Maria Sarungi: Kuna mpango wa kumkamata Heche na kumfungulia kesi ya uhaini

watajijua wenyewe tulishawambia waitishe maandamano makubwa hawasikii
 
We nguchiro umejificha huko Kenya eti tumlinde, wakitaka watamkamata muda wowote hizo porojo zako hazitazuia kitu, mlimdanganya Lissu leo anateseka mwenyewe wapuuzi km ww mmekimbia mkila pesa za wazungu. Tunajua wazungu wanawatumia kurudi kuzisambaratisha nchi za Afrika km kina Sudan ambayo sahivi wameitelekeza wazalendo hatutakubali. Heche anatumika na wazungu ni kibaraka akipita mstari mwekundu atamalizwa mchana mweupe! Kwanza Heche siyo mtanzania ni mkenya
 
Very very dangerous! Hawa watu hawako tayari kuachia nchi na tishio lao kubwa ni CHADEMA😩
We tumia akili nchi haiwezi kuachwa kwa mambwa km Heche mnajidanganya sana! Samia mwenyewe alifanya makosa na ndiyo yanamsumbua na ni tatizo la mwanamke Magufuli alishamaliza kazi hao vibaraka Lissu, Heche, Lema walishakimbia nchi, sasa wacha wamhangaishe ila wahuni hao watamalizwa moja moja. Siku akiingia mwanaume hakuna kima atawika
 
Maria Sarungi mumlinde wote!
 
Kesi ya uhaini wa Heche itakuwa nyepesi sana


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…