Maria Surungi: Deo Ndejembi ni Mzanzibari, Muislamu, pia ana uraia wa Uingereza

Kwa hivyo maria Sarungi yeye ni raia wa Hungary? Kwani hiyo ndiyo asili ya mama yake
 
Ndugu mmoja akasema ,kuna watu wanautamani Urais ila hakuna hata mmoja, swali yeye ni Mungu ? Twende tu .

Wenda kwa imani yangu kuna watu walisha andaa mpaka na suti , maana unapigiwa simu jiandae ,au ulikua mnafiki then inakuja tofauti ,hatari sana , kuna wenda wako hoi
 
Kama maisha yangu ni mazuri kukuzidi maana yake wewe ndio mpumbavu umeshindwa kushinda changamoto zako kimaisha halafu unakuja kufa huku hukufurahia maisha yako.
Binadamu mwenye akili ni yule aleweza kuisha bora, sasa wewe unaganga njaa akili utaitoa wapi ya kunizidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…