Kazi anayoifanya Maria akiwa nje ni kubwa kuliko yako uliye hapo Bonyokwa.Mwambie aje tz tuungane, yeye katorokea kenya kulinda uhai wake, ila anamuona Heche kama immortila flani hvi, au Watanzania kama immortial flani hivi
Unadhani hata Trump anakuwa karibu na mlango wa hormoz? Noo , anakuwa white house lkn anasema ataufungua mlango huoMwambie aje tz tuungane, yeye katorokea kenya kulinda uhai wake, ila anamuona Heche kama immortila flani hvi, au Watanzania kama immortial flani hivi
Very very dangerous! Hawa watu hawako tayari kuachia nchi na tishio lao kubwa ni CHADEMA😩Kutoka akaunti yake ya X.
DCI KINGAI AMEJIANDAA KUMKAMATA HECHE KWA UHAINI🙄
Uongozi haramu wa Samia Suluhu kupitia DCI imepangs kufungua kesi ya uhaini dhidi ya John Heche na wamepanga kumkamata kesho!
Lengo ni kusambaratisha chama cha CHADEMA na wanataka akae ndani muda mrefu ili warudishe wasaliti ktk uongozi na/au wamdhuru Heche wakati wa ukamataji!
Kaka @HecheJohn huu si muda wa kusema huna hatia so huogopi kukamatwa! We can’t afford ukamatwe! Wananchi wote tumlinde Heche kwa wivu mkubwa! Na tusipoamka watatumaiiza wote - we need to organize!
Kazi anayoifanya akiwa nje ni kubwa kuliko yako uliye Bonyokwa.
Unadhani hata Trump anakuwa karibu na mlango wa hormoz? Noo , anakuwa white house lkn anasema ataufungua mlango huo
Kwahao mashahidi vilaza, labda muwaandikie majaji hukumu, maana ndio kinachofanyika sasa.Tunaomba hukumu ziwe zinatoka haraka na watu wanyongwe.
Tutayatamka maneno haya hadi lini? Watu wanateswa,wanatumia. Tuamkeni jamani!CCM pasipo dola ni nyepesi kuliko unyoya.
Kama kweli , nchi inawatu vilaza sana , ngoja ,tutafika wanapopataka, mzigo wa lissu umewalemia ndani ya nchi na nje ya chi ,alafu uwongeze mzigo wa makamu wake , mbona nchi inaenda kulipuka vinaya mnoKutoka akaunti yake ya X.
DCI KINGAI AMEJIANDAA KUMKAMATA HECHE KWA UHAINI🙄
Uongozi haramu wa Samia Suluhu kupitia DCI imepangs kufungua kesi ya uhaini dhidi ya John Heche na wamepanga kumkamata kesho!
Lengo ni kusambaratisha chama cha CHADEMA na wanataka akae ndani muda mrefu ili warudishe wasaliti ktk uongozi na/au wamdhuru Heche wakati wa ukamataji!
Kaka @HecheJohn huu si muda wa kusema huna hatia so huogopi kukamatwa! We can’t afford ukamatwe! Wananchi wote tumlinde Heche kwa wivu mkubwa! Na tusipoamka watatumaiiza wote - we need to organize!
Yes ICC iharakishe mashitaka ya Samia anyongwe.Tunaomba hukumu ziwe zinatoka haraka na watu wanyongwe.
Hata wakiwafunga viongozi wote wa Chadema na hata wakiifuta Chadema, watatokea wengine ambao watakuwa moto zaidi ya waliopita.Bahati mbaya Heche anaweza kamatwa apewe kesi ya uongo na tusifanye chochote.
Zaidi tutaanza kulalamika bora watawala dhalimu waifute Chadema.
Tunadhani Chadema ikifutwa ndio tutapata nafuu, sijui hiyo dhana tunaitoa wapi.
Ukweli ni kwamba, Chadema ikifutwa ndio haki zetu zitazidi kupigwa teke na hatutakuwa na wakutusemea.
Hivyo basi kama hatutaamka sasa tusimame na hawa viongozi wa Chadema wanaoonewa kila siku na watawala, vyema tujue iko siku tutabaki peke yetu tukionewa bila kuwa na mtetezi popote.
Alipwe asilipwe lakini kazi anayofanya ni significant inaonekana, tujuze yako ya gizani hata ya hapa JF unayotumia jina fake zaidi ya kupost post za kuwakatisha tamaa wanaopambana.She is just working for herself, Haijalishi anafanya kazi kiasi gani, ANALIPWA.
Mashujaa tupo hapa bonyokwa tunakomaa na Vegies mpaka kieleweke.