Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Huyo ni baba ake mazazi, si bosi wa kike. Last thing baba yoyote duniani, hajali nini mtotowake anafanya huko nje, tena mtoto mtu mzima.Prof. Sarungi hawezi kujivunia hiyo takataka, uliwahi kumsikia Profesa akimtukana mtu? Siasa ni matusi? Huyo haifai hata kuzaa naye ni laana. Na mamake akifa atakuja kumzika? Au? Unawezaje kumtukana Rais mama mstaarabu km SAMIA? Km siyo laana ni nini?
Sarungi hakuwahi patana na mwanae na siku zote aliumizwa sana juu ya tabia chafu za mwanaye alimuapiza asije kanyaga kwenye mazishi yake.Harakati zina gharama kubwa, pole sana Maria.
Nina imani baba yako hadi mwisho wake alikuwa akijivunia wewe.
Ndugu mbona msibani wameongea bila kuficha kuwa Maria Sarungi hakuchangia hata mia msiba wa baba yakeMjumbe wa kamati kuu ya Chadema Godbless Lema amemfariji Maria Sarungi kupitia ukurasa wake wa X kutokana na Maria kushindwa kufika katika msiba wa baba yake
“Nimekusikiliza ukiongea kwa njia ya mtandao wakati wa salamu za rambi rambi ukiwa mbali na halaiki iliyokuja kumuaga baba yako Prof Sarungi hapa Karimjee Hall. Naelewa maumivu yako sana tu , usalama wako ni muhimu na hauwezi kuupuuza. Nafsi yako itakuwa inaumia sana. Jipe Moyo Mkuu sana kwani hatuna muda mrefu sana kufika ktk hatua muhimu ya mabadiliko.” - Godbless Lema
Yapi maoni yako
Bila uthibitisho mkuu?Katekeleza maelekezo, Baba yake alimwambia hata akifa asikanyage kwenye mazishi yake
Chadema mlishasema hamfi na hamziki ma CCM. Anatekeza msimamo wa chama.Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema Godbless Lema amemfariji Maria Sarungi kupitia ukurasa wake wa X kutokana na Maria kushindwa kufika katika msiba wa baba yake
“Nimekusikiliza ukiongea kwa njia ya mtandao wakati wa salamu za rambi rambi ukiwa mbali na halaiki iliyokuja kumuaga baba yako Prof Sarungi hapa Karimjee Hall. Naelewa maumivu yako sana tu , usalama wako ni muhimu na hauwezi kuupuuza. Nafsi yako itakuwa inaumia sana. Jipe Moyo Mkuu sana kwani hatuna muda mrefu sana kufika ktk hatua muhimu ya mabadiliko.” - Godbless Lema
Yapi maoni yako
KOSA KUBWA ALOFANYA NI HILI LANKUTOHUDHURIA.Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema Godbless Lema amemfariji Maria Sarungi kupitia ukurasa wake wa X kutokana na Maria kushindwa kufika katika msiba wa baba yake
“Nimekusikiliza ukiongea kwa njia ya mtandao wakati wa salamu za rambi rambi ukiwa mbali na halaiki iliyokuja kumuaga baba yako Prof Sarungi hapa Karimjee Hall. Naelewa maumivu yako sana tu , usalama wako ni muhimu na hauwezi kuupuuza. Nafsi yako itakuwa inaumia sana. Jipe Moyo Mkuu sana kwani hatuna muda mrefu sana kufika ktk hatua muhimu ya mabadiliko.” - Godbless Lema
Yapi maoni yako
Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema Godbless Lema amemfariji Maria Sarungi kupitia ukurasa wake wa X kutokana na Maria kushindwa kufika katika msiba wa baba yake
“Nimekusikiliza ukiongea kwa njia ya mtandao wakati wa salamu za rambi rambi ukiwa mbali na halaiki iliyokuja kumuaga baba yako Prof Sarungi hapa Karimjee Hall. Naelewa maumivu yako sana tu , usalama wako ni muhimu na hauwezi kuupuuza. Nafsi yako itakuwa inaumia sana. Jipe Moyo Mkuu sana kwani hatuna muda mrefu sana kufika ktk hatua muhimu ya mabadiliko.” - Godbless Lema
Yapi maoni yako
Thibitisha.Katekeleza maelekezo, Baba yake alimwambia hata akifa asikanyage kwenye mazishi yake
KOSA KUBWA ALOFANYA NI HILI LANKUTOHUDHURIA.
ALITAKIWA AFIKE, WAMKAMATE, DUNIA IENDELEE KUJIONEA.
Hivi huyo si yule mwenye ugomvi na babayake?? Au mwingine??Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema Godbless Lema amemfariji Maria Sarungi kupitia ukurasa wake wa X kutokana na Maria kushindwa kufika katika msiba wa baba yake
“Nimekusikiliza ukiongea kwa njia ya mtandao wakati wa salamu za rambi rambi ukiwa mbali na halaiki iliyokuja kumuaga baba yako Prof Sarungi hapa Karimjee Hall. Naelewa maumivu yako sana tu , usalama wako ni muhimu na hauwezi kuupuuza. Nafsi yako itakuwa inaumia sana. Jipe Moyo Mkuu sana kwani hatuna muda mrefu sana kufika ktk hatua muhimu ya mabadiliko.” - Godbless Lema
Yapi maoni yako
A self-inflicted problem. She would have buried her father if she had respected the authority or criticized it respectfully.Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema Godbless Lema amemfariji Maria Sarungi kupitia ukurasa wake wa X kutokana na Maria kushindwa kufika katika msiba wa baba yake
“Nimekusikiliza ukiongea kwa njia ya mtandao wakati wa salamu za rambi rambi ukiwa mbali na halaiki iliyokuja kumuaga baba yako Prof Sarungi hapa Karimjee Hall. Naelewa maumivu yako sana tu , usalama wako ni muhimu na hauwezi kuupuuza. Nafsi yako itakuwa inaumia sana. Jipe Moyo Mkuu sana kwani hatuna muda mrefu sana kufika ktk hatua muhimu ya mabadiliko.” - Godbless Lema
Yapi maoni yako
ndiyo ajue ujinga anaoufanya una cost zake kama hizoMjumbe wa kamati kuu ya Chadema Godbless Lema amemfariji Maria Sarungi kupitia ukurasa wake wa X kutokana na Maria kushindwa kufika katika msiba wa baba yake
“Nimekusikiliza ukiongea kwa njia ya mtandao wakati wa salamu za rambi rambi ukiwa mbali na halaiki iliyokuja kumuaga baba yako Prof Sarungi hapa Karimjee Hall. Naelewa maumivu yako sana tu , usalama wako ni muhimu na hauwezi kuupuuza. Nafsi yako itakuwa inaumia sana. Jipe Moyo Mkuu sana kwani hatuna muda mrefu sana kufika ktk hatua muhimu ya mabadiliko.” - Godbless Lema
Yapi maoni yako
Sawa Mkuu!Tujifunze kuheshimu mamlaka Ili tuishi kwa amani.
Nimeandika Kuheshimu sio kuogopa.
Nimethibitisha tayari au unataka video na barua yenye muhuri?Thibitisha.
kuna watu na viatu humu duniani,Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema Godbless Lema amemfariji Maria Sarungi kupitia ukurasa wake wa X kutokana na Maria kushindwa kufika katika msiba wa baba yake
“Nimekusikiliza ukiongea kwa njia ya mtandao wakati wa salamu za rambi rambi ukiwa mbali na halaiki iliyokuja kumuaga baba yako Prof Sarungi hapa Karimjee Hall. Naelewa maumivu yako sana tu , usalama wako ni muhimu na hauwezi kuupuuza. Nafsi yako itakuwa inaumia sana. Jipe Moyo Mkuu sana kwani hatuna muda mrefu sana kufika ktk hatua muhimu ya mabadiliko.” - Godbless Lema
Yapi maoni yako
Amewahi kutuka matusi gani, yataje kwa uchache kama ushahidi. Upuuzi wa serikali ya TZ kila mwenye itikadi tofauti na za CCM wanamchukulia kama adui na kila anayefichua wizi, ubaradhuli, uzandiki na unyama unaofanywa na serikali wanamuwinda ili wamuue.huyo bwege hawezi kuwa mtoto wa mzee mstaarabu km Prof. Sarungi. Litoto lidogo linamtukana Rais wa nchi yake? Babake alishawahi kumtukana nani? Akaozee huko Kenya, pumbavu.
Siyo kweli kosa kubwa alilofanya Maria Sarungi ni kutochangia hata mia msiba wa baba yake mzazi hata kama haji kwa mujibu wa ndugu zakeKOSA KUBWA ALOFANYA NI HILI LA KUTOHUDHURIA.