Kiburi hiki kinaletwa na sisi jamii kuto-focus kwenye mijadala hii ya kisiasa kwa faida ya nchi.
Wamegundua jamii haijali, hakuna reaction yeyote, media inajadili kutwa comeback ya Chama Jr, vichekesho vya akina Ndalo, Wema kufiwa na mbwa, au Nyeti za watu kutoweka.
Mwaka 2014, Kikwete alilazimishwa na presha ya media, wanaharakati na Wananchi kukubali mchakato wa katiba ufanyike, yule mzee pamoja na kwamba alikuwa na hekima sana, lakini ilibidi akubaliane nao kwa sababu jamii ya kipindi kile ilikuwa serious.
Mimi naamini kama jamii ikirudisha focus walau iliyotumika kupinga DP World, huyu msajiri asingefika huku