Maridhiano ya CHADEMA na CCM ni batili kwakuwa sio jumuishi

Naomba Mungu kila siku muache tabia yenu ya wizi.
t
Kwakua mkiacha kuliibia Taifa hili ndio siku wananchi wa kawaida watanufaika na Rasilimali zao.

Kila jambo linaa mwisho wake hata wizi wenu nao una mwisho.

Mtakufa naa kuacha fedha zotee mlizoiba itakua ni sawa na kaazibure...t

Mtaiiba sana illa kila kitu mtakiachaa hapa.
 
NENDA MAGEREZA KASHTAKI JE MATESO WALIOPITIA VIONGONI NA WAFUASI WA CHADEMA WANANCHI WALUSHIRIKISHWA?
Ndio maana mnawatukana na kuwadharau? Kwa sababu hawakuja magereza kuwapa pole? Kwa sababu hawakuja hospitali nairobi na ubeligiji?
Kwanini washirikishwe? Wao ndio wanayotaka Dola au wanataka Maisha Bora?
 
Kwani wakati wengine wanapigwa pingu, risasi, na kuswekwa lupango na kukimbia nchi ninyi si mlikua busy mnafanya sherehe za kupokea waliounga mkono juhudi?
Ndii mumtume Lema kuja kutukana? Mkiambiwa mnafanya siasa za Visasi mnakataa. Sasa hao waliojitengenezea mazingira hayo wanahaha nini. Wananchi wameshawashitukia. Ni walaghai.
Si ndiyo yalikua 'maridhiano' yenu hayo? Mlimjumuisha nani?
Hakuna nchi yeyote Duniani unaweza kuleta za kuleta ukaachiwa.
 
Dah! Misukule ya Mwendazake mnapata shida...
Mbona bado sana
Aliyeleta hayo ni wewe. Watu wamejikita kwenye hadaa ya Maridhiano, wewe unakuja kumtaja Hayati? Huoni wewe ndio bado una Shida! Unahuzunika nini sasa?
 
Pole "taga".
Enzi za kutumia nguvu zimepita kitambo baada ya "baba wa uongo" kupelekwa kuongoza "malaika wa uongo".
 
Machadema ya kawaida yanaumia kimoyomoyo,
Ila viongozi wa juu wanaramba asali eti ili kufuta machungu ya awamu ya tano
 
Hata mh Rais amesema kuna watu hata wa chama chake hawajapenda kinachoendelea kwa sababu ni maconservative lakini tumuombe mama asonge mbele pasipo kujali makelele ya hayo mazimwi manywa damu .Wanapenda ile hali ya kisiasa ya kipindi cha miaka ya mwendazake ingeendelea ili kulinda vyeo vyao.Mtafute nchi yenu watu wa ovyo sana nyie
 
Naona Kuna Mabango mengi katikati ya Jiji la Dodoma lililonistua zaidi ni lile la Mama ni Mpatanishi halafu kuna picha ya Mama na Mh. Mwenyekiti
 
Wakati wanaharibu mashamba ya Mbowe na kumlima risasi Lissu , waliomba maoni ya wananchi?. Mnashangaza Sana, wakati CHADEMA wanaateswa mlichekelea na kudhihaki leo wanajaribu kusamehe yaliyotokea , mmeanza kuwalaumu. Wanafiki wakubwa.
 
Mkuu kwanini kila anayehoji maridhiano yenu mnadhani ni mshabiki wa CCM ?

Ni unafiki sio kuhoji. Wakati CHADEMA wanapigwa vita na yule ibilisi mbona hawakuhoji wakawa wanafurahia mateso ya CHADEMA? iweje Leo CHADEMA Wana move on ndio waanze kuhoji? Waache unafiki
 
Ni unafiki sio kuhoji. Wakati CHADEMA wanapigwa vita na yule ibilisi mbona hawakuhoji wakawa wanafurahia mateso ya CHADEMA? iweje Leo CHADEMA Wana move on ndio waanze kuhoji? Waache unafiki
Je hayo maridhiano nani atafaidika zaidi umewahi kujiuliza Hilo swali?
 
Je hayo maridhiano nani atafaidika zaidi umewahi kujiuliza Hilo swali?

Mimi Kama mwanchama nimefaidika, kwa Sasa naweza kufanya mikutano ya kisiasa na kueneza sera ya chama changu bila wasiwasi.
 

Hivi CCM ya Samiah na CCM ya Magufuli ipi ilikuwa asilia. CCM ya Magufuli ilijaza mamluki akina polepole, Prof kabudi, Dr Bashiru nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…