Maria Sarungi ni nani?

Maria Sarungi ni nani?

Ni mtoto wa mzee sarungi..na yupo kwenye miss universe na anamiliki kampuni ya media.
Pia ni mdau msuri kwenye twitter akiwa na followers wengi . Hutumia muda mwingi kuwavuta watu kwenye slogan ya change lakini no pro ccm. Ni kada wa ccm wa kutupwa ....lakini hajitokezi hadharani.
hao wanajidhania ni makada wa ccm tutajua uhalisia wao maana kwa kadri jpm anavyozidi kuminya fursa za kifisadi, watatoka shimoni tu,
 
yupo prof.Martin sarungi,Dr.Emoke sarungi,Dr.Veronica sarungi na Maria Sarungi.Prof.Martin yuposcotland,Dr.Emoke yupo sweden,Dr.Veronica na Maria wapo dar.Maria ameolewa na muethiopia Tshei.NAFIKIRI UMENIELEWA VYEMA.

Nashukuru sana.
Inapendeza familia kama hii hata wa kumuagiza maji mwenzie hayupo wote wakali. Sio familia inakuwa na mateja kibaoo
 
She is very smart, understanding and friendly. I don't know much about her professional life history but her first impression to me was that.
Hana u-smart wowote, rangi yake tu na jina la baba yake ndo linambeba, ni kama tu walivyo akina January Makamba, Nape Nnauye na Hussein Mwinyi!
 
Hana u-smart wowote, rangi yake tu na jina la baba yake ndo linambeba, ni kama tu walivyo akina January Makamba, Nape Nnauye na Hussein Mwinyi![
Acha kuparamia kitu usicho ambacho hujakifanyia utafiti wa kutosha mkuu...Maria habebwi hna jina la baba yake,bali anajibeba mwenyewe...Wewe unayesema hayo ndo ULIBEBWA NA BADO UNABEBWA Mkuu.Bahati nzuri mm ninakufahamu vizuri sana na namna ulivyo bebwa.Naomba nikuulize mkuu.Hivi yule wzr wa jk ambaye alikuwa akipewa burudani na mama mdogo wako hakukubeba mkuu?.Je,ulipo fanya interview pale....na ukashika nafasi ya 41 huku nafasi zikiwa 17 tu,Ni nani alikupigia debe hadi ukaajiriwa huku ukiwa ni kilaza mkuu?.Jibu ili nikuuumbue mkuu!
 
Rorya moja hiyo,chezea wana-rorya ww.

Yupo poa sana, JABER NYAR RORYA.
 
DDlfg0PWAAI2DzU.jpg
 
Back
Top Bottom