Maridhiano ya CHADEMA na CCM ni batili kwakuwa sio jumuishi

Umeshasema Maridhiano ni ya CHADEMA na CCM then unasema sio JUMUISHI
Alitaka wanachama wote wa CCM na CHADEMA wasafirishwe kutoka popote walipo halafu wakusanywe sehemu moja ili wafanye maridhiano.
Masikini huyu aliyejengwa na kuaminishwa kuwa umasikini ndiyo sifa kuu ya utanzania na uzalendo kwa nchi hata hajui maaana ya kuwepo kwa viongozi wala Kamati Kuu za Vyama
 
Tanzania ni taifa ambalo msingi wake mkuu ni umoja wa kitaifa. Amani, utulivu na usalama wa hali ya juu unatokana na umoja wetu. Hivyo, kimkakati lazima uzibe hata upenyo mdogo unaoweza kutikisa umoja wa kitaifa.

Pili, ni muhimu wanasiasa waaminiane. Waliokuwa wakitumiwa na maadui wa nje lazima waache wajue nchi hii ni yetu sote. Kwa hiyo juhudi hizi za kukaa pamoja ni muhimu kuendeleza Tunu za Taifa. Anayepinga ni adui wa taifa. #SISI NI TAIFA MOJA. 🙏🙏🙏
 
Unwazo zuri ila linatakiwa lirekebishwe kidogo, maridhiano Sio batili ila ingependeza kwa kuwa ni maridhiano ya taasisi mbili zingewekwa wazi kwa wanachama wake ili wote wajue mwelekeo wao na kauli ya kulamba asali ndo itakapo isha hapo
 
Kuna wanachama katika vyama hivi viwili takriban milioni kumi na tatu Ulitaka mshirikishweje wote zaidi ya wawakilishi wenu kwenye vikao vya kamati kuu?
Wewe sio hata mjumbe wa shina maoni yako hayana umuhimu wowote
 
Kinacho takiwa ni taarifa ya walio kubaliana
 
Hahahahaha Mpwa huna akili hahahaha sio kwa kunivunja mbavu hivi. Samia anawapa sonona CCM
 
Ila wee jamaa 🤣🤣🤣!! Kilichopo kweny maridhiano au kilichopelekea kuwepo maridhiano mbona wote wamekizungumza jana? In short maridhiano ni kuweka sawa mamb ya hovyo waliyofanyiwa upinzani awamu ya tano!! Kama Taifa hatujawah kua na siasa chafu kama zile mpaka kubaguana kisa mmetofautiana kiitikadi za vyama!! Huo ndio ukweriii ingawa unauma but that's the way it is!!
 
Huu ni utopolo mtupu.
Jinga waliwao.
 
Sukuma gang kazini
 
Biblics

Esta 4:14-17Biblia Habari Njema (BHN)​

14. Ukikaa kimya wakati kama huu, msaada utawajia Wayahudi kutoka mahali pengine, nao wataokolewa; lakini wewe utakufa, na jamaa ya baba yako itaangamia. Ni nani ajuaye pengine umefanywa malkia kwa ajili ya wakati kama huu!”
15. Esta alimpelekea Mordekai jibu hili:
16. “Nenda ukawakusanye pamoja Wayahudi wote waliopo mjini Susa. Fungeni, msile wala msinywe kwa siku tatu, usiku na mchana, kwa ajili yangu. Na mimi na watumwa wa kike wangu tutafanya vivyo hivyo. Kisha, nitamwendea mfalme, ingawa ni kinyume cha sheria. Kama ni kuuawa, na niuawe.”
17. Basi, Mordekai akaenda zake na kufanya kama Esta alivyomwambia.
 
Una maana hizi ngonjera zenu?

Zingatia:

Awamu za zama za giza hazipo tena.
 
we una nini hadi ushirikishwe poyoyo tu, wakubwa wamekaa wameamua kwa niaba yako we ni nani chawa wa mwendazake mfyuuu.

toa njia bora ya kuwashirikisha bila gharama kama hyo jeuri unayo.

shetani alishatwaliwa kwishney
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…