Maria Sarungi: Hili la ahadi ya JWTZ kumtii Samia Suluhu sio la kawaida

Maria Sarungi: Hili la ahadi ya JWTZ kumtii Samia Suluhu sio la kawaida

Labda wewe unakisia lakini ukweli unatabaki kuwa muuaji hatimaye kafa na watu wanashangilia! Sasa mambo ya bibie tusubiri tuone utendaji wake!

kufa kila mtu atakufa,sijui unashangilia ili iweje!!!
 
Huyo unayemshabikia alikuwa anabwabwaja hadharani wakati akijeruhi wenzake sasa kwa nini wengine wafurahi kimoyo moyo? Wacha watu watoe nyongo zao!

kama ni hivyo sioni kosa la mimi kupanda na sarungi hewani.

uhuru wa kuongea anao kila mtu.
 
Wewe ni muongo! Magufuli anaingia madarakani Mabeyo alikuwa Chief of Staff, yaani alikuwa namba mbili kutoka kwa Mwamunyange ambaye alikuwa CDF. Hivyo hakuna waliopanguliwa kumpisha Mabeyo bali alipandishwa cheo mara baada ya Mwamunyange kustaafu.
Wengi walijua anaenda kukaa mwakibolwa pake kwenye U CDF
 
Na atakaeleta fyoko fyoko tunamshughulikia. Hii ndio raha ya Tanzania yetu
Ilikuwa hata ukiangalia picha ya pamoja ya CDF, IGP na DG .. Unapata tafsiri pana sana, mtu ambae yupo Neutral ni IGP tu, na ambae kunaonekana hapako sawa ni DG na ambae anaonekana yupo serious na kazi zake hataki uvunjaji wa katiba ni CDF..
 
Kuna tatizo kuanzia juu kabsa kuna baadhi ya watu mama hataweza kufanya nao kazi lazima asafishe njia kwanza ,ukianzia ofisini kwake maana huyu nshomile mama hata muweza kabsa huyo alijua na swaiba wake r.i.p
By then Baba wa Taifa aliwahi kulaani baadhi yaakabila kwamba hayata kaa kwenye ngazi za juu za uongozi.
Diwani, Kibuta sioni wakiwa ofisini 😀😀😀😀.. Mambo sasa sioni akiwa ofisisini.. viva CDF mabeyo na IGP Siro ☺☺
 
Kwa hiyo hili goma lina Muangikia Nshomile uwiiii, what bad lucky kudadeki, Nshomile kujinusuru hapa pengine ni kuwataja Wahusika wenzie maana hii ni scandals kubwa hawezi fanywa na mtu mmoja, ila CCM kwa scandals kama hizi kwao ndio nyumbani, ingawaje binafsi sina uhakika wa jambo hili.
 
Acha kuota nawewe.

Mh Suluhu tokea ameapa ni wiki moja na ushee tuko na mwili wa marehemu, ambao zoezi zima linasimamiwa na JWTZ, shughuli ya jeshi kwenye mwili wa mpendwa wetu imekwisha jana. Hutona tena uliyoyaandika hapo.

Itifaki ni jambo kubwa,ukileta ujuaji unavuruga kila kitu.

time will tell ..
msiba wa sokoine; nyerere ; kawawa na mkapa tulikuweko
you are right but not at that level of spotlight
 
Tunakuza mambo bila sababu ya msingi.Mabeyo aliongea in very humble manner na kwa kua imekua ni kasumba ya wanaume kuona wanawake hawana sifa za kua viongozi wa juu.Hivyo kauli ya mabeyo ilikua ni kuwaondoa wanaume wenye mtazamo hasi.Na kama kuna maneno mengi ni katika misingi ya Dini yake labda na sio sheria.Sijaona tatizo lolote kwenye statement za CDF bali tatizo lipo kwetu tunaotafsiri hata yaliyoko moyoni mwa watu.
 
Inategemea; CDF Mabeyo alikuwa chaguo la JPM ndio maana waliokuwa juu yake wote walipanguliwa kwa kuondolewa ili aweze 'kumfikia mabeyo'
Rais Samia nae anaweza kuwa na Chaguo lake hivyo akapangua safu yote ya JPM ili amfikie anaemtaka na hakuna wa kumzuia.

Unacheza wewe. Sio sasa hivi na wala smamy be never. Hivi vitu havitaki mihemuko
 
Hao nao tushawazoea watoto wa vigogo tushawajua , la kwao ni kuvuruga , wamwache mama atupe oxygen swaaaafi pamoja na Chief of Defense Forces
Wapenda mabaya kwa TZ, kuzaliwa kwenye raha nako kuna shida zake, wako bored na yule mwenzake anayesumbuliwa na midlife crisis, ni shida kwa kweli..
 
Kuna watu wanamtisha mama kwamba akiwamwaga watamtoa kupitia vikao vya CCM.
Go CDF mtoe mama wasiwasi.
Hapa mama atumie wazoefu wa chama na apange safu yake ya ndani ya chama,nje ya chama na kwenye vyombo vya usalama.

Kana kwamba haitoshi awabane wanywee kama Magu alivyowafanya akina Lowasa,Sumaye nk .. Upinzani mkuu alionao ni ndani ya chama na si vinginevyo ,akilemba tuu wanafanya kweli.

Ningekuwa mimi ningeanza na PM,ajiandae na propaganda za kuleta uzanzibari
 
Back
Top Bottom