Maria Sarungi apeleka ICC nyaraka muhimu za ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania wakati wa Uchaguzi Mkuu

Hatimaye mwandishi wa habari na mwanaharakati huru wa Tanzania Maria Sarungi amethibitisha rasmi leo kupeleka ndani ya ICC nyaraka muhimu za ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi mkuu.

Kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter amesema kuwa "Namshukuru Mungu kuwa hatimaye nimefanikiwa kupeleka nyaraka muhimu ICC zinazohusu ukiukwaji wa haki za biandamu wakati wa uchaguzi mkuu, nawashukuru pia wote tulioshirikiana"

Miongoni mwa nyaraka hizo zipo video, picha za mauaji, kauli za vitisho kutoka kwa watawala dhidi ya upinzani na video zinazoonyesha polisi wakipiga raia.

Mtuhumiwa namba moja kwenye nyaraka hizo ni Rais John Pombe Magufuli. Aidha wapo pia IGP, DC Lengai Ole Sabaya, RC wa Mbeya Albert Chalamila na baadhi ya watendaji wakuu wengine wa serikali ya Tanzania na jeshi la polisi.

Kwenye Mtandao wa Twitter, Maria kaandika hivi:

Thank God! Alhamdulillah! I have used my skills, training and ability as a journalist to fulfill my duty and submitted to @IntlCrimCourt evidence and facts on Crimes against Humanity in #Tanzania - many thanks to everyone Nawashukuru nyote -

Leo nimekamilisha kazi Mungu atulinde!

Mwanamke mwenye kidemu kirefu Tanzania nzima anataka kutuletea utani sasa. Kama anona vipi basi ahame nchi aende kuishi huko mjengoni mwa International Criminal Court kwenye amani tele au hata Somalia na Yemen.
 
Hatimaye mwandishi wa habari na mwanaharakati huru wa Tanzania Maria Sarungi amethibitisha rasmi leo kupeleka ndani ya ICC nyaraka muhimu za ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi mkuu.

Kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter amesema kuwa "Namshukuru Mungu kuwa hatimaye nimefanikiwa kupeleka nyaraka muhimu ICC zinazohusu ukiukwaji wa haki za biandamu wakati wa uchaguzi mkuu, nawashukuru pia wote tulioshirikiana"

Miongoni mwa nyaraka hizo zipo video, picha za mauaji, kauli za vitisho kutoka kwa watawala dhidi ya upinzani na video zinazoonyesha polisi wakipiga raia.

Mtuhumiwa namba moja kwenye nyaraka hizo ni Rais John Pombe Magufuli. Aidha wapo pia IGP, DC Lengai Ole Sabaya, RC wa Mbeya Albert Chalamila na baadhi ya watendaji wakuu wengine wa serikali ya Tanzania na jeshi la polisi.

Kwenye Mtandao wa Twitter, Maria kaandika hivi:

Thank God! Alhamdulillah! I have used my skills, training and ability as a journalist to fulfill my duty and submitted to @IntlCrimCourt evidence and facts on Crimes against Humanity in #Tanzania - many thanks to everyone Nawashukuru nyote -

Leo nimekamilisha kazi Mungu atulinde!

Na ile video ya askari waliyopigwa mawe huko Zanzibar hadi wakakimbia ameipeleka? Au askari wao kupigwa na raia siyo kosa la ukiukwaji wa haki za binadam.
 
Kwani Majaji na Mahakimu wa Mahakama za ndani wana tofauti gani na wakuu wa Wilaya na Mikoa na ma DAS?
Hah hah hah. Nimecheka sana kuhusu ubora wa damu ya kizungu! Asante Missile of the Nation. Kweli vijana wakienda huko majuu wachagamke. Wachanganye damu!
 
Hujitambui nyonyo wewe
Kwani mahakama za ndani haziwezi kushughulikia hayo mpaka muende huko ICC?

Maana mpaka kesi ipelekwe huko maana yake ni mahakama za ndani kukosa uwezo wa kuendesha hayo mashitaka mfano Sudan(Darfur), DRC.
 
Hatimaye mwandishi wa habari na mwanaharakati huru wa Tanzania Maria Sarungi amethibitisha rasmi leo kupeleka ndani ya ICC nyaraka muhimu za ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi mkuu.

Kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter amesema kuwa "Namshukuru Mungu kuwa hatimaye nimefanikiwa kupeleka nyaraka muhimu ICC zinazohusu ukiukwaji wa haki za biandamu wakati wa uchaguzi mkuu, nawashukuru pia wote tulioshirikiana"

Miongoni mwa nyaraka hizo zipo video, picha za mauaji, kauli za vitisho kutoka kwa watawala dhidi ya upinzani na video zinazoonyesha polisi wakipiga raia.

Mtuhumiwa namba moja kwenye nyaraka hizo ni Rais John Pombe Magufuli. Aidha wapo pia IGP, DC Lengai Ole Sabaya, RC wa Mbeya Albert Chalamila na baadhi ya watendaji wakuu wengine wa serikali ya Tanzania na jeshi la polisi.

Kwenye Mtandao wa Twitter, Maria kaandika hivi:

Thank God! Alhamdulillah! I have used my skills, training and ability as a journalist to fulfill my duty and submitted to @IntlCrimCourt evidence and facts on Crimes against Humanity in #Tanzania - many thanks to everyone Nawashukuru nyote -

Leo nimekamilisha kazi Mungu atulinde!

Niseme kwa dhati kabisa anachosema sarungi ni just madrama tu ambayo yanaonyesha wazi kwamba hawaitakii mema nchi yetu na hawana uzalendo hata kidogo watanzania tusidanganyike na hawa
 
Hatimaye mwandishi wa habari na mwanaharakati huru wa Tanzania Maria Sarungi amethibitisha rasmi leo kupeleka ndani ya ICC nyaraka muhimu za ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi mkuu.

Kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter amesema kuwa "Namshukuru Mungu kuwa hatimaye nimefanikiwa kupeleka nyaraka muhimu ICC zinazohusu ukiukwaji wa haki za biandamu wakati wa uchaguzi mkuu, nawashukuru pia wote tulioshirikiana"

Miongoni mwa nyaraka hizo zipo video, picha za mauaji, kauli za vitisho kutoka kwa watawala dhidi ya upinzani na video zinazoonyesha polisi wakipiga raia.

Mtuhumiwa namba moja kwenye nyaraka hizo ni Rais John Pombe Magufuli. Aidha wapo pia IGP, DC Lengai Ole Sabaya, RC wa Mbeya Albert Chalamila na baadhi ya watendaji wakuu wengine wa serikali ya Tanzania na jeshi la polisi.

Kwenye Mtandao wa Twitter, Maria kaandika hivi:

Thank God! Alhamdulillah! I have used my skills, training and ability as a journalist to fulfill my duty and submitted to @IntlCrimCourt evidence and facts on Crimes against Humanity in #Tanzania - many thanks to everyone Nawashukuru nyote -

Leo nimekamilisha kazi Mungu atulinde!

Huyu demu ana umuhimu gani hapa Tanzania? Nashauri serikali wamkamate na kumpeleka ICC kwa umbea, kukosa la kufanya, na kuchochea machafuko Tanzania.
 
Crimes against humanity like War crimes, murder, massacres, dehumanization, genocide, ethnic cleansing, deportations, unethical human experimentation, extrajudicial punishments including summary executions, use of weapons of mass destruction, state terrorism or state sponsoring of terrorism, death squads, kidnappings and forced disappearances, use of child soldiers, unjust imprisonment, enslavement, torture, rape, political repression, racial discrimination, religious persecution nk

Kuna hata moja imetokea nchini kwetu hapa?? Wapi?

Sent from my Plume L2 Pro using JamiiForums mobile app
Watazilazimisha tu hao wapindisha-sheria; but no way
 
Hatimaye mwandishi wa habari na mwanaharakati huru wa Tanzania Maria Sarungi amethibitisha rasmi leo kupeleka ndani ya ICC nyaraka muhimu za ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi mkuu.

Kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter amesema kuwa "Namshukuru Mungu kuwa hatimaye nimefanikiwa kupeleka nyaraka muhimu ICC zinazohusu ukiukwaji wa haki za biandamu wakati wa uchaguzi mkuu, nawashukuru pia wote tulioshirikiana"

Miongoni mwa nyaraka hizo zipo video, picha za mauaji, kauli za vitisho kutoka kwa watawala dhidi ya upinzani na video zinazoonyesha polisi wakipiga raia.

Mtuhumiwa namba moja kwenye nyaraka hizo ni Rais John Pombe Magufuli. Aidha wapo pia IGP, DC Lengai Ole Sabaya, RC wa Mbeya Albert Chalamila na baadhi ya watendaji wakuu wengine wa serikali ya Tanzania na jeshi la polisi.

Kwenye Mtandao wa Twitter, Maria kaandika hivi:

Thank God! Alhamdulillah! I have used my skills, training and ability as a journalist to fulfill my duty and submitted to @IntlCrimCourt evidence and facts on Crimes against Humanity in #Tanzania - many thanks to everyone Nawashukuru nyote -

Leo nimekamilisha kazi Mungu atulinde!

Hivi huyu mdada tofauti na journalism na activism ni nini kinamuingizia hela?
 
hana lolote huyu , anafikiri ICC ni mashindano ya urembo? Acha tumalize shughuli za kuunda serikali halafu tutashughulika na hiki kicheche. Yeye na Fatma wanawashwa na very soon watakunwa na brush ya chuma, zis is bongo bana.
 
Ulishajiuliza kwa nini Mungu aliruhusu Yohana akatwe kichwa au Daniel afungwe gerezani?
Ukipata jibu utaelewa kwa nini Mungu karuhusu ccm waibe kura.

Sasa atawasaidia lini muache kuibiwa mshike dola? Hao kina Yona aliwasaidia ila nyie kila siku ndo mnazidi kupotea.
 
Mungu aliruhusu wizi wa Kura ili kuhitimisha UOVU NA UKATILI WA MAGUFULI NA CCM YAKE.

Mungu huruhusu UOVU kwa kusudi maalumu! Wana Israel waliteseka sana chini ya Utawala Katili wa Firauni ili mwisho oneshe mkono wake wene nguvu wa KUWAKOMBOA WANA ISRAEL KUTOKA MISRI.

Kwahiyo Mungu anaruhusu uovu, if there was any misconduct, ila haki hakubali.

Atawasaidia lini kama nyie kila siku kazi yenu ni kulialia na kumuachia Mungu. Ni lini mlikubali matokeo au kushinda? Mtamuachia hadi lini?
 
Asante! Namshukuru Mzee Sarungi kwa kutupatia damu ya Kizungu, ni damu zenye akili na Jasiri itatusaidia kuliokoa Taifa hili.

Hata damu ya Kizungu iliyoko mwilini mwa Lissu baada ya kuwekewa damu ya kitasha huko Ubelgiji hospitali, imeongeza ujasiri wake na akili mara dufu, ndiyo maana vilaza wa Lumumba wanamshindwa kwenye kila move yao!

Vijana, mnaoenda huko nje masomoni, oeni wazungu mtuchanganyie damu tupate vizazi vya magenius na majasiri, viiokoe nchi hii kutoka kwa Interahamwe!
Ha ha ha ha
Unajua sheria za mahakama? Unashukuru umeambiwa kesi imekubaliwa?
 
Back
Top Bottom