Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hao wanajidhania ni makada wa ccm tutajua uhalisia wao maana kwa kadri jpm anavyozidi kuminya fursa za kifisadi, watatoka shimoni tu,Ni mtoto wa mzee sarungi..na yupo kwenye miss universe na anamiliki kampuni ya media.
Pia ni mdau msuri kwenye twitter akiwa na followers wengi . Hutumia muda mwingi kuwavuta watu kwenye slogan ya change lakini no pro ccm. Ni kada wa ccm wa kutupwa ....lakini hajitokezi hadharani.
yupo prof.Martin sarungi,Dr.Emoke sarungi,Dr.Veronica sarungi na Maria Sarungi.Prof.Martin yuposcotland,Dr.Emoke yupo sweden,Dr.Veronica na Maria wapo dar.Maria ameolewa na muethiopia Tshei.NAFIKIRI UMENIELEWA VYEMA.
Wewe unamjua Sarungi kama Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, sisi tunamjua kama Daktari Bingwa wa Mifupa na Waziri wa Afya enzi za Ben Mkapa, upo?Mtoto wa Philemon Sarungi aliyekua mkuu wa mkoa Kilimanjaro enzi hizo
Hana u-smart wowote, rangi yake tu na jina la baba yake ndo linambeba, ni kama tu walivyo akina January Makamba, Nape Nnauye na Hussein Mwinyi!She is very smart, understanding and friendly. I don't know much about her professional life history but her first impression to me was that.
Hana u-smart wowote, rangi yake tu na jina la baba yake ndo linambeba, ni kama tu walivyo akina January Makamba, Nape Nnauye na Hussein Mwinyi![
Acha kuparamia kitu usicho ambacho hujakifanyia utafiti wa kutosha mkuu...Maria habebwi hna jina la baba yake,bali anajibeba mwenyewe...Wewe unayesema hayo ndo ULIBEBWA NA BADO UNABEBWA Mkuu.Bahati nzuri mm ninakufahamu vizuri sana na namna ulivyo bebwa.Naomba nikuulize mkuu.Hivi yule wzr wa jk ambaye alikuwa akipewa burudani na mama mdogo wako hakukubeba mkuu?.Je,ulipo fanya interview pale....na ukashika nafasi ya 41 huku nafasi zikiwa 17 tu,Ni nani alikupigia debe hadi ukaajiriwa huku ukiwa ni kilaza mkuu?.Jibu ili nikuuumbue mkuu!
Duh.hilo jibu atakuwa nalo yeye.Kwa nini handing saloon???
Goli la mkonoMbona hafanani na philemon?
....balehe changa inakusumbua wewe,......
Mama yake ni mzungu,Mbona hafanani na philemon?
Goli la mkono
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Alivyotoa majibu ya kale kautafiti kake uchwara by Twaweza aliambulia matusi Twitter adi alipaona pachungu
M mwenyewe nilishiriki