Wanaridhiana kitu gani? Aliyesema pana uhitaji kwa kuridhishana ni nani? Nani ananufaika katika kuridhishana kwao, wanasiasa au wananchi? Je kwanini katika vyama lukuki vya siasa nchini wanaoridhishana ni CCM na CHADEMA tu? Upuuzi mtupu
Mateso gani? Kutakua na kuridhiana na makundi yote yanayopitia mateso au chadema tu? Kwamfano wakulima wanapitia mateso, wataridhiana lini? Machinga wanapitia mateso, wataenda kuridhiana nao lini?
Tumepigwa
Naomba Mungu kila siku muache tabia yenu ya wizi.
t
Kwakua mkiacha kuliibia Taifa hili ndio siku wananchi wa kawaida watanufaika na Rasilimali zao.
Kila jambo linaa mwisho wake hata wizi wenu nao una mwisho.
Mtakufa naa kuacha fedha zotee mlizoiba itakua ni sawa na kaazibure...t
Mtaiiba sana illa kila kitu mtakiachaa hapa.
Ndii mumtume Lema kuja kutukana? Mkiambiwa mnafanya siasa za Visasi mnakataa. Sasa hao waliojitengenezea mazingira hayo wanahaha nini. Wananchi wameshawashitukia. Ni walaghai.
Hakuna nchi yeyote Duniani unaweza kuleta za kuleta ukaachiwa.
Ndii mumtume Lema kuja kutukana? Mkiambiwa mnafanya siasa za Visasi mnakataa. Sasa hao waliojitengenezea mazingira hayo wanahaha nini. Wananchi wameshawashitukia. Ni walaghai.
Hakuna nchi yeyote Duniani unaweza kuleta za kuleta ukaachiwa.
Ndii mumtume Lema kuja kutukana? Mkiambiwa mnafanya siasa za Visasi mnakataa. Sasa hao waliojitengenezea mazingira hayo wanahaha nini. Wananchi wameshawashitukia. Ni walaghai.
Hakuna nchi yeyote Duniani unaweza kuleta za kuleta ukaachiwa.
Machadema ya kawaida yanaumia kimoyomoyo,
Ila viongozi wa juu wanaramba asali eti ili kufuta machungu ya awamu ya tano
Kina nani sasa?
wa Kinyata.Uhuru wa nini mkuu?
Yatashunghulikiwa lini? Kipi chenye umuhimu zaidi kati ya wanasiasa na wananchi kwa ujumla?Maridhiano yana apply kwenye siasa sio shughuli za uchumi. Hao wakulima na machinga matatizo yao yatashughulikiwa kwenye bajeti.
CCM na CHADEMA wanaridhiana nini walichokoseana?Maridhiano ni Kati ya CHADEMA na CCM Kama vyama vingine vinataka maridhiano viende viombe mazungumzo.
Anayelaumiwa ni Jiwe na anaendelea kulaaniwa ila ccm na chadema ndio wanafanya maridhiano.CCM na CHADEMA wanaridhiana nini walichokoseana?
Then ukishapewa taarifa ndiyo ufanye kitu gani? Kwa kuwa hakuna unachoweza kubadilisha hivyo kupewa au kutokupewa taarifa siyo issue, hivi haijiulizi kwanini vyama vingine havihusishwi? Umuhimu wao ni zero yaani hauna impact yoyote kama umuhimu wa wewe kupata hizo dondoo za maridhiano usivyo na impact yoyote.Kinacho takiwa ni taarifa ya walio kubaliana
Yaani I mean wasioyapenda maridhiano hayo mostly ni walinda "ligasi" wa lile shetani la ChatoAliyeleta hayo ni wewe. Watu wamejikita kwenye hadaa ya Maridhiano, wewe unakuja kumtaja Hayati? Huoni wewe ndio bado una Shida! Unahuzunika nini sasa?
Huo mtazamo wako unatokana na kutokuamini katika kutofautiana mawazo ndio maana unafikiri kuwa chadema wote hawatofautiani mawazo kwamba wana mawazo sawa kwa kila jambo, na kama ni kweli ipo hivyo basi hatari sana.Yaani I mean wasioyapenda maridhiano hayo mostly ni walinda "ligasi" wa lile shetani la Chato
UNAJUA MAANA YA VIONGOZI?Kabla ya hicho kinachoitwa maridhiano hakuwahi kuwepo kwa hitaji hilo toka kwa wananchi.
Kama mwana ccm na mwananchi sikuwahi kusikia popote pale wananchi au wanachama wa ccm wakishinikiza kuwepo kwa maridhiano hayo.
Ni ajabu sana kwa viongozi wa CCM na Chadema kusimama na kusema kwamba kuna maridhiano wakati sisi wananchi hatufahamu hayo maridhiano ni katika nini, kwa mambo yapi na kwa muda gani.
Hatukuwahi kuoneshwa kama wananchi hati za maridhiano zinasema nini.
Hivyo kuja na kutuambia kama kuna maridhiano ni jambo la kushangaza na kusikitisha mno kwakua tunaburuzwa tu bila kujua hatima yetu.
Mimi naomba viongozi wa vyama hivi viwili waitishe mikutano mikuu ya vyama vyao ili kutoa mwanya kwa wanachama kuyajadili na kuafiki hata kama hakutakuwa na uhuru katika maamuzi ila mchakato tu utaonesha dhamira ya wazi ya maridhiano kuwa shirikishi.
Othewise hao wamishindwana pia tutaambiwa maridhiano hayapo tena kama walivyotuambia yapo.
Wananchi na wanachama washirikishwe ni hilo tu.
MARIDHIANO YENU KINA NANI.Mkuu kwanini kila anayehoji maridhiano yenu mnadhani ni mshabiki wa CCM ?
Wewe nenda katafute hela ya kula na wanao kwani hata ukishirikishwa huna mchango wowote wa kutoa!Ni ajabu sana kwa viongozi wa CCM na Chadema kusimama na kusema kwamba kuna maridhiano wakati sisi wananchi hatufahamu hayo maridhiano ni katika nini, kwa mambo yapi na kwa muda gani.
Wewe mjinga kweli maana hata elimu ya kawaida kabisa ya uraia huna.Wewe nenda katafute hela ya kula na wanao kwani hata ukishirikishwa huna mchango wowote wa kutoa!