Maria Sarungi: Kuna mpango wa kumkamata Heche na kumfungulia kesi ya uhaini

Bila Polisi CCM ni wepesi kuliko pamba
 
Kiburi hiki kinaletwa na sisi jamii kuto-focus kwenye mijadala hii ya kisiasa kwa faida ya nchi.
Wamegundua jamii haijali, hakuna reaction yeyote, media inajadili kutwa comeback ya Chama Jr, vichekesho vya akina Ndalo, Wema kufiwa na mbwa, au Nyeti za watu kutoweka.

Mwaka 2014, Kikwete alilazimishwa na presha ya media, wanaharakati na Wananchi kukubali mchakato wa katiba ufanyike, yule mzee pamoja na kwamba alikuwa na hekima sana, lakini ilibidi akubaliane nao kwa sababu jamii ya kipindi kile ilikuwa serious.

Mimi naamini kama jamii ikirudisha focus walau iliyotumika kupinga DP World, huyu msajiri asingefika huku
 
Very very dangerous! Hawa watu hawako tayari kuachia nchi na tishio lao kubwa ni CHADEMA😩
Wamekwishamwaga damu; njia pekee ya kuwaondoa ni kumwaga damu; hilo pekee ndilo wanalosubiri sasa hivi.

Samia kamwe hawezi kuachia madaraka bila ya damu kumwagika tena. Amekwishahitimisha hivyo.
 
Kwahao mashahidi vilaza, labda muwaandikie majaji hukumu, maana ndio kinachofanyika sasa.
Jitihada znazofanyika sasa kuidhibiti CHADEMA lengo lake kuu ni kulinda Samia afike 2030; hakuna zaidi ya hapo.
 
Ila siasa jamani Eti "We can't afford ukamatwe, Wananchi wote lazima tumlinde" 😁

Mtu yuko Kenya, Atamlindaje Heche.
Kwa sababu wewe ni mjinga bombocha usijue kuwa the world is now globalized, it's in the fingertips

A person can conduct operations in Tanzania while he/she's in Alaska or Solomon Islands achilia mbali hapa sebuleni Kenya

So don't be stupid, you scumbag shallow thinker🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️
 

🚮

Huna hoja unajaza matusi.
 
“Wakati nakuja hapa nimepigiwa simu na Mdogo wake Lissu aitwaye Vicent ameniambia tangu jana jioni Mwenyekiti wetu anaumwa sana Tumbo, Tumbo linamkata haarishi lakini ana maumivu makali sana tumesema tena na tena na tena Lissu akipata shida haitaeleweka Nchi hii”; Mhe @HecheJohn
 
Hivi Lissu , Heche na the likes wakikiri kua na hatia huyu mbwa atakua na kifua kikubwa cha kuwanyonga kweli maana wanachofanya ni delaying tactics
Simple. Wanawekwa ndani kusubiri hukumu. Akitoka madarakani anayefuata naye atawaacha tu au kutoa msamaha
 
Simple. Wanawekwa ndani kusubiri hukumu. Akitoka madarakani anayefuata naye atawaacha tu au kutoa msamaha
Wakikaa ndani wewe itakuongezea debe la unga ndani au utaendelea na shida zako.
 
Wakikaa ndani wewe itakuongezea debe la unga ndani au utaendelea na shida zako.
Kuna mtu kauliza kina Lissu wakikubali itakuwaje?
Ndo nikamjibu.
Wakae ndani watolewe hawana watakachobali ktk maisha yangu. Kwan we waonaje
 
Very very dangerous! Hawa watu hawako tayari kuachia nchi na tishio lao kubwa ni CHADEMA😩
Wakati msajili anailima barua Kila siku chadema. Ccm kwa zaidi ya miaka 30 haijawahi kupewa hata karipio na ofisi yake.
Maridhiano bila Tundu lisu? Thunutu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…