Marioo, utovu wa nidhamu ndio anguko lako

Acha kupangia watu namna ya kuishi we fa.la huyo simba ni nani kwenye hii nchi hadi kila msanii amsujudie?
Simba ndio baba wa bongofleva akikupa heshima nawe unapaswa kumuheshimu sio kuvimba....huyo dogo ataishia kupiganisha graph itaanza kwenda chini
 
Yeye anaemtuma Abba kwa babutale akamuombee msamaaa kwa Simba alafu anarudi media anavimba ndio anahara mtoto mdogo sana yule anahitaji kushikwa mkono afike mjini anapoenda sasa ni pagumu mno weken akiba ya maneno msimalize yote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Marioo kawakana kweupeee, hataki shobooo, yeye tayari ana fans wakee wa kushatooo tyuuh.

Hana cha kuhofia, ameshatoboaaa baaadiiii
 
Humu amna wafatiliaji mziki wapo wasikilizaji mostly, saw a clip Abbah ana regrets maneno ya marioo, that he shouldn't have said that. Marioo kafika peak of bongo flava, yani at this point ni kwenda international. But how??! With what support?? ( alikiba, harmonize, aslay, Mr Nice, juma nature and many others have failed). And worse ni kwamba as an artist you shouldn't create tension with media power houses kama u don't have enough fans to support you with funds, diamond kama amemind marioo sana. I believe he even cancelled all projects with him as well as supporting him completly from his label artists . We will see how it ends.??! Ila marioo carrier is at cross road.
 
Kila sentensi Ina "WOTE" Sasa nikuulize WOTE na nani mbona hayo mi sijui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…