Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
Gazeti maarufu la Israel limetonya kuwa Marekani kupitia channels zake za "behind the scenes" imeihonga Iran mabilioni ya dola ili kuifanya Iran irudi katika meza ya mazungumzo kuhusu ishu ya Nyukilia. Mahela hayo yanakusudiwa kuishawishi Irani iaachane na madai ya haki yake ya kuenrich Uranium yenyewe kama yenyewe kama Taifa na badala yake ijengewe mradi wa matumizi ya kawaida.
Mihela hiyo inayokadiriwa kuwa ni sawa na dola bilioni 10 mpaka 20 itakuja kwa mtindo wa uwekezaji wa kibiashara. Marekani itatumia washirika wake wake Waarabu wa nchi za Gulf kutoa mahela yao kuwekeza ndani ya Iran.
Wakati huohuo serikali ya Marekani katika kujaribu kuishawishi Iran irudi katika meza ya mazungumzo na kukubali kuachana na misimamo yake ya haki ya mataifa yote yaliyo chini ya Nuclear Non Ploriferation Treaty (NPT) ya kurutubisha uranium, serkali ya Marekani iko tayari kuachia Dola bilion 6 ambazo ni pesa za Iran ilizozifreeze kuipa Iran ili Iran ilegeze msimamo.
Hali hii inakuja baada ya Marekani na Israel kushambulia vinu vya Nuclear vya Irani, lakini ukweli umekuja kudhibitika kuwa Nguvu za kijeshi peke yake hazitoshi kuifanya Iran iachane na haki yake ya kurutubisha Uranium ambayo inalindwa na mikataba ya kimataifa.
Japo Waisrael na Wamarekani wantumia cover ya kudai kuwa Irani kamwe haitoruhusiwa kuwa na silaha za Nyukilia lakini kimsingi wananchokitaka ni Irani isiruhusiwe kabisa kurutubisha Uranium yenyewe hata kama inaweza kitu ambacho Irani inakataa. Irani inasema inataka kurutubisha Uranium kwa matumizi ya kibinadamu kama vile kuzalisha umeme,matibabu ya kansa etc.
Hii Taarifa unaweza kuisoma hapa:
www.ynetnews.com

US offered Iran investments worth tens of billions of dollars
Washington has offered Tehran support for a civilian nuclear program it will establish through investments from its Arab allies across the Gulf in an effort to get Iran back to the negotiation table, CNN is reporting; Iran's FM: 'No agreement to begin new negotiations'