Maria Sarungi apeleka ICC nyaraka muhimu za ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania wakati wa Uchaguzi Mkuu

Walipata 'tume
Mh una uhakika na ulichokiandika? Tume huru si ndiyo iliyochakachua matokeo yaliyopita? Mbona Odinga alisusia uchaguzi wa marudio? Muwe mnajiondoa ujinga kidogo. Hiyo barua ilishapelekwa hata 2015 na haikutokea kitu. Subirini tu machungu ya NGOSHA mpaka 2025
 
Hatimaye mwandishi wa habari na mwanaharakati huru wa Tanzania Maria Sarungi amethibitisha rasmi leo kupeleka ndani ya ICC nyaraka muhimu za ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi mkuu.

Kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter amesema kuwa "Namshukuru Mungu kuwa hatimaye nimefanikiwa kupeleka nyaraka muhimu ICC zinazohusu ukiukwaji wa haki za biandamu wakati wa uchaguzi mkuu, nawashukuru pia wote tulioshirikiana"

Miongoni mwa nyaraka hizo zipo video, picha za mauaji, kauli za vitisho kutoka kwa watawala dhidi ya upinzani na video zinazoonyesha polisi wakipiga raia.

Mtuhumiwa namba moja kwenye nyaraka hizo ni Rais John Pombe Magufuli. Aidha wapo pia IGP, DC Lengai Ole Sabaya, RC wa Mbeya Albert Chalamila na baadhi ya watendaji wakuu wengine wa serikali ya Tanzania na jeshi la polisi.

Kwenye Mtandao wa Twitter, Maria kaandika hivi:

Thank God! Alhamdulillah! I have used my skills, training and ability as a journalist to fulfill my duty and submitted to @IntlCrimCourt evidence and facts on Crimes against Humanity in #Tanzania - many thanks to everyone Nawashukuru nyote -

Leo nimekamilisha kazi Mungu atulinde!

Haya sasa, kumekucha. MaCCM hawakawii kumwambia sio raia wa nchi hii maana ukiyagusa tu haya manyang'au lazima wakufanyie vitimbi na hujuma za hapa na pale.
 
Apeleke tu na ndio atajua kwamba chungwa siyo embe. Ni CCM kwa kwenda mbele
CCM mbele kwa mbele kwa kuua raia wasiokuwa na hatia? Umerogwa wewe au kuna tatizo kichwani mwako ndugu?
 
Kwani mahakama za ndani haziwezi kushughulikia hayo mpaka muende huko ICC?

Maana mpaka kesi ipelekwe huko maana yake ni mahakama za ndani kukosa uwezo wa kuendesha hayo mashitaka mfano Sudan(Darfur), DRC.
Political persecution..The persecution is politically motivated if the actions of the State bodies and their officials are based on a) illegitimate considerations of a socio-political nature or b) by actions of the individual persecuted in defending citizens' rights, freedoms and legitimate interests.MAGU HAPONI
 
Hatimaye mwandishi wa habari na mwanaharakati huru wa Tanzania Maria Sarungi amethibitisha rasmi leo kupeleka ndani ya ICC nyaraka muhimu za ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi mkuu.

Kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter amesema kuwa "Namshukuru Mungu kuwa hatimaye nimefanikiwa kupeleka nyaraka muhimu ICC zinazohusu ukiukwaji wa haki za biandamu wakati wa uchaguzi mkuu, nawashukuru pia wote tulioshirikiana"

Miongoni mwa nyaraka hizo zipo video, picha za mauaji, kauli za vitisho kutoka kwa watawala dhidi ya upinzani na video zinazoonyesha polisi wakipiga raia.

Mtuhumiwa namba moja kwenye nyaraka hizo ni Rais John Pombe Magufuli. Aidha wapo pia IGP, DC Lengai Ole Sabaya, RC wa Mbeya Albert Chalamila na baadhi ya watendaji wakuu wengine wa serikali ya Tanzania na jeshi la polisi.

Kwenye Mtandao wa Twitter, Maria kaandika hivi:

Thank God! Alhamdulillah! I have used my skills, training and ability as a journalist to fulfill my duty and submitted to @IntlCrimCourt evidence and facts on Crimes against Humanity in #Tanzania - many thanks to everyone Nawashukuru nyote -

Leo nimekamilisha kazi Mungu atulinde!

UZALENDO WAKO UPO WAPI KWA TAIFA LAKO
 
Asante! Namshukuru Mzee Sarungi kwa kutupatia damu ya Kizungu, ni damu zenye akili na Jasiri itatusaidia kuliokoa Taifa hili.

Hata damu ya Kizungu iliyoko mwilini mwa Lissu baada ya kuwekewa damu ya kitasha huko Ubelgiji hospitali, imeongeza ujasiri wake na akili mara dufu, ndiyo maana vilaza wa Lumumba wanamshindwa kwenye kila move yao!

Vijana, mnaoenda huko nje masomoni, oeni wazungu mtuchanganyie damu tupate vizazi vya magenius na majasiri, viiokoe nchi hii kutoka kwa Interahamwe!
Umenena vema mi naongezea wasioe Burundi nadhani wameyaona vinginevyo wakioa au kuzaa basi wakikishe wanaishi na kufia huko wasikanyage hapa
 
Mkuu tupe risit ya EFD aliyopewa na ICC
 
Magu kwenye kulinda kitumbua chake mpaka ameua watu huko zanzibar!
Analinda interest za wabongo, lakini hai wengine ni personal interest , ndio maana kwenye kampeni zao walikuwa wakitumia provoctional language, na vitu vyakuta serikali iwafunge au iwapige ili nchi iwekewe vikwazo na hata sasa vitimbwi vyao ni ili nchi iwekewe kikwazo au tupigane mnyewe kwa mnyewe sasa hao hao wana now njema na nchi hii
 
Hatimaye mwandishi wa habari na mwanaharakati huru wa Tanzania Maria Sarungi amethibitisha rasmi leo kupeleka ndani ya ICC nyaraka muhimu za ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi mkuu.

Kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter amesema kuwa "Namshukuru Mungu kuwa hatimaye nimefanikiwa kupeleka nyaraka muhimu ICC zinazohusu ukiukwaji wa haki za biandamu wakati wa uchaguzi mkuu, nawashukuru pia wote tulioshirikiana"

Miongoni mwa nyaraka hizo zipo video, picha za mauaji, kauli za vitisho kutoka kwa watawala dhidi ya upinzani na video zinazoonyesha polisi wakipiga raia.

Mtuhumiwa namba moja kwenye nyaraka hizo ni Rais John Pombe Magufuli. Aidha wapo pia IGP, DC Lengai Ole Sabaya, RC wa Mbeya Albert Chalamila na baadhi ya watendaji wakuu wengine wa serikali ya Tanzania na jeshi la polisi.

Kwenye Mtandao wa Twitter, Maria kaandika hivi:

Thank God! Alhamdulillah! I have used my skills, training and ability as a journalist to fulfill my duty and submitted to @IntlCrimCourt evidence and facts on Crimes against Humanity in #Tanzania - many thanks to everyone Nawashukuru nyote -

Leo nimekamilisha kazi Mungu atulinde!

Kama sio fake news sarungi atakua adui wa taifa na jasusi dhidi ya nchi yake. Hakuna tukio lolote la kuangukia icc hadi leo tz. Mahakama hiyo inahusika na makosa ya jinai maeneo ya vita na tz haina vita. Wajinga tu wenye chuki na uongozi wa ccm na jpm ndio utakuta wanazungumzia makosa ya kupelekwa mahakama zetu kama wana ushahidi ndio wanaongelea icc.
 
Analinda interest za wabongo, lakini hai wengine ni personal interest , ndio maana kwenye kampeni zao walikuwa wakitumia provoctional language, na vitu vyakuta serikali iwafunge au iwapige ili nchi iwekewe vikwazo na hata sasa vitimbwi vyao ni ili nchi iwekewe kikwazo au tupigane mnyewe kwa mnyewe sasa hao hao wana now njema na nchi hii
Kuuwa watz hakuwezi kuwa kwenye interest za watz!Alikuwa analinda kitumbua chake kwanza!
Yuko radhi watu wafe lakini sio yeye kupoteza kiti chake!
 
kujimwambafai kwa huyu dada. Huo upupu hauna vigezo vya kupokelewa kwenye ICC . Propaganda tu ; hela ya mabeberu siyo lelemama.
Kama ni upupu kwa nini umediriki kuusemea? Ukatumia na bando lako na muda kwa vitu ambavyo havitapokelewa. Kweli kichwa chako ni mzigo kwa shingo yako.
 
Kwani mahakama za ndani haziwezi kushughulikia hayo mpaka muende huko ICC?

Maana mpaka kesi ipelekwe huko maana yake ni mahakama za ndani kukosa uwezo wa kuendesha hayo mashitaka mfano Sudan(Darfur), DRC.
Nenda kasome upya protocol ya Rome Statute ndiyo uje humu kuandika. Mahakama hazianzi zenyewe kuhukumu bali lazima kesi zipelekwe. Kwenye Criminal mpelekaji ni Jamhuri. Jamhuri hajazipeleka issues za waliouawa ndiyo hapo sasa ICC wanapoingia
 
Mtaiskilizia hii January or April 2026 na mungu anipe uhai nawaambia tena kësi za icc hupokelewa na kuwekewa bracket na kufanyiwa Tena research za kutosha chini kwa chini na hupitiwa Zaid ya Mara Mia kwa wakati tofauti ni Kama sufuria ya makande inachemka tu kumbukeni
Drc na kësi ya William ruto ya mauaji 2007 juzi imefufuliwa upya
 
Haijawahi kwenda ulaya siku ya mwisho unaenda Hague kwa uchungu[emoji1787][emoji1787]sjui utaenda kushangaa ama kushangaiwa
 
Back
Top Bottom