasa.

Utusikie Ee Mungu uliyeziumba mbingu na nchi.

Mapenzi yako yatimizwe!
Hakika Mungu atajibu maombi ya watanzania waliosimama ktk kweli na haki na si ktk unafiki wa kutetea ugali wao huku wakifumbia macho uovu. Mungu hawahi wala hachelewi na atajibu kwa muda muafaka.
 
awamu ya 5 inayodai imepewa ridhaa ya mitano mingine na wapiga kura 12.5 milioni uchaguzi wa 2020.
Hizo ni zile za kwenye mabegi na visandarusi walizojipigia wenyewe kwa kushirikiana na jAMANA PRINTERS.
 
Binadamu ni wabinafsi sana, sikutegemea viongozi wa dini kukalia kimya uonevu unaoendelea hapa nchini. Namsikia Askofu Mwamakula na Askofu Bagonza wakiwa mstari wa mbele kukemea madhambi, wengine wanakula kuku juu ya damu za ndugu zao.
Aibu kubwa.
Hao watumishi ni waovu kuliko wapagani.
 
Kweli wewe ni missile of the nation. "damu ya kizungu ni jasiri" au anapumliwa kisogoni?

Anayemtukuza mzungu namwona ni taahira. Unatukuza uzungu unaokudhulumu tangu enzi za ujima hadi kesho. Hizo sheria wanazoita za the Hague zipo kwa ajili ya kuendelea kuitawala afrika na sisi tunashangilia.

Trump aliiba kura na ameua weusi nchini mwake, hakuulizwa.

Wewe unaenda kushtaki kwao. Akili za chini tu zinatumika.
 
Umeandika Hii comment nikikusoma between the lines unaonekana ni mtu fulani hivi mwenye chuki na hivi na gubu haswa kwenye mafanikio ya wengine. Sorry Sana [emoji1787]
 
Naijua ICC or Kwa maneno mengine Nimefanyakazi hapo Hakuna receipt uwa mtu anapewa, make my word. Kesi za Kenya, Pierre Bemba Plus Charles Tailors na wale Wababe wote wa Kivita toka Kongo Nilikuwepo. So Hakuna Receipt. Jinai sio leo wala kesho, Kama malalamiko yakiperekwa ICC, jua tu kuna siku kitawanukia watu na ni pale tu watakapotoka madarakani. Kwa sasa ni Raha tu Kumbuka; Yugoslavia/Sebia hakina Milosvic na Karadish plus many other.
Jamaa(John) hatoki madarakani mpaka afe. Keep my words
 
Jamaa(John) hatoki madarakani mpaka afe keep my words
Ile ishu ya Kessy ya kutaka magu aongezewe Muda sio yeye bali ni kama chambo tu alitumika kuleta ujumbe uliotoka juu kupima tu joto je hilo jambo umma watalipokeaje. Huwezi niambia kwamba magu hataki kubaki madarakani. Big no. Na Kam watu hawaamini subiri tu ni jambo la Muda.
 
Back
Top Bottom