Maria Sarungi: Kuna mpango wa kumkamata Heche na kumfungulia kesi ya uhaini

Maria Sarungi: Kuna mpango wa kumkamata Heche na kumfungulia kesi ya uhaini

Kutoka akaunti yake ya X.

DCI KINGAI AMEJIANDAA KUMKAMATA HECHE KWA UHAINI🙄

Uongozi haramu wa Samia Suluhu kupitia DCI imepangs kufungua kesi ya uhaini dhidi ya John Heche na wamepanga kumkamata kesho!

Lengo ni kusambaratisha chama cha CHADEMA na wanataka akae ndani muda mrefu ili warudishe wasaliti ktk uongozi na/au wamdhuru Heche wakati wa ukamataji!

Kaka @HecheJohn huu si muda wa kusema huna hatia so huogopi kukamatwa! We can’t afford ukamatwe! Wananchi wote tumlinde Heche kwa wivu mkubwa! Na tusipoamka watatumaiiza wote - we need to organize!
kwani mlidhani kibaraka anaesota korokoroni hivi sasa, alikua pekeyake kupanga uovu ambao unamuweka korokoroni mpaka sasa akisubiri haki ya kunyongwa hadi kufa?

kwamba m.sarung kaeleza jambo jipyaaaa 🤣

ulofa ni umaskini mbaya sana aise.
Ni msururu mrefu tu na wengine wameshatoroka tayari ila watafuatwa walipo bila mbambamba yoyote
 
kwani mlidhani kibaraka anaesota korokoroni hivi sasa, alikua pekeyake kupanga uovu ambao unamuweka korokoroni mpaka sasa akisubiri haki ya kunyongwa hadi kufa?

kwamba m.sarung kaeleza jambo jipyaaaa 🤣

ulofa ni umaskini mbaya sana aise
Hata Samia hatapelekwa ICC peke yake wapo wengi wataambatana naye akiwepo Wambura anayejifanya mgonjwa.
 
Kutoka akaunti yake ya X.

DCI KINGAI AMEJIANDAA KUMKAMATA HECHE KWA UHAINI🙄

Uongozi haramu wa Samia Suluhu kupitia DCI imepangs kufungua kesi ya uhaini dhidi ya John Heche na wamepanga kumkam

Lengo ni kusambaratisha chama cha CHADEMA na wanataka akae ndani muda mrefu ili warudishe wasaliti ktk uongozi na/au wamdhuru Heche wakati wa ukamataji!

Kaka @HecheJohn huu si muda wa kusema huna hatia so huogopi kukamatwa! We can’t afford ukamatwe! Wananchi wote tumlinde Heche kwa wivu mkubwa! Na tusipoamka watatumaiiza wote - we need to organize!
Hivi Lissu , Heche na the likes wakikiri kua na hatia huyu mbwa atakua na kifua kikubwa cha kuwanyonga kweli maana wanachofanya ni delaying tactics
 
Kutoka akaunti yake ya X.

DCI KINGAI AMEJIANDAA KUMKAMATA HECHE KWA UHAINI🙄

Uongozi haramu wa Samia Suluhu kupitia DCI imepangs kufungua kesi ya uhaini dhidi ya John Heche na wamepanga kumkamata kesho!

Lengo ni kusambaratisha chama cha CHADEMA na wanataka akae ndani muda mrefu ili warudishe wasaliti ktk uongozi na/au wamdhuru Heche wakati wa ukamataji!

Kaka @HecheJohn huu si muda wa kusema huna hatia so huogopi kukamatwa! We can’t afford ukamatwe! Wananchi wote tumlinde Heche kwa wivu mkubwa! Na tusipoamka watatumaiiza wote - we need to organize!
Ikitokea hakika uongozi wa ngozi nyeusi hauta kuwa na tofauti ya himaya ya kenge.
 
Hata wakiwafunga viongozi wote wa Chadema na hata wakiifuta Chadema, watatokea wengine ambao watakuwa moto zaidi ya waliopita.

Kama wewe ni Millennial kurudi nyuma alikuwepo mtu aliyeitwa Mtikila, akaja Mrema akaja Seifu akaja Mbowe? leo yupo Lissu na Heche na wengine.
Malengo lazima yasifikiwe, sio kila siku kubadilisha sura huku bado tukiwa tuko pale pale kisiasa.
 
Ni relax vipi wakati mwenyewe kasema tumuombee apone haraka.
kwani kuna ubaya hapo gentleman?
si tuungane pamoja kumuombea kwa Mungu, nasi kwa nafasi zetu Mungu atubariki pia?

au hiyo ni mbaya kwako gentleman?🤣
 
Alipwe asilipwe lakini kazi anayofanya ni significant inaonekana, tujuze yako ya gizani hata ya hapa JF unayotumia jina fake zaidi ya kupost post za kuwakatisha tamaa wanaopambana.

Kazi yake anaifanyia twitter sio.

Usipo kua hutumii akili, utajikuta upo kati kati ya Agenda za watu kila siku kila wakati.

Huyo hata CDM ikichukua nchi ataendelea na harakati zake hizo.

Because it's a way of surviving.

Wapigania haki akina TAL, wapo lupango saivi lkn hawateteleki na akitoka moto ni ule ule.

Sasa yeye katishiwa pira kidogo, huyo kasepa.
 
Bahati mbaya Heche anaweza kamatwa apewe kesi ya uongo na tusifanye chochote.

Zaidi tutaanza kulalamika bora watawala dhalimu waifute Chadema.

Tunadhani Chadema ikifutwa ndio tutapata nafuu, sijui hiyo dhana tunaitoa wapi.

Ukweli ni kwamba, Chadema ikifutwa ndio haki zetu zitazidi kupigwa teke na hatutakuwa na wakutusemea.

Hivyo basi kama hatutaamka sasa tusimame na hawa viongozi wa Chadema wanaoonewa kila siku na watawala, vyema tujue iko siku tutabaki peke yetu tukionewa bila kuwa na mtetezi popote.
Exactly
 
Back
Top Bottom