Maria Sarungi: Wana option 4 mezani kwao ila sio ya kunyonga.

Tunajua kosa la uhaini ni kunyongwa hii ndiyo hukumu iliyo ainishwa ktk makosa ya jinai kifungu cha 39. Hakuna kujibalaguza kuwa kuna kiungo cha miezi,miaka wala maisha.

Tunasubiri kuona mnavyomnyonga.
sasa ikiwa mnajua ni kunyongwa,
kulikoni kubabaika na porojo za huyo mbibi wenu mwenyewe mashavu na kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi?

hamuoni kama changamoto ya kubebwa ufala wa kifikra na vibaraka useless kama huyo mbibi inaongezeka zaidi miongoni mwenu kama wafuata mkumbo?πŸ’
 
Ndugu wafuata mkumbo,
nadhani hakuna haja ya kubabaika sana na porojo pamoja na kamba za huyo kibaraka mashavu wa mabwenyenye ya magharibi na itapendeza zaidi πŸ’
Acha porojo jibu hoja imeambiwa "mkumbushe Katuga aliyeomba mahakama ione kubwa hukumu ya uhaini siyo kunyonywa pekee" Wewe unaanza maneno ya kitoto.

Msisitizo wa sheria ya uhaini uko kifungu cha 39, Lissu hataki huruma
 
Kwani Katuga ndie anaetoa hukumu gentleman? Au ni huyo mbibi wenu kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, anaewahadaa na kuwabeba ufala wa kifikra kama mazuzu?

hukumu hutolewa kwa mujibu wa sheria na sio porojo na kamba mnazopigana kindezi ndezi tu humu jukwaani πŸ’
 
Hakuna anayebabaika na hoja ya Maria bali Maria ametoa mtazamo wake na ni haki yake kama anavyoona tathmini mwenendo wa kesi toka mwanzo hadi sasa na vitimbwi vyake.
 
Hakuna anayebabaika na hoja ya Maria bali Maria ametoa mtazamo wake na ni haki yake kama anavyoona tathmini mwenendo wa kesi toka mwanzo hadi sasa na vitimbwi vyake.
sasa kulikoni umeng'ang'ana jukwaani ikiwa hubabaiki na hizo porojo useless za huyo mbibi kibaraka?

si ukae kimya tu na itapendeza zaidi kuliko kumbwelambwela vitu useless jukwaani kwa kitu ambacho ni jukumu la majaji wa mahakama huru ya Tanzania, gentleman?πŸ’
 
Kwa hiyo leo Katuga unaona mtoa maboko kwa maneno aliyoyasema nje ya kifungu cha 39, Kwa kuwa ni wakili wa serikali ni wazi kuwa haya ya kupindisha sheria ni matakwa ya serikali
 
Kama ambavyo wewe haujakaa kimya na ni haki yako kutoa maoni ndiyo hata mimi ilivyo haki yangu kutoa maoni juu ya hoja yoyote
 
Kwa hiyo leo Katuga unaona mtoa niko kwa maneno aliyoyasema nje ya kifungu cha 39, Kwa kuwa ni wakili wa serikali ni wazi kuwa haya ya kupindisha sheria ni matakwa ya serikali
Gentleman,
Ni vizuri kuelewa kwamba jukumu la la kutoa hukumu ni la majaji wanaosikiliza kesi husika hata kama kuna miongoni mwa mawakili wanamuonea huruma mshtakiwa kwa kuonyesha dalili za kukata tamaa au kuchanganyikiwa πŸ’
 
Kama ambavyo wewe haujakaa kimya na ni haki yako kutoa maoni ndiyo hata mimi ilivyo haki yangu kutoa maoni juu ya hoja yoyote
Ni vizuri kutoa maoni ya maana ili hatimae kuongeza uelewa na ufahamu wa wadau wa Jf na sio kupotosha wadau wa Jf kwa porojo useless kama za huyo mbibi kibaraka.

waambie na wenzako kuhusu hili bila kificho πŸ’
 
Ningekutana na Mzee Mrisho ningemuuliza...

Hivi Mzee, nguvu zoooote hizi na damu na sadness kwenye jamii, polisi ndio wana run the country ( mgogoro wa LATRA na mabasi waziri wa mambo ya ndani ndio kaja - kasema katumwa na utawala wa nchi - kaja kuwafunika waziri wa uchukuzi na wa biashara na wa TRA ) nguvu zoooote hizi ili tu kina Ridhiwani waje wawarithi, kweli watoto wenu mnawatengenezea mazngira ya kutawala kwa mbinde mbinde na kimabavu, na wao pia itabidi waje wamwage damu, hivi siku haupo halafu huyo Rais Ridhiwani ikatokea akapigwa tanchi kama kina Samuel Doe na Ghaddafi wakafia wanaburuzwa uchi barabarani sijui kakatwa mapumbu, utajisikiaje ukimchungulia ukiwa kaburini ???? Ndio mazingira mnayoyajengea watoto wenu hayo kweli ???????
 
changamoto ni kwamba wanasiasa ndio wanaoamua, na sio Sheria. wale majagi wapo tu pale kama mabendera (ikiwa wataendelea kukubali kutumika)

vuguvugu la free Tundu Lissu na Katiba Mpya, liongezewe nguvu
 
Gentleman,
Ni vizuri kuelewa kwamba jukumu la la kutoa hukumu ni la majaji wanaosikiliza kesi husika hata kama kuna miongoni mwa mawakili wanamuonea huruma mshtakiwa kwa kuonyesha dalili za kukata tamaa au kuchanganyikiwa πŸ’
Mbona unachekesha kwa hiyo wakili Katuga ndiye namwonea huruma Lissu, huyohuyo aliyemfungulia mashitaka ndiye amwonee huruma tena, Acha kutoa porojo za utoto kabisa

Katuga wenu anaiambia mahakama ione adhabu nyingine. tafsiri ni kwamba baada ya ushahidi anaona hautoshi kutengeneza uhaini ndiyo maana walau anaona basi hata afungwe kwa kosa ambalo hakushtakiwa kwalo, (liokotezwe)
 
Tanzania ya sasa anything is possible.

Wanaweza kutoa hukumu yeyote wakijua kuwa atakata rufaa. Wanachokifanya na ambacho wamekuwa wanakifanya kwa huu mwaka moja na nusu ni ucheleweshaji tu.

Wao kupanga hukumu tarehe 6 November ni mkakati kwa ajili ya kusoma upepo kwa kile kitakachotokea MO29 ya 2026. Kama itakwenda kwa mahesabu yao wanaweza kumpa hukumu yeyote ile.
 
Ni vizuri kutoa maoni ya maana ili hatimae kuongeza uelewa na ufahamu wa wadau wa Jf na sio kupotosha wadau wa Jf kwa porojo useless kama za huyo mbibi kibaraka.

waambie na wenzako kuhusu hili bila kificho πŸ’
Labda wewe ndiye unayejipotosha maana humu ni jukwaa la kuchambua hoja kwa kutumia akili yako binafsi na sikulishwa kama Makinda, hivyo ukijipotosha ni wewe na akili yako
 
Huo ndio ulikuwa mpango tangu mapema sana.
 
Labda wewe ndiye unayejipotosha maana humu ni jukwaa la kuchambua hoja kwa kutumia akili yako binafsi na sikulishwa kama Makinda, hivyo ukijipotosha ni wewe na akili yako
binafsi,
siwezi kubabaika na porojo au upotoshaji wa watu useless kama huyo kibaraka gentleman.

daima naeleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu na kumove on πŸ’
 
sifahamu,
ila kilicho wazi na cha maana zaidi,
ni hukumu kutolewa kwa mujibu wa sheria na majaji husika bila kujali porojo za huyo mbibi kibaraka anaewahadaa na kuwabeba ufala wa kifikra kirahisi tu nanyi mnaingia kingi kirahisi tu πŸ’
 
Kwa mujibu wa Sheria gani?
Maana aina ya kosa aliloshitakiwa nalo lina huku mbili tu, either huru au kunyongwa hadi kufa.
Hakuna condition yeyote nje ya hizo. Hakuna cha uhaini mdogo wala uchochezi.
Hukumu haiwezi Kuwa ya jinai ambayo haipo kwenye charge sheet.Hapo uamuzi ni ana hatia ya uhaini au hana hatia ya uhaini.Uchochezi utatoka wapi?Yaani kunishtaki kwa ubakaji halafu unitie hatiani kwa wizi! Ulisikia wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…