kwani mlidhani kibaraka anaesota korokoroni hivi sasa, alikua pekeyake kupanga uovu ambao unamuweka korokoroni mpaka sasa akisubiri haki ya kunyongwa hadi kufa?Kutoka akaunti yake ya X.
DCI KINGAI AMEJIANDAA KUMKAMATA HECHE KWA UHAINI🙄
Uongozi haramu wa Samia Suluhu kupitia DCI imepangs kufungua kesi ya uhaini dhidi ya John Heche na wamepanga kumkamata kesho!
Lengo ni kusambaratisha chama cha CHADEMA na wanataka akae ndani muda mrefu ili warudishe wasaliti ktk uongozi na/au wamdhuru Heche wakati wa ukamataji!
Kaka @HecheJohn huu si muda wa kusema huna hatia so huogopi kukamatwa! We can’t afford ukamatwe! Wananchi wote tumlinde Heche kwa wivu mkubwa! Na tusipoamka watatumaiiza wote - we need to organize!
Hawa ndio wanaohubiri maridhiano.Very very dangerous! Hawa watu hawako tayari kuachia nchi na tishio lao kubwa ni CHADEMA😩
Hata Samia hatapelekwa ICC peke yake wapo wengi wataambatana naye akiwepo Wambura anayejifanya mgonjwa.kwani mlidhani kibaraka anaesota korokoroni hivi sasa, alikua pekeyake kupanga uovu ambao unamuweka korokoroni mpaka sasa akisubiri haki ya kunyongwa hadi kufa?
kwamba m.sarung kaeleza jambo jipyaaaa 🤣
ulofa ni umaskini mbaya sana aise
Aah potoshaja kuu, naona upo kwenye moja na mbili 🤣Very very dangerous! Hawa watu hawako tayari kuachia nchi na tishio lao kubwa ni CHADEMA😩
Relax bas gentleman 🤣Hata Samia hatapelekwa ICC peke yake wapo wengi wataambatana naye akiwepo Wambura anayejifanya mgonjwa.
Hivi Lissu , Heche na the likes wakikiri kua na hatia huyu mbwa atakua na kifua kikubwa cha kuwanyonga kweli maana wanachofanya ni delaying tacticsKutoka akaunti yake ya X.
DCI KINGAI AMEJIANDAA KUMKAMATA HECHE KWA UHAINI🙄
Uongozi haramu wa Samia Suluhu kupitia DCI imepangs kufungua kesi ya uhaini dhidi ya John Heche na wamepanga kumkam
Lengo ni kusambaratisha chama cha CHADEMA na wanataka akae ndani muda mrefu ili warudishe wasaliti ktk uongozi na/au wamdhuru Heche wakati wa ukamataji!
Kaka @HecheJohn huu si muda wa kusema huna hatia so huogopi kukamatwa! We can’t afford ukamatwe! Wananchi wote tumlinde Heche kwa wivu mkubwa! Na tusipoamka watatumaiiza wote - we need to organize!
Ikitokea hakika uongozi wa ngozi nyeusi hauta kuwa na tofauti ya himaya ya kenge.Kutoka akaunti yake ya X.
DCI KINGAI AMEJIANDAA KUMKAMATA HECHE KWA UHAINI🙄
Uongozi haramu wa Samia Suluhu kupitia DCI imepangs kufungua kesi ya uhaini dhidi ya John Heche na wamepanga kumkamata kesho!
Lengo ni kusambaratisha chama cha CHADEMA na wanataka akae ndani muda mrefu ili warudishe wasaliti ktk uongozi na/au wamdhuru Heche wakati wa ukamataji!
Kaka @HecheJohn huu si muda wa kusema huna hatia so huogopi kukamatwa! We can’t afford ukamatwe! Wananchi wote tumlinde Heche kwa wivu mkubwa! Na tusipoamka watatumaiiza wote - we need to organize!
Malengo lazima yasifikiwe, sio kila siku kubadilisha sura huku bado tukiwa tuko pale pale kisiasa.Hata wakiwafunga viongozi wote wa Chadema na hata wakiifuta Chadema, watatokea wengine ambao watakuwa moto zaidi ya waliopita.
Kama wewe ni Millennial kurudi nyuma alikuwepo mtu aliyeitwa Mtikila, akaja Mrema akaja Seifu akaja Mbowe? leo yupo Lissu na Heche na wengine.
Kumbe afande IGP ni mgonjwa..?🤔wapo wengi wataambatana naye akiwepo Wambura anayejifanya mgonjwa.
Ni relax vipi wakati mwenyewe kasema tumuombee apone haraka.Relax bas gentleman 🤣
hakuna haja ya kuweweseka plz
kwani kuna ubaya hapo gentleman?Ni relax vipi wakati mwenyewe kasema tumuombee apone haraka.
Mwambie aje tz tuungane, yeye katorokea kenya kulinda uhai wake, ila anamuona Heche kama immortila flani hvi, au Watanzania kama immortial flani hivi
Waachie nchi Ili iweje,wamwachie nani,kwa nini?Very very dangerous! Hawa watu hawako tayari kuachia nchi na tishio lao kubwa ni CHADEMA😩
Muuaji hafai kuwa kiongozi.Waachie nchi Ili iweje,wamwachie nani,kwa nini?
Alipwe asilipwe lakini kazi anayofanya ni significant inaonekana, tujuze yako ya gizani hata ya hapa JF unayotumia jina fake zaidi ya kupost post za kuwakatisha tamaa wanaopambana.
Aungane na wewe CHAWA...!!?
ExactlyBahati mbaya Heche anaweza kamatwa apewe kesi ya uongo na tusifanye chochote.
Zaidi tutaanza kulalamika bora watawala dhalimu waifute Chadema.
Tunadhani Chadema ikifutwa ndio tutapata nafuu, sijui hiyo dhana tunaitoa wapi.
Ukweli ni kwamba, Chadema ikifutwa ndio haki zetu zitazidi kupigwa teke na hatutakuwa na wakutusemea.
Hivyo basi kama hatutaamka sasa tusimame na hawa viongozi wa Chadema wanaoonewa kila siku na watawala, vyema tujue iko siku tutabaki peke yetu tukionewa bila kuwa na mtetezi popote.
Wewe mbona unafuata mkumbo wa kina Makonda?CHAWA n wewe ambae unafata mikumbo.
Wewe mbona unafuata mkumbo wa kina Makonda?