Maria Sarungi: Kuna mpango wa kumkamata Heche na kumfungulia kesi ya uhaini

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Kutoka akaunti yake ya X.

DCI KINGAI AMEJIANDAA KUMKAMATA HECHE KWA UHAINI🙄

Uongozi haramu wa Samia Suluhu kupitia DCI imepangs kufungua kesi ya uhaini dhidi ya John Heche na wamepanga kumkamata kesho!

Lengo ni kusambaratisha chama cha CHADEMA na wanataka akae ndani muda mrefu ili warudishe wasaliti ktk uongozi na/au wamdhuru Heche wakati wa ukamataji!

Kaka @HecheJohn huu si muda wa kusema huna hatia so huogopi kukamatwa! We can’t afford ukamatwe! Wananchi wote tumlinde Heche kwa wivu mkubwa! Na tusipoamka watatumaiiza wote - we need to organize!
 
Very very dangerous! Hawa watu hawako tayari kuachia nchi na tishio lao kubwa ni CHADEMA😩
 
Ila siasa jamani Eti "We can't afford ukamatwe, Wananchi wote lazima tumlinde" 😁

Mtu yuko Kenya, Atamlindaje Heche.
 
Bahati mbaya Heche anaweza kamatwa apewe kesi ya uongo na tusifanye chochote.

Zaidi tutaanza kulalamika bora watawala dhalimu waifute Chadema.

Tunadhani Chadema ikifutwa ndio tutapata nafuu, sijui hiyo dhana tunaitoa wapi.

Ukweli ni kwamba, Chadema ikifutwa ndio haki zetu zitazidi kupigwa teke na hatutakuwa na wakutusemea.

Hivyo basi kama hatutaamka sasa tusimame na hawa viongozi wa Chadema wanaoonewa kila siku na watawala, vyema tujue iko siku tutabaki peke yetu tukionewa bila kuwa na mtetezi popote.
 
Kutoka akaunti yake ya X.

DCI KINGAI AMEJIANDAA KUMKAMATA HECHE KWA UHAINI🙄

Uongozi haramu wa Samia Suluhu kupitia DCI imepangs kufungua kesi ya uhaini dhidi ya John Heche na wamepanga kumkamata kesho!

Lengo ni kusambaratisha chama cha CHADEMA na wanataka akae ndani muda mrefu ili warudishe wasaliti ktk uongozi na/au wamdhuru Heche wakati wa ukamataji!

Kaka @HecheJohn huu si muda wa kusema huna hatia so huogopi kukamatwa! We can’t afford ukamatwe! Wananchi wote tumlinde Heche kwa wivu mkubwa! Na tusipoamka watatumaiiza wote - we need to organize!
Kama kweli , nchi inawatu vilaza sana , ngoja ,tutafika wanapopataka, mzigo wa lissu umewalemia ndani ya nchi na nje ya chi ,alafu uwongeze mzigo wa makamu wake , mbona nchi inaenda kulipuka vinaya mno
 
Bahati mbaya Heche anaweza kamatwa apewe kesi ya uongo na tusifanye chochote.

Zaidi tutaanza kulalamika bora watawala dhalimu waifute Chadema.

Tunadhani Chadema ikifutwa ndio tutapata nafuu, sijui hiyo dhana tunaitoa wapi.

Ukweli ni kwamba, Chadema ikifutwa ndio haki zetu zitazidi kupigwa teke na hatutakuwa na wakutusemea.

Hivyo basi kama hatutaamka sasa tusimame na hawa viongozi wa Chadema wanaoonewa kila siku na watawala, vyema tujue iko siku tutabaki peke yetu tukionewa bila kuwa na mtetezi popote.
Hata wakiwafunga viongozi wote wa Chadema na hata wakiifuta Chadema, watatokea wengine ambao watakuwa moto zaidi ya waliopita.

Kama wewe ni Millennial kurudi nyuma alikuwepo mtu aliyeitwa Mtikila, akaja Mrema akaja Seifu akaja Mbowe? leo yupo Lissu na Heche na wengine.
 
She is just working for herself, Haijalishi anafanya kazi kiasi gani, ANALIPWA.

Mashujaa tupo hapa bonyokwa tunakomaa na Vegies mpaka kieleweke.
Alipwe asilipwe lakini kazi anayofanya ni significant inaonekana, tujuze yako ya gizani hata ya hapa JF unayotumia jina fake zaidi ya kupost post za kuwakatisha tamaa wanaopambana.
 
Back
Top Bottom