Socrate2024
Member
- Sep 10, 2024
- 53
- 71
….Option 5 - watoe hukumu kwamba hana hatia, hivyo aachiwe huru.Baada ya kesi kukamilika kimama kimeshauriwa amwachie Lissu maana imeshakuwa aibu HATAKI!
Wamepanga lazima wamkute na hatia.
Option 1 - Wamhukumu uhaini mdogo (whtever this means) jela miezi 6 na faini kama Katuga alivyosema - hii imeshaanza kueleweka na kupingwa vikali.
Option 2 - Ahukumiwe kifungo cha maisha halafu akate rufaa aachiwe ila rufaa wataichelewesha hadi kimama kitoke au kife whichever comes first.
Option 3 - Wamhukumu kifungo cha maisha au miaka mingi alafu kimama kitoe msamaha.
Option 4 - Wamkute na hatia ya uchochezi ila watampa kifungo cha kutumikia nyumbani (house arrest).
Bora kuwa mfuasi wa hao watu kuliko kuwa mfuasi wa CCMDalili ya mtu asiyejitambua ni kuwa mfuasi wa wanaharakati oya oya kama
1. Hilda na
2. Maria sarungi
Hiyo option hawana na mama haitaki.….Option 5 - watoe hukumu kwamba hana hatia, hivyo aachiwe huru.
Kuna makundi mawili leo, kwa thread hii. Wanyonya damu na watetezi wa haki.Unajihusisha na kupiga ramli?
Option 4 ipoje kisheria, ukitilia maanani Kesi ilikuwa ni ya uhainiBaada ya kesi kukamilika kimama kimeshauriwa amwachie Lissu maana imeshakuwa aibu HATAKI!
Wamepanga lazima wamkute na hatia.
Option 1 - Wamhukumu uhaini mdogo (whtever this means) jela miezi 6 na faini kama Katuga alivyosema - hii imeshaanza kueleweka na kupingwa vikali.
Option 2 - Ahukumiwe kifungo cha maisha halafu akate rufaa aachiwe ila rufaa wataichelewesha hadi kimama kitoke au kife whichever comes first.
Option 3 - Wamhukumu kifungo cha maisha au miaka mingi alafu kimama kitoe msamaha.
Option 4 - Wamkute na hatia ya uchochezi ila watampa kifungo cha kutumikia nyumbani (house arrest).
Upeo wako no kichocheo.Unajihusisha na kupiga ramli?
Jifunze kuandika.Upeo wako no kichocheo.
Hakuna kwenye ubora. Wote ni mataahira.Bora kuwa mfuasi wa hao watu kuliko kuwa mfuasi wa CCM
Dalili nyingine ya ukichaa ni kuwa na imani kama yako.Maria Sarungi ana akili nyingi kuliko ukoo wenu wote.
Lissu atakata rufaa... Na aibu yao itazidi kuwa kubwa zaidi!Baada ya kesi kukamilika kimama kimeshauriwa amwachie Lissu maana imeshakuwa aibu HATAKI!
Wamepanga lazima wamkute na hatia.
Option 1 - Wamhukumu uhaini mdogo (whtever this means) jela miezi 6 na faini kama Katuga alivyosema - hii imeshaanza kueleweka na kupingwa vikali.
Option 2 - Ahukumiwe kifungo cha maisha halafu akate rufaa aachiwe ila rufaa wataichelewesha hadi kimama kitoke au kife whichever comes first.
Option 3 - Wamhukumu kifungo cha maisha au miaka mingi alafu kimama kitoe msamaha.
Option 4 - Wamkute na hatia ya uchochezi ila watampa kifungo cha kutumikia nyumbani (house arrest).
Tuseme haki ya kweli inapatikana ahera.muhaini anaesota korokoroni atahukumiwa kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi na sio kulingana na porojo za kibaraka mwenzake wa mabwenyenye ya magharibi 🐒
kwa maoni yako inaweza kua sawa gentlemanTuseme haki ya kweli inapatikana ahera.
Ubora upo Mkuu, itikadi ya CCM hii hapana aiseeHakuna kwenye ubora. Wote ni mataahira.
SawaAchana na Maria,Hilder humfikii hata kwa chembe
Nataka wamnyonge hadi afe nchi ichangamke kidogoBaada ya kesi kukamilika kimama kimeshauriwa amwachie Lissu maana imeshakuwa aibu HATAKI!
Wamepanga lazima wamkute na hatia.
Option 1 - Wamhukumu uhaini mdogo (whtever this means) jela miezi 6 na faini kama Katuga alivyosema - hii imeshaanza kueleweka na kupingwa vikali.
Option 2 - Ahukumiwe kifungo cha maisha halafu akate rufaa aachiwe ila rufaa wataichelewesha hadi kimama kitoke au kife whichever comes first.
Option 3 - Wamhukumu kifungo cha maisha au miaka mingi alafu kimama kitoe msamaha.
Option 4 - Wamkute na hatia ya uchochezi ila watampa kifungo cha kutumikia nyumbani (house arrest).
Kuna wakati Hilda na Maria walikuwa kwenye form nzuri.Ubora upo Mkuu, itikadi ya CCM hii hapana aisee