Hata kabla ya iPhone kulikuwa na simu ambazo ni touch na nyingi zilikiwa na touch ya resisitive ila iPhone ilibadili game.Kabla ya Facebook kulikuwa na Myspace; Friendster; Second Life na nyingine nying tu; Whats App, Insta zote wamenunua....
Narudia tena Facebook wamebuni nini ? Ingawa this is neither here nor there..., Anyone can have ideas, Implementation is Key...
Mark alishakuwa developer myspace? hii sidhani kiongozi...Hata myspace alikuwa developer mkuu pale. Na meta wamefanya vitu kibao sana.
Anachoasema kuhusu apple ni kweli na watu walidhani labda vision pro itabadili upepo ila nayo imefail sokoni.
Lakini kitu kingine ambacho apple wamefanya miaka ya hivi karibuni ni kuitupa intel na kuanza kutumia inhouse processors ambazo ni arm based. Hii move imekuwa game changer kwa sababu imefanya comps kuwa more powerful huku hazichemki na zinatumia umeme kidogo.
Pia mark ana hasira na apple kwa kuzilima apps zake kufuli zisiwezi kumfuatilia user anapotoka kwenye apps zake.
Lakini bado alichosema ni kweli siku hizi upgrades za iphone ni ndogo sana kiasi kwamba hakuna anything exciting.
Kwenye suala la uvumbuzi huwezi linganisha Apple Inc na Meta.Hata kabla ya iPhone kulikuwa na simu ambazo ni touch na nyingi zilikiwa na touch ya resisitive ila iPhone ilibadili game.
Hivyo facebook japo kulikiwa na social medias bado ilibadili game kwa kuja na features na vitu ambavyo vilifanikiwa ku reasonate na watumiaji na ndiyo maana ikawa kubwa.
Sure, nimechanganya madesa.Mark alishakuwa developer myspace? hii sidhani kiongozi...
Apple kuanza kutumia M series chip ni moja ya hatua...
Nachoona ni majungu..
Hata kama vision pro haijauza kivile lakini still inaipita hio VR ya meta, katika hilo halina ubishi....
Bado tunarudi pale pale, hata yeye mark hajapinga kuwa hawajafanya vitu, ila kasema katika kipindi cha miaka ishirini ni kama vile wamestuck hawana uvumbuzi mwingine wa maana. Yani ni kama ilivyo intel kwa sasa inavyoburuzwa na makampuni mengine kwenye upande wa processors.Kwenye suala la uvumbuzi huwezi linganisha Apple Inc na Meta.
Apple wameanzisha trends za vitu vingi sana na phone/computer companies wakiwemo Samsung wanaigiliza...
Apple wameleta mapinduzi makubwa na kui shape 21st century...
Sasa yeye kuwasema wenzake, yeye ndani ya hio miaka 20 amefanya kipi?Bado tunarudi pale pale, hata yeye mark hajapinga kuwa hawajafanya vitu, ila kasema katika kipindi cha miaka ishirini ni kama vile wamestuck hawana uvumbuzi mwingine wa maana. Yani ni kama ilivyo intel kwa sasa inavyoburuzwa na makampuni mengine kwenye upande wa processors.
But intel kwa miaka mingi ilikuwa ndiye baba wa game. We are not talking about the past, we are talking about thepresent and future.
Hiyo kawaida kila mtu huwa anamsema mwenzake, kama steve jobs alivyokuwa anamsema billgates na billgates anamsema steve jobs that is the way it is.Sasa yeye kuwasema wenzake, yeye ndani ya hio miaka 20 amefanya kipi?
Hata idea ya facebook aliiba kwa wenzake waliitwa Winklevoss twins, akaiba source code katika project walimuajiri atengeneze mtandao ukiitwa HarvardConnection...
Hawachekani, japo Apple at least kajitahidi kuliko Meta.
It's not always how good you are unaweza kufanya marketing ya kufa mtu na back up kubwa ndio ukafanikiwa Facebook ameweza kuwa hapa alipo kwa kununua wapinzani au any good idea na nyingine kuziua, Kwahio any mediocre idea ikiwa na facebook behind it ni rahisi kufanikiwa kuliko great idea ikiwa na wadau wa kawaida.....Hata kabla ya iPhone kulikuwa na simu ambazo ni touch na nyingi zilikiwa na touch ya resisitive ila iPhone ilibadili game.
Hivyo facebook japo kulikiwa na social medias bado ilibadili game kwa kuja na features na vitu ambavyo vilifanikiwa ku reasonate na watumiaji na ndiyo maana ikawa kubwa.
Apple kupinga kutumia RCS feature ni kutokana na feature yenyewe kuwa kinyume na policy zao, Apple wana prioritize sana security, RCS kwa mujibu wa Apple ilikosa features za kiulinzi ambazo wao walihitaji iwe nazo.Hiyo kawaida kila mtu huwa anamsema mwenzake, kama steve jobs alivyokuwa anamsema billgates na billgates anamsema steve jobs that is the way it is.
La msingi alichokisema ni kweli kabisa. Apple alitengeneza this good product ambayo juu yake akatengeneza ecosystem ambayo alitaka kuifunga wengine wasiingie. Lakini bahati mbaya ni kwamba, sheria za Umoja wa Ulaya zimeanza kuondoa hiyo lock watu kibao watanza kutumia product za apple kama iPhone kutengeneza huduma sawa na za wkake au bora zaidi yake kutumika kwenye iPhone. Hapo inabidi achanganye akili sana.
Mfano alikuwa anapata faida sana kupitia appstore, now kutakwua na third party. Sasa melezimishwa aruhusu matumizi ya RCS kwenye simu zake, na mambo mengine tu.
On the other hand, meta nayo metaverse imefail vibaya mno wamechoma billions of dollars ila hawachekani na apple alichoma billions of dollars kutengeneza gari mwisho project kaitosa. Same to AI akaona mwisho wa siku bora achague kati ya Gemini au Chatgpt ndiyo aitumie kwenye products zake.
Makampuni yote ndivyo yalivyo yanaua competetion. Tunarudi kule kule, makampuni haya madogo bila wakati mwingine kununuliwa na makampuni makubwa yasingefika hapo yalipo. Facebook wakati inaanza Mark alikuwa a nobody ni silcon valley... yeye na wengine wamehangaika kupata investors but facebook made it and it is here where it is.It's not always how good you are unaweza kufanya marketing ya kufa mtu na back up kubwa ndio ukafanikiwa Facebook ameweza kuwa hapa alipo kwa kununua wapinzani au any good idea na nyingine kuziua, Kwahio any mediocre idea ikiwa na facebook behind it ni rahisi kufanikiwa kuliko great idea ikiwa na wadau wa kawaida.....
Ni kama Youtube bila Google isingekuwepo hapa ilipo leo au Mpesa bila Vodacom na Microsoft bila IBM....; In this habitat kuna so many happenstances ambazo zinaweza zikakupaisha au kukuua na ukiwa mkubwa sana hawachelewi kukuvunja kwa kizingizio cha Monopoly....
If I have seen further than others, is by standing on the shoulders of the Giants.....
It was not about security, it was about monopoly. Kwanza unachobidi ufahamu walikuwa wanauwezo wa kuimplement hiyo feature kwa kupitia servers zao wenyewe. Google alipoona hawataki ndipo akatoa option ya kuunda miundombinu kwa ajili yao. Lakini sasa imebidi walazimishwe kuijumuisha. Apple security huwa ni chaka lake la kuwa monopoly.Apple kupinga kutumia RCS feature ni kutokana na feature yenyewe kuwa kinyume na policy zao, Apple wana prioritize sana security, RCS kwa mujibu wa Apple ilikosa features za kiulinzi abazo wao walihitaji iwe nazo.
Na mimi kwa hilo nawaunga kono wana hoja na wasikilizwe, RCS haina end-to-end encryption....
Jamaa wapo makini na hawakurupuki, katika vitu Apple nawakubali huwa hawakurupuki, wana po introduce feature yeyote kwenye simu yao, basi ujue wamejiridhisha.
RCS b default haiji na end-to-end encryption....
Kampuni gani ya simu duniani imefanya exciting?Makampuni yote ndivyo yalivyo yanaua competetion. Tunarudi kule kule, makampuni haya madogo bila wakati mwingine kununuliwa na makampuni makubwa yasingefika hapo yalipo. Facebook wakati inaanza Mark alikuwa a nobody ni silcon valley... yeye na wengine wamehangaika kupata investors but facebook made it and it is here where it is.
Story ya Mpesa hiyo ni story ya kipekee sana tuache inahitaji mjadara wa kipekee.
Lakini bado nakubaliana na Mark kuwa kwa miaka mingi mimi kwangu ukiondoa apple kuhamia kwenye inhouse processors, kwa upande wa iPhone haijafanya anything exciting.
RCS haina tofauti kubwa na whatsapp, unaweza kutuma picha, media files n.k, ajabu ni kwamba haina end-to-end encryption... Hii inapelekea watoa huduma za simu kuweza kuona kila files zinazotumwa... hapo unasemaje Apple ni monopoly? kwanini huoni wana hoja yenye nguvu?It was not about security, it was about monopoly. Kwanza unachobidi ufahamu walikuwa wanauwezo wa kuimplement hiyo feature kwa kupitia servers zao wenyewe. Google alipoona hawataki ndipo akatoa option ya kuunda miundombinu kwa ajili yao. Lakini sasa imebidi walazimishwe kuijumuisha. Apple security huwa ni chaka lake la kuwa monopoly.
Sasa kaiweka ndiyo maana unaona kuna suala la green na blue bubbles.
Apple umoja wa Ulaya sheria zake zinaenda kuondoa tabia yake ya kuwa monopoly. Ilikuwa inamsaidia sana kuwa na huduma exclusive kwenye bidhaa zake. Yani iPhone ni one of the best product amewahi tengeneza, kisha akaunda huduma exlusive juu ya iPhone, ila sasa sheria za umoja wa ulaya zinaondoa hiyo hali na kumfanya apple apate washidani wanaotoa huduma hizo hizo kwenye bidhaa zake mwenyewe.
Wazungu kuna muda siwaelewi, bidhaa ya kwangu ila unanilazimisha niruhusu wengine watoe huduma sawa na zangu eti kuleta ushindani. Ila sisi watumiaji hiyo ni faida kwetu.
unataka watu wanunue simu gani nzuri , yani jamaa wamekubalika duniani kote leo uje uwasagie kunguni,Kama umefuatilia vizuri utagundua hujajibu hoja za mauzo ya iphone kushuka na kuwakata asilimia 30 developers ila umeishia kumshambulia yeye binafsi na bidhaa zake bila kujibu hoja.
swali zuri kampuni gani ya simu ambayo yeye anaielewa 😂Kampuni gani ya simu duniani imefanya exciting?
Watu wana talk cheap sana kuhusu Apple, lakini hakuna kampuni ya simu duniani kwa sasa ipo makini kama Apple, unapoiponda inabidi utuambie ipi ni bora kuwazidi...unataka watu wanunue simu gani nzuri , yani jamaa wamekubalika duniani kote leo uje uwasagie kunguni,
swali zuri kampuni gani ya simu ambayo yeye anaielewa 😂
Mbona toka huko juu nazungumzia kuhusu apple kuintroduce inhouse processors? Au hujaona? Na tena nikasema ukiondoa kutengeneza inhouse processors ni kweli hawajafanya kitu cha exciting kingine.RCS haina tofauti kubwa na whatsapp, unaweza kutuma picha, media files n.k, ajabu ni kwamba haina end-to-end encryption... Hii inapelekea watoa huduma za simu kuweza kuona kila files zinazotumwa... hapo unasemaje Apple ni monopoly? kwanini huoni wana hoja yenye nguvu?
Apple kutengeneza huduma exclusive kwa ajili ya iPhone ni kwa sababu wanataka kuwa na vilivyo bora, na wanaamini wanaweza tengeneza vilivyo bora kuliko wengine.
Kwanini huzungumzii kuhusu kutengeneza processors zao kwa ajili ya iPhone?
Na umekiri hapo juu kwamba kwa kuleta chip za M series wametisha tokana na perfomance nzuri ya chip hizo na ulaji wa moto mzuri kuliko intel.... hii ina maana waliona mapungufu katika intel, wakaamua kubuni chip zao nzuri zaidi ya intel, hapo kwanini useme ni wapiga deal na wanaotaka faida kubwa?
Mpaka sasa hakuna search engine ambayo imeweza kuipiku Google, hakuna search engine inayotengeneza pesa kuliko Google yet bado watu wanasema Google search engine kwa sasa haina jipya inaenda kupoteza watumiaji.Watu wana talk cheap sana kuhusu Apple, lakini hakuna kampuni ya simu duniani kwa sasa ipo makini kama Apple, unapoiponda inabidi utuambie ipi ni bora kuwazidi...
RCS ni complex na inaweza kutuma medias na files, hivyo attacker uwanja mpana zaidi ku attack kuliko sms ya kawaida...Mbona toka huko juu nazungumzia kuhusu apple kuintroduce inhouse processors? Au hujaona? Na tena nikasema ukiondoa kutengeneza inhouse processors ni kweli hawajafanya kitu cha exciting kingine.
Turudi kwenye RCS,RCS end to end encryption inakuwa adapted lakini still ilikuwa haizuii wao wakiweka RCS. Kama shida ilikuwa end to end encryption basi kwanini kwenye simu zao hawakuondoa kabisa feature ya normal sms maana hazina encryption kabisa zile lakini ni feature ambyo mpaka leo ipo kwenye iphones.