Malaika Gabrieli
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 3,637
- 6,896
"Wananchi wote tumlinde Heche kwa wivu mkubwa! Na tusipoamka watatumaiiza wote - we need to organize!"
We nguchiro umejificha huko Kenya eti tumlinde, wakitaka watamkamata muda wowote hizo porojo zako hazitazuia kitu, mlimdanganya Lissu leo anateseka mwenyewe wapuuzi km ww mmekimbia mkila pesa za wazungu. Tunajua wazungu wanawatumia kurudi kuzisambaratisha nchi za Afrika km kina Sudan ambayo sahivi wameitelekeza wazalendo hatutakubali. Heche anatumika na wazungu ni kibaraka akipita mstari mwekundu atamalizwa mchana mweupe! Kwanza Heche siyo mtanzania ni mkenyaKutoka akaunti yake ya X.
DCI KINGAI AMEJIANDAA KUMKAMATA HECHE KWA UHAINI🙄
Uongozi haramu wa Samia Suluhu kupitia DCI imepangs kufungua kesi ya uhaini dhidi ya John Heche na wamepanga kumkamata kesho!
Lengo ni kusambaratisha chama cha CHADEMA na wanataka akae ndani muda mrefu ili warudishe wasaliti ktk uongozi na/au wamdhuru Heche wakati wa ukamataji!
Kaka @HecheJohn huu si muda wa kusema huna hatia so huogopi kukamatwa! We can’t afford ukamatwe! Wananchi wote tumlinde Heche kwa wivu mkubwa! Na tusipoamka watatumaiiza wote - we need to organize!
We tumia akili nchi haiwezi kuachwa kwa mambwa km Heche mnajidanganya sana! Samia mwenyewe alifanya makosa na ndiyo yanamsumbua na ni tatizo la mwanamke Magufuli alishamaliza kazi hao vibaraka Lissu, Heche, Lema walishakimbia nchi, sasa wacha wamhangaishe ila wahuni hao watamalizwa moja moja. Siku akiingia mwanaume hakuna kima atawikaVery very dangerous! Hawa watu hawako tayari kuachia nchi na tishio lao kubwa ni CHADEMA😩
Oyaaa bonyokwa imeingiaje hapo mzeeKazi anayoifanya Maria akiwa nje ni kubwa kuliko yako uliye hapo Bonyokwa.
Maria Sarungi mumlinde wote!Kutoka akaunti yake ya X.
DCI KINGAI AMEJIANDAA KUMKAMATA HECHE KWA UHAINI🙄
Uongozi haramu wa Samia Suluhu kupitia DCI imepangs kufungua kesi ya uhaini dhidi ya John Heche na wamepanga kumkamata kesho!
Lengo ni kusambaratisha chama cha CHADEMA na wanataka akae ndani muda mrefu ili warudishe wasaliti ktk uongozi na/au wamdhuru Heche wakati wa ukamataji!
Kaka @HecheJohn huu si muda wa kusema huna hatia so huogopi kukamatwa! We can’t afford ukamatwe! Wananchi wote tumlinde Heche kwa wivu mkubwa! Na tusipoamka watatumaiiza wote - we need to organize!
Very stupid!She is just working for herself, Haijalishi anafanya kazi kiasi gani, ANALIPWA.
Mashujaa tupo hapa bonyokwa tunakomaa na Vegies mpaka kieleweke.
Mfumo Umeanza Kuchanhanya Oil Na MajiMfumo una panic sana.